Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

Hao hata kesi isiposikilizwa tayari ina hukumu hiyo mkuu..
Ushahidi wa wale Polisi ilitakiwa iwe ishafutwa sema hakuna wanachosikiliza hapo wao wanaenda kutimiza wajibu tu waje kutoa hukumu ila sidhani kama Nchi itatulia waache waendelee na maigizo yao..
Hii LAANA wanayotenda nchi italaanika jumla na haitakuja kupona , Majaji na wahusika wote wataishi maishi ya majuto wao na vizazi vyao Kwa muda mrefu sana
 
Kunakuzijua Sheria na kuwa na kamdomo mdomo Kama Madeleka. Lissu ni msanii tu kama wewe Msanii

Hebu soma hii extract ya jana hapa kutoka kwenye sehemu ya maelezo yake;-

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Demokradia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ameiambia mahakama Kuu kuwa kulingana na matukio ya kisiasa dhidi yake katika vipindi tofauti, ikiwemo kushambuliwa kwa risasi, kufutwa ubunge wake kwa madai ya utoro bungeni pamoja na Bunge kutogharamia matibabu yake baada ya kushambuliwa ni baadhi ya vitu vinavyomuaminisha kuwa kesi ya uhaini inayomkabili ni vita ya kisiasa na si uhaini.

Lissu ameiambia mahakama leo Agost 21, 2026 wakati akiendelea kutoa ushahidi wake kama shahidi wa kwanza, mara baada Mahakama hiyo Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kumkuta na kesi ya kujibu.

“Tarehe 29, Juni, 2019 aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Marehemu Job Ndugai alitangaza kunifuta ubunge kwakuwa nilikuwa mtoro, hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize ubunge wangu, kwamba sionekani bungeni kwa miaka miwili na spika hajui nilipo, ndio alisema hivyo,”..

“Bunge na serikali ya Tanzania lilikataa katakata kuchangia hata sehemu ya matibabu na licha ya sheria ya uendeshaji wa bunge kuelekeza”.

Mytake:
Huyu ndiyo mnasema ndiye mwalimu au bingwa wa sheria??
Mchezo wa lugha kutafuta mantiki tu hapo ila ukweli haupo hivyo, hata wewe mwenyewe unaujua.
 
Hii LAANA wanayotenda nchi italaanika jumla na haitakuja kupona , Majaji na wahusika wote wataishi maishi ya majuto wao na vizazi vyao Kwa muda mrefu sana
Mpaka hapa Nchi ishapata laana mazee tushaingia anga za kina Burundi umeona life ya Tanzania sasa hivi ilivyo utdhani hatuna mali hata moja kwa sababu wasimamizi wapo busy na vitu vya kijinga ni kama kuna sehemu tulikosea tunaadhibiwa sio bure watu wanapata sana tabu mtaani huko.
 
Mtaani hali ishakuwa mbaya sana nchi inatakiwa izaliwe upya na kusafishwa upya maana ishakuwa na LAANA ya kumwaga damu za wasio na Hatia na pia LAANA ya uonevu

Kama wanajidanganya hii njia ya kutawala kwa kutumia mabavu wamekosea sio zama hizi , hii njia ilitakiwa ianzie gizani huko miaka ya nyuma ila Kwa Sasa wamechelewa

Ni suala la muda kuwa Libya na Syria
 
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
Uzuri wanayemfanyia hivyo yupo tayari kufa amesimama kuliko kugalala na kupiga magoti. Na hakuna lolote liteendelea hizo ni mbwembwe tu mwisho atakuwa nje
 
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
wewe ndo ungekua na hayo mamlaka..ungemnyonga lissu.?
 
Si ndio hapo!! Watu wameua watanganyika wanaokadiriwa kufika elfu moja kikatili vile na wala hawajali wala nini, ndio waogope kumuua huyu mmoja!!
You can be evil and smart at the same time. Wanaweza wasiwe na hofu ya kuua ila wakawa na hofu ya kumuua Lissu, wakizingatia kwamba wapo ktk harakati za kujisafisha na dhana ya kwamba wao ni wauaji, kufuatia matukio ya October 29. Mtu mdhalimu mwenye akili anachagua wa kumuua na wakati wa kuua huku akizingatia madhara. Kinachowachelewesha au kuwazuia ni hofu ya madhara ya kumuua Lissu na siyo kuua. Kuua tayari wanajua.
 
