Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kama kabana kweli haina tatizo ,ni heshima pia angalau jamaa aje kwako kujitambulisha kwanza ...Hongera kwake ila lazima wapo waliotokea ishu ni kutambua yupi wa kweli na yupi wa ovyo.Najua nini kimemfikisha hapo! Kubana mapaja! Na condition kuwa nitakupa K ndani ya ndoa. Kwa hilo namsapoti hata afike 60! Kwa minajiri hiyo hawezi kuniletea mjukuu bila baba yake. Single maza ni big No
Kwa hio akimzalisha basi ndio ticket yake ya Ndoa hio au sio mkuu?Atakayemzalisha huyo huyo , Siwezi kulea mjukuu ambaye si wa ukoo wangu
Wewe ndio unawapoteza kabisa.Sisi ndo tunaowapeleka watoto wa kike kuwa na hiyo mentality.
There is more to life than just marriage. Am a strong advocate of marriage having been married myself lakini I never throw stones at single moms or people who have opted not to get married.
Napenda msichana awe focused, alinde usichana wake, na heshima yake. Asome au afanye biashara ajijenge kiakili na kifedha halafu aingie kwenye ndoa akiwa stable upstairs and pocketwise.
Money is always a woman's insurance.
Wadada jijengeni. Travel the world..... Soar as high as you can. Marriage shouldn't be the end of your dreams.
Kitendo cha kumfunulia mapaja mwanaume, huyo ndiyo wake! Kwa umri huo, tendo hilo si kuinjoi bali kuumbaKwa hio akimzalisha basi ndio ticket yake ya Ndoa hio au sio mkuu?
Kweli mkuu atakua ameamua kabisa kuolewa ila mhimize mkuu ukiona vipi mlengeshe kwa kijana unaemuamini amuoe tu hakuna namna bila hivyo atazeekea nyumbani sasa,Kitendo cha kumfunulia mapaja mwanaume, huyo ndiyo wake! Kwa umri huo, tendo hilo si kuinjoi bali kuumba
Hivi baba anaweza kufanya upuuzi huo?Kweli mkuu atakua ameamua kabisa kuolewa ila mhimize mkuu ukiona vipi mlengeshe kwa kijana unaemuamini amuoe tu hakuna namna bila hivyo atazeekea nyumbani sasa,
Mwanaume ni pesa man, hizo porojo za ndoa wanufaika ni wanawake zaidi na hao ndio wenye uhitaji wa ndoa zaidi kuliko wanaume.
Thamani ya mwanamke asiolewa ni tofauti na mwanaume ambae hajaoa kwa mitazamo ya jamii zetu.
Na mbaya zaidi kuna umri mwanamke akifika kuolewa huwa ni kwa mbinde tofauti na mwanaume anaeamua amuoe nani!!.
Wanawake wasome na kufikia malengo yao lakini wasisahau wanatakiwa kuolewa. Bila hivyo wataishi kwa masononeko sana, majuto na kuparamia vibenten vinavyowalaghai kila siku hawa mashangazi.
Umri gani akifika mwanamke kama bado hajaolewa inakuwa mbinde kuolewa? Na mwanaume anakuwa amechelewa kuoa akifika umri gani mkuu?Mwanaume ni pesa man, hizo porojo za ndoa wanufaika ni wanawake zaidi na hao ndio wenye uhitaji wa ndoa zaidi kuliko wanaume.
Thamani ya mwanamke asiolewa ni tofauti na mwanaume ambae hajaoa kwa mitazamo ya jamii zetu.
Na mbaya zaidi kuna umri mwanamke akifika kuolewa huwa ni kwa mbinde tofauti na mwanaume anaeamua amuoe nani!!.
Wanawake wasome na kufikia malengo yao lakini wasisahau wanatakiwa kuolewa. Bila hivyo wataishi kwa masononeko sana, majuto na kuparamia vibenten vinavyowalaghai kila siku hawa mashangazi.
Baba hawezi kwa karne hii ila kwa zamani kipindi hicho binti alikua anawekwa chini na kuulizwa ana tatizo gan ili asaidiwe,Hivi baba anaweza kufanya upuuzi huo?
