DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Good idesNatamanigi kila muhitimu nimpe mbinu yangu.Kila kozi nayomaliza, huwa naanza kutoa ushauri wa bure mitandaoni juu ya kozi husika.Kama uhasibu jinsi ya kuandaa ripoti ya Faida na hasara kwa mtaji wa chini ya milioni 5 (hapo watu wengi watakufuatilia na hatimaye uta[pata cha kufanya. Crown mdia walivyotaka kuajiri walipitia mitandaoni wakaangalia kila kipengl nani ana content nyingi, updated ,wakawapigia simu na kuwapa mikataba. Best wishes