Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie
Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu natafuta kazi Jaman calls and WhatsApp 0713776534
 
Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
 
Naitwa Jenipha natafuta kazi, nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es Salaam naombeni msaada wenu 0713776534.
 
Hapa akatumia mindset ya kike yaani anajua kuumbwa mwanamke akamaliza Maisha. Mwanamke yeye akazaliwa ama akaumbwa na thamani Ila you ,we ,me , as men we've to find out our value in hard way. Yaani kuitwa jenifa na kuweka namba ya simu lazima Kuna nzi watataka kutuma kwenye kidonda. Yaani Mungu akaumba nature vizuri mno yaani Kila kitu kinafuata effortlessly.
Huyu akibanwa kwenye majukumu yake yupo radhi kumtuliza mwanaume atulie kidogo amuache a relax
 
Naitwa jenipha natafuta kazi ya uhasibu Nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam 0713776534
 
Jenifa taja majina yako matatu tafadhali, siku nyingine usijitambulishe bila kuambiwa, utakosa uaminifu mbele za watu, taja yote matatu maana umeanza wewe
 
Naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es Salaam Naombeni msaada wenu 0713776534
Mbona sehemu inayoitajika herufi kubwa umeweka ndogo na sehemu ya ndogo umeweka kubwa. Alafu una degree ya uhasibu au unatafuta kazi za ndani?.
 
Naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es Salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
mdogo wangu
Njia nzuri ya kuomba kazi ni kuweka CV yako pia,
Elezea skills zako,
Na uzoefu wako.

Kule ulikofanya field ndio uzoefu wenyewe
Elezea ulifanya kipi na kipi.
Na sasa una skills zipi na zipi.

All the best.
 
Back
Top Bottom