Good ides
 
Unaona hiyo ni aina nzuri ya recruitment?
 

Tunaweza ongea boss. Nahitaji nafasi hizo.
 
Shusha nondo mkuu
 
Unafuta kazi?

Mdogo wangu futa hiyo namba utapata usumbufu bure.

Kama unatafuta kazi na elimu yako ni ya uhakika mtaji wako wa kwanza ni imani

Itumie imani yako kufanya maombi mwili wako na nafsi yako vitakate watu wakupende jina lako linga're popote utakapokwenda kuomba kazi wakupe.

Anza na kanisani kwenu piga maombi mambo yaende

Ikishindikana rudi kijijini kwenu kamtafute babu yako
 
Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
Kama utaweza, japo si kwa lazima, naomba urekebishe kichwa cha habari, kisomeke " NATAFUTA KAZI" badala ya "NAFUTA KAZI"
 
Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
NAFUTA KAZI.!
Kuwa makini maana kàma makosa kama haya huyaoni huko kazini utaborongà sàna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…