Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Usiilaumu elimu, jilaumu wewe mafanikio yote unayoyaona duniani ni matunda ya elimu na sio kitu kingineHapa kila mtu ana tafsiri yake ya mafanikio, yes we unaona kuana Hon. Degree ndio mafanikio, kuna ambaye akioa/kuolewa ni mafanikio tosha. So far elimu yetu ni ya kishenzi tu na yakupotezea vijana muda na kuzima ndoto zao, nikisema hivi utasema sijasoma ila ni ukweli mimi pamoja na kufika Mlimani pale na nikaajiriwa ila nimeshaona jinsi nimecheza na muda. 17 good years na bado nikahangaika kupata ajira ambayo hata hivyo nnaona bila kujiongeza nitakufa masikini, maana mafanikio ntakayopata sana ni kula, kuvaa na kujenga kajumba labda na kuwasomesha watoto ktk mtiririko huo wa kikoloni. Mimi binafsi nishaamua sio kipaumbele changu kwa mwanangu kua na degree, zaidi nitampa exposure kupitia watu waliofanikiwa, haswa kumpeleka duniani huko akajionee jinsi utajiri unatengenezwa
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tuwafundishe watoto wetu wawe ni watu wa kujiongeza na kuchangamkia fulsa na sio wachukie elimu