Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila vipi ..yule best friend wako aje amtie mimba dada ako pengine wewe huelewi chochote af baadae wasuluhishe kwa kusema atamuoa. Utakuwa comfortble na kukenua kabsaaa ???....
Kama hakubakwa hamna shida. 😁
Mwenye dada hakosi shemeji.
 
Bibi kigagula jiheshimu tafadhali. Au wewe ndo unaeolewa?

Sent From Galaxy S9
Heshima yangu wewe inakuhusu nini?

Aah tuttyfruity weee, nafahamu, lazima umtetee mwenzio. Waarabu wa Pemba...
 
Mleta mada kama ni Ke sawa. Nitashangaa ukiwa ni wa kiume.
 
Sawa sawa nakazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm imenitokea na jamaa yupo humu, tumejenga karibu. Tunaishi kwa amani kabisa, hapa familia yangu ilienda kushinda Kwake leo ndo natoka kuichukua. Sio issue mkuu, waombee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulitaka aolewe wapi na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na shemeji mwenyewe Usher-smith bhasi sawa
Hahahhah [emoji23]
Mimi bonge la shem
Ukija kututembelea home full breakfast mayai, mikate, chapati Chai ya maziwa nk.
Lunch ndizi nyama
Nakupa na gari ukauze sura
Na hela ya matumizi unapata
[emoji23]
Utatamani uhamie kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini sio fair japo mnatetea,hapo ni kama vile kamuoa dada yake.Mi mwenyewe ningemaindi mtu mmecheza wote tangu utotoni huko mpaka mmekua kama ndugu unaoaje dada mtu.
ameoa anaye mfahamu vizuri, stamina alioa ambaye hamfahamu yakamkuta.
Jamaa sio ndugu yake alikuwa rafiki tatizo liko wapi? Ulitaka dada yako aolewe na nani
 

Vyote ulivyotaja vinanifaa

Nipe address bwa shemeji 😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…