Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
"UPENDO" ndiyo dini yetu, tena si TZ pekee, utaishi popote pale duniani kwa amani ya kutosha haijalishi utakuwa pamoja na Wapagani, wenye dini za Hinduism, Budhaa n.k maana yote kwa yote Binadamu tumeumbwa na Mungu muumbaji wa viumbe vyote, pia kuna maisha baada ya hapa duniani.kwahio TZ dini yetu niipi ukiacha zakuletewa?
Mimi mwenyewe nataka nijikabidhi kwako unifanye utakavyo...pili mimi huko sio mshirika bali mimi mshirika wa Kristo🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787]weee nisije nikawa mimi ndio kafara yenyewe
Me pia mshirika wa kristo hivyo niende huko kutafuta nini?Mimi mwenyewe nataka nijikabidhi kwako unifanye utakavyo...pili mimi huko sio mshirika bali mimi mshirika wa Kristo[emoji1787]
huna lolote. hio dini yenu yaupendo mnakunyika wapi ili muihubiri mana watanzania hawaijui unaijua wewetu."UPENDO" ndiyo dini yetu, tena si TZ pekee, utaishi popote pale duniani kwa amani ya kutosha haijalishi utakuwa pamoja na Wapagani, wenye dini za Hinduism, Budhaa n.k maana yote kwa yote Binadamu tumeumbwa na Mungu muumbaji wa viumbe vyote, pia kuna maisha baada ya hapa duniani.
Eeh kwa hiyo turudi kusafiri na pundaMagari na ndege pia ni mufumo ya kishetani na ni mkakati wa freemason
Ndio nakushangaa sasa😂Me pia mshirika wa kristo hivyo niende huko kutafuta nini?
Naona haupo sawa wahi matibabu haraka,umetaja mitandao mengi halafu bado unawasilisha hayo madai yako kwa kutumia mtandao!Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western union, crypto currency, KFC, McDonald's, Emirates, Lufthansa, Qatar airways, tinder, ebay, Amazon, Microsoft, Western Union, Mpesa, EPL, UEFA, Pepsi, coca-cola, NBA, Nike, puma, Addidas, Disney, WarnerBroz, Hollywood, LGBT, women rights, internet,Tesla, Nasa
Nilikua natania tuNdio nakushangaa sasa[emoji23]
😂😂😂kweli upako umekuingia mkuu upo kanisa gani na sisi tuje!
Niwahi matibabu mara ngapi?Naona haupo sawa wahi matibabu haraka,umetaja mitandao mengi halafu bado unawasilisha hayo madai yako kwa kutumia mtandao!
Unatumia kilevi gani dogo?Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
"Imani bila matendo imekufa" kama matendo yako hayaakisi wema mbele za Mungu na hata Binadamu wenzio ni heri tu uanze mapema kutubu hiyo dhambi na kumwomba Mungu akurehemu ili uishi jinsi anavyopaswa kuishi Mcha Mungu.huna lolote. hio dini yenu yaupendo mnakunyika wapi ili muihubiri mana watanzania hawaijui unaijua wewetu.
Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western union, crypto currency, KFC, McDonald's, Emirates, Lufthansa, Qatar airways, tinder, ebay, Amazon, Microsoft, Western Union, Mpesa, EPL, UEFA, Pepsi, coca-cola, NBA, Nike, puma, Addidas, Disney, WarnerBroz, Hollywood, LGBT, women rights, internet,Tesla, Nasa
Hata kipindi kile Yesu alijua kuna magari ya kukokotwa na punda ambayo wafalme na matajiri ndio walikua wanayatumia, na ukuu wake wooooote na ufalme wake woooote aliagiza PUNDA TU, ndipo alipo haramisha magari hapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeh kwa hiyo turudi kusafiri na punda
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwa Mwamposa[emoji23][emoji23][emoji23]kweli upako umekuingia mkuu upo kanisa gani na sisi tuje!
Kaza mkanda kwa Jesus mwananguNilikua natania tu
🤣😂🤣😂🤣Kitinkuu ni hatari mkuu hapo singida
Na la ntondo pia