Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #61
HahaaaaTungekuwa tunadandia tuu kama kuku bila maswali ya kuomba hela tungeishi sawa sawa tuu.
Sasa ukiomba namba tuu balaa
Sijala
Kodi
Bibi anaumwa
Simu kubwa imepasuka
BD
Mtaji
Ada
Sasa kukaa na mishahawa muda mwingi na nyege lazima mwili uchakae mapema.
🤣🤣🤣🤣Daaah.....unaweza kudhani mnatutoa roho nyinyi
Kifua chenu ndio kinachowawahisha kaburini
Mama KarumeMaria Nyerere
Siti & Hadija Mwinyi
Janeth Magufuli
Mama Lowasa
Mke Kingunge Ngomable Mwiru
Kuna ukweli..
Wanawake wakiweza kutuambia ukweli bila hiana waliongea nini na nyoka pale bustanini basi tutajua ni kwanini wanaume tunakufa mapema kuliko wao.Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.
Kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.
Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.
Mungu awabariki sana Wanaume
Jembe likimaliza kazi linatudi storeSina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.
Kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.
Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.
Mungu awabariki sana Wanaume
Mmh mkuu unavyosema ni kweli ila hilo la kudundwa na mke wangu alafu niseme yaani nimejaribu ku imagine mfano limetokea kwangu kwa kweli roho imekataa kabisaa kusema. Tunapitia mengi mkuu umekopa gari wife kaligonga alafu anachukua lako roho inauma inabidi uuchune tu asiuwashe moto, hapo bado upwiru unapwita mtu yuko busy na watoto. Daa haya bana.Wanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni
Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema
Mkuu kuna vitu vingine wala haviitaji kufikiri sana.Another school of thought.
Nimependa ulivyofikiri kwa undani zaidi. Thank you
Si kweli, ndo maana nasemaga msiwazalishe wanawake mkawakimbia, esp anapopata mtoto wa kiume. Wanawakuza kuwa too soft and weak.Kifua chenu ndio kinachowawahisha kaburini
Tatizo mnaoa mliopisha umri sana, so lazima utangulieMaria Nyerere
Siti & Hadija Mwinyi
Janeth Magufuli
Mama Lowasa
Mke Kingunge Ngomable Mwiru
Kuna ukweli..
Si kweli, ndo maana nasemaga msiwazalishe wanawake mkawakimbia, esp anapopata mtoto wa kiume. Wanawakuza kuwa too soft and weak.
Hatuwezi kuwa na jamii ambayo pakiwa na tatizo mwanamke analia na mwanaume analia. Lazima mmoja awe na kifua cha kulibeba hilo tatizo.
Imagine mmevamiwa mmeibiwa majirani wanakuja baba analia hadi kwikwi mama anapiga ukunga huku wamekumbatiana.
Unaona ipo sawa?
Basi uzikwe naye
Utafiti wako hauna kina wala mashikoSina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.
Kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.
Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.
Mungu awabariki sana Wanaume