Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Nime-play clip zaidi ya mara 7. Bado sielewi elewi!
 
Kwa hiyo kakutuma uje utufahamishe sio?
 
Nyie watoto wa humu hamna adabu kabisa😆😆😆
 
lkn salam ya mdomoni aliitikia
Bashite alimwamkia "shikamoo mh. baba mjomba wangu dakitari John Pombe
Meko akajibu kwa sauti ya chiniiiiiii"
"maliaba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kama kuna ‘kuchokwa’ mtu ila ‘damage’ imeisha onekana ya namna muhimili unavyo weza ku ‘abuse’ taratibu na sheria tulizojiwekea itabaki ktk historia hapa ‘refer’ kama kuna cheti cha ‘kughushi’ cha jamaa

Maana kuna wengi walipoteza nafasi zao hata kama walimudu kazi kwa sheria ya kughushi cheti ili kupata nafasi fulani,

Sijasema hapa mtu hafai ktk utendaji naamini pia cheti ni karatasi tu lkn tufate sheria kwa kila mtu bila kubagua
 
Tatizo mnajiita wasomi na wana mabadiliko wanamapinduzi mmeivamia siasa kwa njaa ya ajabu sana...
Huo ndio ukweli wa itifaki Rais ndio anaanza kumpa mkono anae taka kumsalimia na si msalimiwa..
 
Hakuna hata moja lililo sahihi kati ya hayo uliyojiuliza. Kama unajua psychology Mh Rais alishasema kwenye hotuba yake leo yakwamba ukimpenda mtu usionyeshe hadharani kwakua atachukiwa na wengine hata kuangamizwa.Hicho ndio akili yangu imekibaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…