Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ni zaidi ya elfu 10.Si ndio hapo!! Watu wameua watanganyika wanaokadiriwa kufika elfu moja kikatili vile na wala hawajali wala nini, ndio waogope kumuua huyu mmoja!!
Sio elfu 1.
Ni zaidi ya elfu 10.Si ndio hapo!! Watu wameua watanganyika wanaokadiriwa kufika elfu moja kikatili vile na wala hawajali wala nini, ndio waogope kumuua huyu mmoja!!
Tundu anaongea a lot of rubbish ambazo hazimsaidii kujitoa kwenye tuhuma za uhaini.Hoja Yako nini hapo?
Kuna wakili mmoja Jina nimesahau alisema hata kama Lissu atakutwa na hatia basi wao kama Mawakili watakata rufaa kwenda mahakama ya makosa ya kivita,mimi naamini Pimzi ya Jamuhuri tayari imekata kwasababu kitendo cha kuzuia baadhi ya mashahidi wasije kwasababu za Katuga na wenzake ni ujinga mtupu na uoga na hiyo inaonyesha tayari maji ya jioni yameanza kuwaingiaKuna watu hufikiri wao walivyo basi ndio kila mtu yupo hivyo.
Hapo wanadhani Kuna mtu anaogopa Lisu kuhukumiwa kunyongwa na akanyongwa kweli.
Hofu wanayo watu wakawaida ambao wapo programmed kuogopa
Wewe haujui kitu nyamazaTundu anaongea a lot of rubbish ambazo hazimsaidii kujitoa kwenye tuhuma za uhaini.
Hiyo statement kuhusu kupigwa risasi, kufutwa ubunge na Ndugai, kupigwa risasi, kunyimwa mafao yake etc, iko associated vipi na tuhuma zilizo mbele yake?
Anaongea vitu IRRELEVANT mahakamani na nyie laymen mnafurahi mnadhani ni hoja
Wao ndo wana hofu kuliko Lissu kwasababu wanajua wanayoyafanya sio ya haki
Ninafikiri unajua unachoongea kina madhara gani ila umeamua kujitoa ufahamuKwani hukumu wanatoa watu wa kimataifa?
Tangu wameanza kutoa matamko yao unewahi kuona Serikali hata ikijisogeza?
Hatari ni kubwa sana kwa sababu ya fujo za mwaka jana! Zile fujo zisingetokea maana yake angekuwa hana kesi ya kujibu na ingeonekana ni kelele tu!Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?
Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.
Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.
Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.
Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.
Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.
Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.
Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.
Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
2. Mtume ﷺ alionya kuhusu hatari ya u-QadhiMmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?
Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.
Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.
Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.
Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.
Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.
Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.
Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.
Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
Utakapokuwa unatoa pumzi yako ya mwisho na hukumu yako itakuwa langoni.Hatari ni kubwa sana kwa sababu ya fujo za mwaka jana! Zile fujo zisingetokea maana yake angekuwa hana kesi ya kujibu na ingeonekana ni kelele tu!
Kama jamaa yupo tayari kunyongwa hapo sawa lakini inavyoonekana utetezi wake usipokuwa na mashiko basi atahukumiwa kunyongwa!
Fanyeni yoote,lkn jua hamuwezi lumuua.mlishindwa kumpiga risasi 17 ndo muweze kumyonga mwanasheria nguli??mnachekesha sana nyie.Kunakuzijua Sheria na kuwa na kamdomo mdomo Kama Madeleka. Lissu ni msanii tu kama wewe Msanii
Hebu soma hii extract ya jana hapa kutoka kwenye sehemu ya maelezo yake;-
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Demokradia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ameiambia mahakama Kuu kuwa kulingana na matukio ya kisiasa dhidi yake katika vipindi tofauti, ikiwemo kushambuliwa kwa risasi, kufutwa ubunge wake kwa madai ya utoro bungeni pamoja na Bunge kutogharamia matibabu yake baada ya kushambuliwa ni baadhi ya vitu vinavyomuaminisha kuwa kesi ya uhaini inayomkabili ni vita ya kisiasa na si uhaini.
Lissu ameiambia mahakama leo Agost 21, 2026 wakati akiendelea kutoa ushahidi wake kama shahidi wa kwanza, mara baada Mahakama hiyo Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kumkuta na kesi ya kujibu.
“Tarehe 29, Juni, 2019 aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Marehemu Job Ndugai alitangaza kunifuta ubunge kwakuwa nilikuwa mtoro, hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize ubunge wangu, kwamba sionekani bungeni kwa miaka miwili na spika hajui nilipo, ndio alisema hivyo,”..
“Bunge na serikali ya Tanzania lilikataa katakata kuchangia hata sehemu ya matibabu na licha ya sheria ya uendeshaji wa bunge kuelekeza”.
Mytake:
Huyu ndiyo mnasema ndiye mwalimu au bingwa wa sheria??
Hebu tutajie walimu wa sheria, na uweke baadhi ya kesi walizowahi kuishinda kwenye mahakama ambazo nchi imeshitakiwa. Hizi mahakama za simu moja huwezi kupata kipimo halisi ya uwezo wa mtu, maana haziendeshwi kisheria, bali zinatii utashi wa rais na genge lake.Kunakuzijua Sheria na kuwa na kamdomo mdomo Kama Madeleka. Lissu ni msanii tu kama wewe Msanii
Hebu soma hii extract ya jana hapa kutoka kwenye sehemu ya maelezo yake;-
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Demokradia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ameiambia mahakama Kuu kuwa kulingana na matukio ya kisiasa dhidi yake katika vipindi tofauti, ikiwemo kushambuliwa kwa risasi, kufutwa ubunge wake kwa madai ya utoro bungeni pamoja na Bunge kutogharamia matibabu yake baada ya kushambuliwa ni baadhi ya vitu vinavyomuaminisha kuwa kesi ya uhaini inayomkabili ni vita ya kisiasa na si uhaini.
Lissu ameiambia mahakama leo Agost 21, 2026 wakati akiendelea kutoa ushahidi wake kama shahidi wa kwanza, mara baada Mahakama hiyo Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kumkuta na kesi ya kujibu.
“Tarehe 29, Juni, 2019 aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Marehemu Job Ndugai alitangaza kunifuta ubunge kwakuwa nilikuwa mtoro, hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize ubunge wangu, kwamba sionekani bungeni kwa miaka miwili na spika hajui nilipo, ndio alisema hivyo,”..
“Bunge na serikali ya Tanzania lilikataa katakata kuchangia hata sehemu ya matibabu na licha ya sheria ya uendeshaji wa bunge kuelekeza”.
Mytake:
Huyu ndiyo mnasema ndiye mwalimu au bingwa wa sheria??
Duuuuh!🙆♂️🙆♂️🙆♂️Ni zaidi ya elfu 10.
Sio elfu 1.
Itakuwa kama DRC, waliishalaniwa na Patrice Lumumba baada ya kumuua hadharani wakati hakuwa na kosa!Hii LAANA wanayotenda nchi italaanika jumla na haitakuja kupona , Majaji na wahusika wote wataishi maishi ya majuto wao na vizazi vyao Kwa muda mrefu sana
Kwamba mkiwa mna type mtaishi milele?Mtakufa wachache mtakaokinukisha, sie tutakua tunawaombea huku tunatype kama hv
Mkuu 'Msanii' unaeleweka unachotahadharisha juu yake, lakini huo ndio utaratibu pekee uliopo sasa; mbali ya CHADEMA kujisalimisha kwa Samia.Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.
Inatosha sasa.MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....