Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

Mm imenitokea na jamaa yupo humu, tumejenga karibu. Tunaishi kwa amani kabisa, hapa familia yangu ilienda kushinda Kwake leo ndo natoka kuichukua. Sio issue mkuu, waombee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kutofautisha kati ya ndugu na rafiki?
Rafiki yako mnaweza kuambiana jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni, shemeji yako mtajadili hayo?

Huyo siyo rafiki tena ni shemeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona haina shida mkuu.Huyo jamaa ni ndugu yako sasa sio rafiki tu.

Vipi kama dadako angepigwa mimba na majamaa hapo mtaani afu wangemtelekeza?Kipi bora?
Hata kama!
Yaani huyu jamaa kazunguka koote kule lakini dada yake Elitwege ndiye aliyeonekana anafaa kutafunwa.
Shame kwa wazazi wa Elitwege maana njaa imetamalaki kwao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dada yako ulitaka umuowe wewe?

GunFire
 
Akimuacha utamuoa???? Shenz type jamaa unamuonea wivu Dada yako??
 
Sas Kaka unachomaindi Apo Nini ndugu yangu "mnazidi kudumisha undugu akuna kilichoharibika Apo mkuu,
 
Unajua kutofautisha kati ya ndugu na rafiki?
Rafiki yako mnaweza kuambiana jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni, shemeji yako mtajadili hayo?

Huyo siyo rafiki tena ni shemeji

Sent using Jamii Forums mobile app
Koo kupitia hicho tu Roho ikakuuma kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Karibu getto sa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kwao walikuwa masikini!....unaonekana una majivuno sana!
 
Jamaa ana akili sana, amefanya jambo jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu trust me rafiki yako hawezi kumpa shida Dada yako, Ni MTU ambaye anamuelewa Dada yako na maelewano yao yalianzia toka akiwa hapo home.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…