Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Ngoja tu tufunike kombe mwanaharamu apite
 
huyu ndio John P. Magufuli

kamchinjia baharini mwanae,kama hajawahi kumuona

kwa nafasi yake ya RC asingeweza kurukwa...hata yeye binafsi hakuamini kilichomtokea
Sina nia ya kutukana lakini ukweli tatizo la wewe na wengi ni ujinga tu wa kawaida, kwa maana ya kutoelewa.
Mtoa mada kaleta somo zuri kuhusu itifaki.
 
Haaaahaaa...mkuu wa mkoa ndio anatoa taarifa hali ni shwari au sio shwari kwa Rais?
You miss a point
 
Sawa ila ni kwa nini Rais hakutoa mkono?
Ishu ya kuonana sijui asubuhi sijui usiku ni jambo lingine mana huko walikoonanania ni sehemu yenye itifaki zingine na pale walipokaushiana ilikuwa ni itifaki nyingine!
 
Sina nia ya kutukana lakini ukweli tatizo la wewe na wengi ni ujinga tu wa kawaida, kwa maana ya kutoelewa.
Mtoa mada kaleta somo zuri kuhusu itifaki.


bashite nae

kama uwezo wako ni kutukana;tukana
 
Kipenzi chake! Kweli mahaba yameisha.

Ukute baba jeska ndo kaona ile kaba kaba ya msimamia katiba igeuke.

Haya, huyo mwenzetu anayesema angejiuzulu ila maisha magumu sasa ndo ajitafakari
 
Kweli kamruka ukiangalia itv kwenye ukurasa wao fb ndo wanamwonyesha vizuri yaani baba kasalimia woote hadi maalis seif na jaji mastaafu warioba na mmama fulani alau kasogea karuka makonda kaenda kwa wengine
Wanaanza kupoteana
 
Umekosea kusema sijui kajua aliemshambulia Lissu!

Habari ya Lissu ni chuki tu ya jiwe mwenyewe juu ya Lissu! Na yeye ndie aliebariki shambulizi! Ndio maana kasimamia kuvuliwa ubunge, na katuambia waziwazi "eti" Lissu kalitelekeza jimbo ilhali kila mtu nchi hii anajua masahibu yaliyomfika Lissu!
 
INAONEKANA MAALIM SEIF KAJIPENDEKEZA AKUKARIBISHWA NA WAKOME
 
Mtazamo chanya pia waweza kuwa, Mkuu wa Mkoa wa DSM yupo karibu sana na familia ya Rais. Huwezi msalimia mara ya pili, mtu ambaye mmeshaonana naye muda mfupi uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…