Msiba wa Mafuru wa leo Karimjee sijaona mnyonge

Kaburi tumelichimba sisi wanyonge.
 
Lakini kafa ............mwendazake ,mkapa ,nyerere waliagwa na watanzania wote kuanzia matajiri mpaka masikini lakini.........lakini ndio hivyo buriani
 
Haiishindi saratani iliyomuua. HIV unakula vidonge na unadunda, niambie saratani ina dawa gani kama si kufa ukijiona?
Hivi mtu anapata faida gani kuzushia mtu ugonjwa? Sijui alimpima yeye au la. Anajuaje kama alikuwa na HIV?
Kila mtu maarufu akifa utasikia HIV. As long as uko sexual active kabla hujafa unaweza kupata HIV.
 
Hakuna cha maana hapo hata angekuwepo bill gate na elon musk ni show off tu. Huyo Kafa tu kama tu raia wa mbagala na vingunguti nothung special
 
Kuna kiongozi mmoja kutoka ofcn kwetu baada ya kutoka kule Karimjee mshkaji mmoja akamuuliza mbona hawajasafirisha kwenda kuzika kwao, alichotuambia tu namnukuu "Jengeni kwenu, jengeni kwenu" mwisho wa kunukuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…