Mwanamke akifika 35+, wengine 30 tu anakua ashaanza kuonekana mtu mzima sana. Hivyo hata rate ya wanaume wanaomfata kumtongoza huwa ni ndogo coz wengi hujiaminisha ni mke wa mtu tayari.Umri gani akifika mwanamke kama bado hajaolewa inakuwa mbinde kuolewa? Na mwanaume anakuwa amechelewa kuoa akifika umri gani mkuu?
Hiyo haikuwa kazi ya baba au mama. Ilikuwa ni kazi ya mashangazi kuskauti mwanaume na kumkalisha binti. Binti yangu akiamua kuwa singeli mazeli, huo ni uamuzi wake ila mtoto hamleti kwangu anampeleka kwa babu yake (aliyedonate spems).Baba hawezi kwa karne hii ila kwa zamani kipindi hicho binti alikua anawekwa chini na kuulizwa ana tatizo gan ili asaidiwe,
Sasa hivi kwa kua tumetawaliwa na uzungu mwingi na utandawazi kwa hio mtoto anapewa uhuru wa kuamua na kuchagua nini anataka na nini hataki bila kupangiwa, Je! Akiamua kuchagua kua single mother utamzuia?
Km utamzuia basi mweke chini zungumza nae kwa upendo, 'mwanangu umri unaenda mlete mwenzako tumtambue ikiwezekana akuoe', km hilo jukumu huliwezi zungumza na mama amwelekeze kisha umsikie yeye anasemaje, au anataka mumtafutie wa kumuoa bila kumuuliza mtajua?
Fumba fumbua miaka 40 hii hapa hajaolewa mtakua na picha gan mkuu?
Utofauti upo mkubwa tu, labda kama wewe unaishi nchi za mgaharibi ila kwa hapa bongo kuna bonge la tofauti.That's the lie we always tell ourselves. Mwanaume hawezi oa mwanamke yeyote just like Mwanamke hawezi olewa na mwanaume yeyote, huo ndio ukweli.
Struggle ya kutafuta match ni sawa kwa wote ME na KE, utazurura lakini mwisho wa siku utahitaji mtu mmoja tu ambae ni sahihi ( hapa ndio uchawi ulipo). Wanawake hawaolewi sababu hawajapata mtu sahihi vivyo hivyo kwa wanaume.
Sawa mkuu hapo umeeleweka, sasa fanya mpango uongee na mashangazi wamuulize binti kulikoni umri unasonga mboni kimya hakuna hata mwenzake nyumbani kuna shida gani?Hiyo haikuwa kazi ya baba au mama. Ilikuwa ni kazi ya mashangazi kuskauti mwanaume na kumkalisha binti. Binti yangu akiamua kuwa singeli mazeli, huo ni uamuzi wake ila mtoto hamleti kwangu anampeleka kwa babu yake (aliyedonate spems).
Umeiona hii na namba ya simu! Singeli ni hatari na shupavuSawa mkuu hapo umeeleweka, sasa fanya mpango uongee na mashangazi wamuulize binti kulikoni umri unasonga mboni kimya hakuna hata mwenzake nyumbani kuna shida gani?
Kumbe alituwekea na Bango humu humu ndani mkuu? Au huyo sio yeye nimeona vibaya?Umeiona hii na namba ya simu! Singeli ni hatari na shupavu
Natafuta mchumba
Mi ni single mom, mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe Mkristo, umri kuanzia 35+, asiwe Muhaya wala Mkurya, awe anajishughulisha! ASANTE.www.jamiiforums.com
Binti yangu hajazaa weweKumbe alituwekea na Bango humu humu ndani mkuu? Au huyo sio yeye nimeona vibaya?
Sawa mkuu basi usihofu sana, atampata mwenzake tu na ataolewa very soon Mungu atamsaidia mkuu,Binti yangu hajazaa wewe
Mungu tena, nadhani hapo lazima aende kwa Mwamposa! Nasema kuolewa hakuna haraka hata akifika 75 ataolewa tu ili mradi abane mapajaSawa mkuu basi usihofu sana, atampata mwenzake tu na ataolewa very soon Mungu atamsaidia mkuu,
πππ Mkuu acha kunichekesha, akifika 35yrs bila kua na watoto mji wa Mimba unaanza kujifunga vipi huna mpango wa kua na wajukuu?Mungu tena, nadhani hapo lazima aende kwa Mwamposa! Nasema kuolewa hakuna haraka hata akifika 75 ataolewa tu ili mradi abane mapaja