Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?
Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.
Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.
Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.
Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.
Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.
Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.
Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.
Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi