Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Huyo Said wako ana matatizo ya Afya ya akili. Kisa cha kumuua mke na yeye kujiua amepata faida gani?Mimi Namlaum said kwa kuwa alishaamua angemchukuwa mke na hao shemeji zake mpaka kwa wazazi wao halafu kawafumua bongo wote halafu ndio akajimaliza na yeye kama yule mjeshi wa Mbezi, aliyemchukuwa yule mtangazaji mpaka kwa mamake akafika akawafumua wote
Mimi namlaumu Side kama alishaamua kujilipua alipaswa kuwabeba wote kwenye gari mpaka kwao akijifanya mshikaji halafu kufika tu pale kwao anawalipua wote nyumba nzima halafu ndo yeye. Kama ilivyokuwa kwa yule MJESHI alivomfanya yule dada wa ITV
Nasikia ni Warangi siyo wanyirambaWanyiramba hao wa Singida ingawa wote ni kitu kimoja maana muuza watumwa ndiye aliyewafungua macho.
We muongo, Mama ya msichana anaishi KirumbaYule dada ndani ya miezi 5 kwenye ndoa tayari alishaleta mama yake na wadogo zake wawili kwenye nyumba,kuna makabila ukioa unaoa ukoo shwaini
Wala hakuwa mume wake. Alikuwa boyfriend tuKuna mtangazaji wa Itv aliwahi pigwa risasi ya bega na mumuwe kwa mtindo huohuo mama wa mke ndio alikuwa kinara wa game likawageukia
Sikiliza vizuri mama mzazi wa saidi anasema walifunga ndoa 30 dec.2021 na ndoa yao ina miezi mitano tu na sherehe walisherehekea nyumbani kwao kwa kina saidi ila hawakuwa na mtoto.Wala hakuwa mume wake. Alikuwa boyfriend tu
Warangi ni wachawi ukipata demu wa kirangi lazima akutengeneze kwanza uwe boyaNasikia ni Warangi siyo wanyiramba
Wanaume bana yaani akajihamishia ukoo hapo na bado hakupendwa!Tatizo la kuoa malaya tena anayetokea uswahilini kwenye familia maskini halafu kutokea kanda ya kati noma sana, ukiangalia trend familia nzima ilikuwa imehamia kwa shemeji, kuna wadogo zake marehemu wa kike wawili walikuwa wanaishi hapo, mdogo wake wa akiume alikuwa na marehmu kisiwani Ghana akiwa msimamizi wa miradi.
Siyo bure jamaa kuna walimfanyia kwa lengo la kutaka kumiliki mali na matokeo yake kikawageuka ndo jamaa kaamua kuharibu mfumo mzima wa makombora. Ukimsilikiza mama wa marehemu kuna siku usiku wa makuta kitu kama sanda getini, usiku huo huo baba mkwe akawa amepata waganga na kuwaleta kuja kuosha mji.
Wengi wanajaribu kumlaumu huyu mtu lakini kuna mambo mengi amepitia, kifupi hii familia ilijiandaa kumfilisi na si lolote si ajabu wanajaribu kungángánia nyumba na gari. Vishemeji vilishazoea kuzurura na gari mjini sasa vinarudi kupanda bodaboda roho zinauma.
Angempa taraka bado mke angekuwa na haki kwenye kugawana mali,na pia angempa taraka bado angekuwa anaumia rohoni kila amuonapo ama asikiapo story za mkewe mtarakaYule mwamba kakosea, angempa talaka tu, yule sal.. uzuri na kupenda starehe.
Ufoo Saro wa itviiiiiKuna mtangazaji wa Itv aliwahi pigwa risasi ya bega na mumuwe kwa mtindo huohuo mama wa mke ndio alikuwa kinara wa game likawageukia
akili wameharibu warangi ndo maana akamua kulipua system ya kurushia makombora naye kujilipua, hakuna alichopoteza, huyo malaya hayupo tena na SIDE hayupo, hivo SIDE katuokoa sisi wananaume wengine ambao tungeangushiwa kitu kizito, uliona wapi ndoa ya miezi mitano tayari familia nzima imeamia kwa shemeji, wameshajifundisha gari na kuendesha wanajua, alafu mwenye hela zake analalia jamvi huko kisiwani na ajisaidia porini kama Ngedere alafu machawa wanakula na kulala na bado hawamheshimu.Huyo Said wako ana matatizo ya Afya ya akili. Kisa cha kumuua mke na yeye kujiua amepata faida gani?
Gaidi wapi mwanamke mdangaji huyoo jamaa katoa fundishoYeye ndio kazaa gaidi!?!