mama wa marehemu yupo, kuna nini cha thamani kuliko uhai wa hao wawili? mama wa marehemu anahani msiba akiwa nje ya nyumba ya marehemu mwanae kisa kuna vitu vya kuibiwa? upande wa kina Side wasiwape nafasi hao maskini wa roho, wakienda kuzika waache ulinzi mtu asitie mguu hapo, wabaki na funguo lakini wasikanyage ndani, kameolewa kana miezi mitano ndugu wanataka kutaifisha nyumba na gari, ingeingia akilini kama Side angeua akabaki hai. Wao wanauchungu kuliko mama Saidi ambaye mtoto wake amejiua kwa sababu ya udangaji wa mwamamke? hivi mnaujua msoto wa kisiwani nyie? alafu mtu anakuxingua na maushirikina yake mara nini, huoni ajabu watu wamekuta shiriki nyumbani ucku tayari mtoto wa kike kampigia baba simu, na usiku huo huo baba kapata wataalaam