Mtaani hali ishakuwa mbaya sana nchi inatakiwa izaliwe upya na kusafishwa upya maana ishakuwa na LAANA ya kumwaga damu za wasio na Hatia na pia LAANA ya uonevu

Kama wanajidanganya hii njia ya kutawala kwa kutumia mabavu wamekosea sio zama hizi , hii njia ilitakiwa ianzie gizani huko miaka ya nyuma ila Kwa Sasa wamechelewa

Ni suala la muda kuwa Libya na Syria
Sijawahi kufikiri kama Home itakuja kuwa kama sasa nilipokua nakutana na wakongo nilikua nashangaa sana kwa nini hawa jamaa hawajatulia kumbe ilikua swala la muda tu.
 
Dawa pekee ya kuiponya hiyo nchi ni civil war tu ,RAIA acheni kuwa makum@ tafuta silaha muanze mob justice dhidi ya watawala feki wa ccm ,vibaraka na machawa wao ,UA choma moto mali zao hata ikibidi windeni na kuua familia zao . hutakiwi kumuonea huruma dhalimu maana huwa sio binadamu hao
 
Kuna watu hufikiri wao walivyo basi ndio kila mtu yupo hivyo.

Hapo wanadhani Kuna mtu anaogopa Lisu kuhukumiwa kunyongwa na akanyongwa kweli.

Hofu wanayo watu wakawaida ambao wapo programmed kuogopa
Mkesema hawaogopi mtakua mnajidanganya,ungekua unajua yaliyo nyuma ya pazia nadhani ungebadilisha mtazamo wako.
Ungekua unajua ghrama kubwa inayotumika kuzima Hali ya mambo ilivyo nadhani ungebadili mtazamo wako.
Hakuna asieogopa hata Putin anaogopa kuhusu hatma yake kutokana na vita inayoendelea,
Trump pia anaogopa kutokana na vita inayoendela .

Ukisema Hawa wa kwetu hawaogopi utakua unajidanganya sana.
Hawa wa kwetu ishu Yao imekaa vibaya sana.
 
Kunakuzijua Sheria na kuwa na kamdomo mdomo Kama Madeleka. Lissu ni msanii tu kama wewe Msanii

Hebu soma hii extract ya jana hapa kutoka kwenye sehemu ya maelezo yake;-

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Demokradia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ameiambia mahakama Kuu kuwa kulingana na matukio ya kisiasa dhidi yake katika vipindi tofauti, ikiwemo kushambuliwa kwa risasi, kufutwa ubunge wake kwa madai ya utoro bungeni pamoja na Bunge kutogharamia matibabu yake baada ya kushambuliwa ni baadhi ya vitu vinavyomuaminisha kuwa kesi ya uhaini inayomkabili ni vita ya kisiasa na si uhaini.

Lissu ameiambia mahakama leo Agost 21, 2026 wakati akiendelea kutoa ushahidi wake kama shahidi wa kwanza, mara baada Mahakama hiyo Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kumkuta na kesi ya kujibu.

“Tarehe 29, Juni, 2019 aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Marehemu Job Ndugai alitangaza kunifuta ubunge kwakuwa nilikuwa mtoro, hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize ubunge wangu, kwamba sionekani bungeni kwa miaka miwili na spika hajui nilipo, ndio alisema hivyo,”..

“Bunge na serikali ya Tanzania lilikataa katakata kuchangia hata sehemu ya matibabu na licha ya sheria ya uendeshaji wa bunge kuelekeza”.

Mytake:
Huyu ndiyo mnasema ndiye mwalimu au bingwa wa sheria??
Huoni hapa watu na dunia wanajulishwa kile amekipitia? Na huoni madhara kama nchi ya yeye kuwa ndani?
 
Au labda wanahisi risasi zote zile alizopigwa zilikuwa zina lengo la kumchubua kidogo tu!!! Hao watu washaagana nafsi zao na shetani hakuna kitu wanaogopa. Watafanya lolote kulinda interest zao.

Sahihi kabisa.

Alafu unakuta mtu anawaambia wamwogope Mungu. Wao hawamuogopi na wala hawana habari naye
Mkesema hawaogopi mtakua mnajidanganya,ungekua unajua yaliyo nyuma ya pazia nadhani ungebadilisha mtazamo wako.
Ungekua unajua ghrama kubwa inayotumika kuzima Hali ya mambo ilivyo nadhani ungebadili mtazamo wako.
Hakuna asieogopa hata Putin anaogopa kuhusu hatma yake kutokana na vita inayoendelea,
Trump pia anaogopa kutokana na vita inayoendela .

