Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Wanyiramba hao wa Singida ingawa wote ni kitu kimoja maana muuza watumwa ndiye aliyewafungua macho.Msiba ukiisha ugomvi unahamia kwenye kugawana mali...
Na warangi walivyo wanapenda vya bwerere, hapo watauana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ingia you tube utawapata wote, wakike wawili na wakiume mmoja wote walikuwa wamehamia kwenye shemeji
nenda you tube utawakuta wakike wawili na wakiume mmoja wote walikuwa wanaishi kwa shemeji, hawakuwa hata na ndoto ya kumiliki bodaboda wakajikuta wanasukuma ndinga rock city. Wakasahau SIDE ni kutoka kanda MAARUM
Ukioa familia ya kimaskini wao wanachoangalia ni Mali utakazowaachia ndugu wa Mke siku ukifa ukiona hivyo ujue hiyo familia ya mke wanamatatizo na hawafai kabisa, vijana ambao hamjaoa muwe mnachunguza familia za kuvuta jikoSekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua.
Mama Said amesema yeye na ndugu zake wamelala nje tangu Jumapili na kila wanavyojaribu kuwaambia upande wa pili wamekatalia ufunguo. Walipanga kuanza msiba wa Said baada ya kumalizika msiba wa Swalha.
Najiuliza, hii familia mtoto wao aliyeolewa hayupo na marehemu hawakuwa na mtoto wa pamoja. Familia ya ukeni inapata wapi mandate ya kuiweka nje familia ya mume kufika kwenye msiba wa mtoto wao nyumbani kwake?
Usikute ndoa ilikuwa inaendeshwa kwa rimoti, na rimoti ilishikwa na mama mkwe.
Pia, soma=> Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
Naona watu wanazusha, nimeona video Milladayo kapost, baba Salha kaenda msibani kwa Said na kuwapa mkono wa pole. Sijaona vurugu yoyote paleTabia za hawa wazazi ndizo zilizopelekea mtoto wao kuuawa. Sasa kama wanataka kung'ang'ania Mali ambacho ndicho kitu kinachojidhihirisha hapa, wataambulia risasi nyingi kutoka Kwa baba wa Said.
Polisi ingilieni Kati hapo mauaji mengine yananukia!!
Kwa jinsi nilivyo huu ujinga mwingine ama wengine wawili wangekuwa wameshakufa. Huyo danga alichangia nini zaidi ya kujiuza tu na amepelekea mpaka Kaka yangu kufariki.mama wa marehemu yupo, kuna nini cha thamani kuliko uhai wa hao wawili? mama wa marehemu anahani msiba akiwa nje ya nyumba ya marehemu mwanae kisa kuna vitu vya kuibiwa? upande wa kina Side wasiwape nafasi hao maskini wa roho, wakienda kuzika waache ulinzi mtu asitie mguu hapo, wabaki na funguo lakini wasikanyage ndani, kameolewa kana miezi mitano ndugu wanataka kutaifisha nyumba na gari, ingeingia akilini kama Side angeua akabaki hai. Wao wanauchungu kuliko mama Saidi ambaye mtoto wake amejiua kwa sababu ya udangaji wa mwamamke? hivi mnaujua msoto wa kisiwani nyie? alafu mtu anakuxingua na maushirikina yake mara nini, huoni ajabu watu wamekuta shiriki nyumbani ucku tayari mtoto wa kike kampigia baba simu, na usiku huo huo baba kapata wataalaam
Wanapopigania hapazidi ha hata nchi 2Haya tumeona. Haya mapenzi yatawamaliza vijana
Mimi Namlaum said kwa kuwa alishaamua angemchukuwa mke na hao shemeji zake mpaka kwa wazazi wao halafu kawafumua bongo wote halafu ndio akajimaliza na yeye kama yule mjeshi wa Mbezi, aliyemchukuwa yule mtangazaji mpaka kwa mamake akafika akawafumua woteTabia za hawa wazazi ndizo zilizopelekea mtoto wao kuuawa. Sasa kama wanataka kung'ang'ania Mali ambacho ndicho kitu kinachojidhihirisha hapa, wataambulia risasi nyingi kutoka Kwa baba wa Said.
Polisi ingilieni Kati hapo mauaji mengine yananukia!!
Mimi namlaumu Side kama alishaamua kujilipua alipaswa kuwabeba wote kwenye gari mpaka kwao akijifanya mshikaji halafu kufika tu pale kwao anawalipua wote nyumba nzima halafu ndo yeye. Kama ilivyokuwa kwa yule MJESHI alivomfanya yule dada wa ITVKwa jinsi nilivyo huu ujinga mwingine ama wengine wawili wangekuwa wameshakufa. Huyo danga alichangia nini zaidi ya kujiuza tu na amepelekea mpaka Kaka yangu kufariki.
Yaani basi tu Ila haya mambo ndio maana niliyajua tokea nikiwa mdogo nilijuaga hapendwi mtu bali alicho nacho. Waarabu wanaoana ndugu ili Mali izunguke ndani ya Koo hiyo sio unaleta mtu kisa amekuona uko pazuri. Ukisaidia ndugu anaumia na huku hajui ulivyokuwa.
Yaani Kuna muda niliwaomba ndugu nioe MTT wa shangazi. Wakagoma Ila bado nilioa karibukaribu yaani baba zetu ni binamu sie ukoo ama undugu unaishia kwa binamu so huku chini mnaoana kawaida yaani bana watu wana tamaa Sana na mali.
Kumbe ni wanyiramba basi jamaa alichoka kugongewa fullstopWanyiramba hao wa Singida ingawa wote ni kitu kimoja maana muuza watumwa ndiye aliyewafungua macho.
Watu wenye busara na hekima wangefanya hivyo!Hapo ilikuwa wazike kila mtu akalilie kwake, kiumeni wabaki kiumeni upande wa kike waende kikeni.
HV wew cocastic Ni kabila gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UmenenaTatizo la kuoa malaya tena anayetokea uswahilini kwenye familia maskini halafu kutokea kanda ya kati noma sana, ukiangalia trend familia nzima ilikuwa imehamia kwa shemeji, kuna wadogo zake marehemu wa kike wawili walikuwa wanaishi hapo, mdogo wake wa akiume alikuwa na marehmu kisiwani Ghana akiwa msimamizi wa miradi.
Siyo bure jamaa kuna walimfanyia kwa lengo la kutaka kumiliki mali na matokeo yake kikawageuka ndo jamaa kaamua kuharibu mfumo mzima wa makombora. Ukimsilikiza mama wa marehemu kuna siku usiku wa makuta kitu kama sanda getini, usiku huo huo baba mkwe akawa amepata waganga na kuwaleta kuja kuosha mji.
Wengi wanajaribu kumlaumu huyu mtu lakini kuna mambo mengi amepitia, kifupi hii familia ilijiandaa kumfilisi na si lolote si ajabu wanajaribu kungángánia nyumba na gari. Vishemeji vilishazoea kuzurura na gari mjini sasa vinarudi kupanda bodaboda roho zinauma.
Hao huwa ni waburudani Ila sio wa kuwekwa ndani plus karatu and kondoaKumbe ni wanyiramba basi jamaa alichoka kugongewa fullstop
Kabisaaa alikosea sanaa aiseeeHao huwa ni waburudani Ila sio wa kuwekwa ndani plus karatu and kondoa
Iweke hapa tuone.Naona watu wanazusha, nimeona video Milladayo kapost, baba Salha kaenda msibani kwa Said na kuwapa mkono wa pole. Sijaona vurugu yoyote pale
Yule dada ndani ya miezi 5 kwenye ndoa tayari alishaleta mama yake na wadogo zake wawili kwenye nyumba,kuna makabila ukioa unaoa ukoo shwainiMgawanyo wa mali hapo utaleta shida hasa kama yule boya hakuandika wosia. Watu dhaifu kama yule tako ni hasara kwa jamii.
Yule mwamba kakosea, angempa talaka tu, yule sal.. uzuri na kupenda starehe.Tatizo la kuoa malaya tena anayetokea uswahilini kwenye familia maskini halafu kutokea kanda ya kati noma sana, ukiangalia trend familia nzima ilikuwa imehamia kwa shemeji, kuna wadogo zake marehemu wa kike wawili walikuwa wanaishi hapo, mdogo wake wa akiume alikuwa na marehmu kisiwani Ghana akiwa msimamizi wa miradi.
Siyo bure jamaa kuna walimfanyia kwa lengo la kutaka kumiliki mali na matokeo yake kikawageuka ndo jamaa kaamua kuharibu mfumo mzima wa makombora. Ukimsilikiza mama wa marehemu kuna siku usiku wa makuta kitu kama sanda getini, usiku huo huo baba mkwe akawa amepata waganga na kuwaleta kuja kuosha mji.
Wengi wanajaribu kumlaumu huyu mtu lakini kuna mambo mengi amepitia, kifupi hii familia ilijiandaa kumfilisi na si lolote si ajabu wanajaribu kungángánia nyumba na gari. Vishemeji vilishazoea kuzurura na gari mjini sasa vinarudi kupanda bodaboda roho zinauma.
Kanda maalumu hawanaga kuremba, umesikia huko Serengeti mke katoka kuliwa papuchi mwenye mke kachomeka panga huko kunako, ila kuna watu na akili zao. Yaana jamaa kaingiza panga kwenye utamu sijui kesho ataomba tena endapo makarao watamwachia?Yule mwamba kakosea, angempa talaka tu, yule sal.. uzuri na kupenda starehe.
Utawaweza Watanzania kwa kutunga mambo?!!!Naona watu wanazusha, nimeona video Milladayo kapost, baba Salha kaenda msibani kwa Said na kuwapa mkono wa pole. Sijaona vurugu yoyote pale