Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
Inanyesha, ninaona panapo vuja.
 
Tundu anaongea a lot of rubbish ambazo hazimsaidii kujitoa kwenye tuhuma za uhaini.

Hiyo statement kuhusu kupigwa risasi, kufutwa ubunge na Ndugai, kupigwa risasi, kunyimwa mafao yake etc, iko associated vipi na tuhuma zilizo mbele yake?

Anaongea vitu IRRELEVANT mahakamani na nyie laymen mnafurahi mnadhani ni hoja
Anaonyesha jinsi anavyoonewa!
 
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
Hivi mlitarajia kesi ya chuki, wivu na tofauti za kisiasa iwe na matokeo tofauti na kinachoendelea?
Kifupi wanataka TAL akubaliane na matakwa yao... Rejea kauli za SSH kwamba "mwenzao mmoja bado anatafakari..."
Pale mahakamani TAL alisema wazi kuwa Mkuu wa jela anamtoaga mara kwa mara kwq Siri kwenda kwenye vikao vya siri na watu wa Siri kujadili masuala ya Siri!

WaTanganyika kuweni na imani thabiti na TAL - Nilimshuhudia akifanya kazi ya kizalendo iliyotukuka kipindi LEAT Mazingira na masuala ya madini Kanda ya Ziwa.
Kifupi TAL ni nabii wa zama zetu. MUNGU pekee ndo anajua hatma yake!
Wanaojaribu kumdhulumu watadhulumiwa wao zaidi!
 
Anaonyesha jinsi anavyoonewa!
Mahakama siyo mahali pa huruma bali ni sheria na ushahidi.

Sawa na hospitali usodhani wanamtibu mgonjwa kwa kumhurumia bali wanaangalia ugonjwa na kumuandikia dawa. Asipopona au akifariki huwezi kuwalaumu kuwa kwa nini hawakumponya. Inategemea hali ulya ugonjwa
 
Wanatupima
Lakini tulipofikia is hard to turnback
 
Mahakama siyo mahali pa huruma bali ni sheria na ushahidi.

Sawa na hospitali usodhani wanamtibu mgonjwa kwa kumhurumia bali wanaangalia ugonjwa na kumuandikia dawa. Asipopona au akifariki huwezi kuwalaumu kuwa kwa nini hawakumponya. Inategemea hali ulya ugonjwa
Sawa
 
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
Huenda mtoa script ndio yupo hatarini zaidi kuliko anavyofikiri

Tulimwambia JPM na tunamwambia mtawala wa sasa

Dunia inafanya kazi kwenye perfect balance , the bad always balances with the good

Msiwe na Shaka,
 
Back
Top Bottom