Ukisema Hawa wa kwetu hawaogopi utakua unajidanganya sana.
Hawa wa kwetu ishu Yao imekaa vibaya sana.

Sio kwa hawa CCM wanaokula na hao Wazungu. Alafu upinzani wanadanganywa na haohao wazungu
 
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
Hakika katiba mpya ni sasa shetani yupo Kasi kumwamgamiza kila moja asiyempenda na asiyependa maovu yake.
 
Kunakuzijua Sheria na kuwa na kamdomo mdomo Kama Madeleka. Lissu ni msanii tu kama wewe Msanii

Hebu soma hii extract ya jana hapa kutoka kwenye sehemu ya maelezo yake;-

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Demokradia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ameiambia mahakama Kuu kuwa kulingana na matukio ya kisiasa dhidi yake katika vipindi tofauti, ikiwemo kushambuliwa kwa risasi, kufutwa ubunge wake kwa madai ya utoro bungeni pamoja na Bunge kutogharamia matibabu yake baada ya kushambuliwa ni baadhi ya vitu vinavyomuaminisha kuwa kesi ya uhaini inayomkabili ni vita ya kisiasa na si uhaini.

Lissu ameiambia mahakama leo Agost 21, 2026 wakati akiendelea kutoa ushahidi wake kama shahidi wa kwanza, mara baada Mahakama hiyo Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kumkuta na kesi ya kujibu.

“Tarehe 29, Juni, 2019 aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Marehemu Job Ndugai alitangaza kunifuta ubunge kwakuwa nilikuwa mtoro, hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize ubunge wangu, kwamba sionekani bungeni kwa miaka miwili na spika hajui nilipo, ndio alisema hivyo,”..

“Bunge na serikali ya Tanzania lilikataa katakata kuchangia hata sehemu ya matibabu na licha ya sheria ya uendeshaji wa bunge kuelekeza”.

Mytake:
Huyu ndiyo mnasema ndiye mwalimu au bingwa wa sheria??
Halafu kwenye maelezo yako hakumalizia kwamba alipoingia Samia alilipwa stahiki zake
 
Hii LAANA wanayotenda nchi italaanika jumla na haitakuja kupona , Majaji na wahusika wote wataishi maishi ya majuto wao na vizazi vyao Kwa muda mrefu sana
Nchi haiwezi kulaaniwa. Laana itawafuata na kuwatafuna wanaoikaribisha kwa maovu yao!
 
Kunakuzijua Sheria na kuwa na kamdomo mdomo Kama Madeleka. Lissu ni msanii tu kama wewe Msanii

Hebu soma hii extract ya jana hapa kutoka kwenye sehemu ya maelezo yake;-

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Demokradia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ameiambia mahakama Kuu kuwa kulingana na matukio ya kisiasa dhidi yake katika vipindi tofauti, ikiwemo kushambuliwa kwa risasi, kufutwa ubunge wake kwa madai ya utoro bungeni pamoja na Bunge kutogharamia matibabu yake baada ya kushambuliwa ni baadhi ya vitu vinavyomuaminisha kuwa kesi ya uhaini inayomkabili ni vita ya kisiasa na si uhaini.

Lissu ameiambia mahakama leo Agost 21, 2026 wakati akiendelea kutoa ushahidi wake kama shahidi wa kwanza, mara baada Mahakama hiyo Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kumkuta na kesi ya kujibu.

“Tarehe 29, Juni, 2019 aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Marehemu Job Ndugai alitangaza kunifuta ubunge kwakuwa nilikuwa mtoro, hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize ubunge wangu, kwamba sionekani bungeni kwa miaka miwili na spika hajui nilipo, ndio alisema hivyo,”..

“Bunge na serikali ya Tanzania lilikataa katakata kuchangia hata sehemu ya matibabu na licha ya sheria ya uendeshaji wa bunge kuelekeza”.

Mytake:
Huyu ndiyo mnasema ndiye mwalimu au bingwa wa sheria??
Hoja Yako nini hapo?
 
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
Inasikitisha sana
 
Huoni hapa watu na dunia wanajulishwa kile amekipitia? Na huoni madhara kama nchi ya yeye kuwa ndani?
Kwani hukumu wanatoa watu wa kimataifa?

Tangu wameanza kutoa matamko yao unewahi kuona Serikali hata ikijisogeza?
 
Back
Top Bottom