Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

Usiilaumu elimu, jilaumu wewe mafanikio yote unayoyaona duniani ni matunda ya elimu na sio kitu kingine

Tuwafundishe watoto wetu wawe ni watu wa kujiongeza na kuchangamkia fulsa na sio wachukie elimu
 
Kwa nini unapenda sana kujichomeka kwenye maisha ya watu ambao hata huwajui, kuwapa ushauri ambao hata hawajakuomba, katika mambo ambayo huyafahamu?
Haya maneno umenitilia mdomoni. Kama wewe ni mwanamke itakuwa ulijazwa mimba kwa Kiranga chako na kukatishwa masomo; so, ninapoongelea jambo hili nakuwa kama nakutonesha kidonda. Pole sana mkuu. Huenda unapitia wakati mgumu lakini piga moyo konde yatakwisha!
 
X wako kaolewa ety☺️
 
...kuongeza elimu kunapandisha status na hapo kuna uwezekano mkubwa wa kupata wenye elimu kama yake au zaidi ingawa kusema za ukweli wengi hawatakuwa ni age mate wake.
Siyo kwa Ke.. Mwanamke mwenye PhD ni vigumu kuolewa maana wanakuwaga kama madume tu, yaani siyo wife material.
Labda kama anajiweza yeye ndo atafute kijana wa mujini, Marioo aoe, halafu gharama zoote za maisha iwe juu yake (huyo Ke) !
 
Unakanusha jambo kwa kusema kwamba nakutilia maneno mdomoni, halafu unarudia kusema maneno hayo hayo vile vile.

Una akili wewe?

Let me indulge your feeble mind with immanent critique.

Tuseme mimi mwanamke, nimetiwa mimba kwa kiranga, wewe inakuhusu nini?

Bado hujaeleza hili jambo linakuhusu nini. Hujaeleza pilipili ya shamba wewe inakuwashia nini?

Unaona wivu ulitaka kutiwa mimba wewe? Hili ndilo tatizo lako? Unataka kutiwa mimba wewe?

Nilikuomba ushauri?

Hujajibu swali hili.

Unatoa ushauri bila kuombwa, kwa mtu usiyemjua, katika jambo usilolifahamu.
 
Unyamaaaaa
 

Ndoa ni jambo jema
Lakini ni muhimu kuyapa umuhimu Yale uliyotumwa kuyafanya duniani pia
 
Acheni dada zetu wazalie nyumbani ..hivi ninani kakuambia hatupendi kumpata wajomba wa kuwatuma bangi!??na sigara
 
My sister Ana masters ila hajaolewa hadi Leo na yupo na 42! Sijui ndio wanaume wanaogopa wasomi?! ..Just thinking
 
FYI ndoa ni one of the greatest achievement kwa mwanamke

Ukiolewa unajiona kama uko na security fulani hivi
1.Hitaji la kwanza kabisa la mwanamke ni AFFECTION(exclusive care)
----AFFECTION inamaana ya kumpenda,kumjali,kumskiliza,kumshauri,n.k
-----affection is more than love.
------kisses,hugs,flowers,gifts,extending common courtesies,showing little daily acts of thoughtfulness and so forth

2.COMMUNICATION.
---wanaume wengi hufikiri a real man is a man who keeps silent.Big NO
---Tenga muda wa kuongea nae,kumskiliza,kumshauri
----Hii itakulipa katika kuimarisha na kutengeneza mahusiano bora zaidi

3.ukweli na uwazi(HONESTY & OPENNESS)
----Unapokuwa wazi kwa mwanamke unazidi kumfanya aone una malengo naye,mapenzi naye ya dhati
-----Na hii inaweza kuwa silaha ya kumuumiza mwanamke,WHY?because a woman interprets openness as LOVE.

4.FINANCIAL SUPPORT
---Kubali/kataa mwanamke anahitaji kuwezeshwa kiuchumi/pesa.ndio maana a woman needs a man who is working and loves to work.
----kwa kipato chochote halali mwanaume anahitaji kuitunza familia yake.

5.FAMILY COMMITTMENT.
---Mwanamke anataka kuona unaitanguliza familia yenu mbele.kama kumpa kipaumbele yeye na watoto(kama mnao)
----anataka kujua na kuona kweli una mipango ya muda mrefu ya kutengeneza familia bora na yeye
 
FYI ndoa ni one of the greatest achievement kwa mwanamke

Ukiolewa unajiona kama uko na security fulani hivi
Na mkiolewa mnaanza kuwa wajeuri kisa mmeshapata security hasa kwenye mali. Nyinyi watu huwa hamuelewekagi kabisa
 
My sister Ana masters ila hajaolewa hadi Leo na yupo na 42! Sijui ndio wanaume wanaogopa wasomi?! ..Just thinking
Kiwango cha elimu kwa mwanamke haiwezi kuwa kikwazo kwa yeye kuolewa, nimeshuhudia diploma holder akiona mke mwenye masters, nimeona form 4 leaver akaingia mtaani kujiweka sawa kimaisha kama kuoa mke mwenye degree.
 
Kiwango cha elimu kwa mwanamke haiwezi kuwa kikwazo kwa yeye kuolewa, nimeshuhudia diploma holder akiona mke mwenye masters, nimeona form 4 leaver akaingia mtaani kujiweka sawa kimaisha kama kuoa mke mwenye degree.
Hujui wanayopitia mkuu kuna rafiki yangu yeye alisomea mambo ya HIV guiding and counselling akaoa mwanamke amesomea nursing wote wanafanya kazi ile ndoa hata mwaka haikufika kwanza ilikuwa ina migogoro kama ndoa ya miaka 10 mwanamke akikasirika anamwambia jamaa ndio maana ulifeli 4m4 wewe waliachana jamaa akaenda kuchukua darasa la saba kijijini kaweka ndani ni ngumu sana mwanamke aliyesoma au mwenye hela kuwa na heshima kwa mume wake wa ndoa maana huko kwenye ma group ya WhatsApp na kazini wanajazana ujinga tu.
 
Utamsikia akisema ; “ afadhali niolewe niweze kujikwamua na maisha” [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…