Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

Mtu anakuambia Samia ataogopa kwenda Mahakamani kisa ataabishwa sijui atageuzwa kichekesho.
Hivi kuna mwanasiasa anaogopa aibu au kugeuzwa kichekesho ilimradi jambo lake liwe?

Watu hawajui alipo Polepole, huyohuyo Lisu alipigwa Risasi, nini kilitokea? Walifanya kitu gani?

Hao waliofanya waliogopa au wanahofu ipi mpaka sasa?
Au labda wanahisi risasi zote zile alizopigwa zilikuwa zina lengo la kumchubua kidogo tu!!! Hao watu washaagana nafsi zao na shetani hakuna kitu wanaogopa. Watafanya lolote kulinda interest zao.
 
sasa shetani hatakiwi kuogopwa. Shetani hukemewa! Majeshi Majeshi ya mbinguni huitwa.

kuna vita zingine huvuka viwango vya kibinadamu. huwa kati ya falme za giza dhidi ya Mungu Aliye hai. shetani ni adui wetu aliyeshindwa vita tayari.
 
Wabongo tunapenda sana kuendekeza uoga ambao ndiyo nguzo mama ya ccm kututawala kimabavu miaka nenda! Lissu siyo mpumbavu. Anafahamu anachokitafuta. Aachwe mpaka mwisho wa safari yake.

Mimi kama mimi ninaamini kwenye hiki anachokifanya. Kama matunda ya kile anachokifanya hayataonekana sasa, basi yataonekana kwa vizazi vijavyo. Hii nchi kwa miaka mingi ilikosa watu wenye ujasiri na uthubutu wa kupambana mfumo ovu wa utawala wa ccm! Haiwezekani wahuni wachache waendelee kutuamulia hatma ya maisha yetu.

Lissu simama hapo hapo! Walishindwa kukuua kwa risasi, na hata sasa watashindwa kukuua kupitia mahakama zao za mifukoni.
 
Mtu anakuambia Samia ataogopa kwenda Mahakamani kisa ataabishwa sijui atageuzwa kichekesho.
Hivi kuna mwanasiasa anaogopa aibu au kugeuzwa kichekesho ilimradi jambo lake liwe?

Watu hawajui alipo Polepole, huyohuyo Lisu alipigwa Risasi, nini kilitokea? Walifanya kitu gani?

Hao waliofanya waliogopa au wanahofu ipi mpaka sasa?
Kama hakuna wanachoogopa kwanini hawajawahi kukiri kuwa walimteka polepole? Au kumpiga risasi lissu? Pamoja na kwamba wanajuwa wanashukiwa wao lakini bado hawataki watu wawe na uhakika 100 percent kwamba ni wao wanateka na kuua. Hiyo inaonesha kuna vitu huwa wanaogopa na hawataki consequences tha vitu hivyo. Sasa kama hawaogopi kumnyonga wamnyoge tu nayeye haogopi kunyongwa kwa ajili ya anachokipigania.
 
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi

Off course wote tunajua kuwa hawa Wahuni wanaweza kufanya lolote kuhalalisha walichokipanga.

Lakini kitu ambacho kiko wazina ambacho lazima watakifanya ni kumuachia huru at some point. Whether before or after sentencing.
 
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?

Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.

Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya.

Amri zote walizotoa hakuna hata moja inayoheshimiwa wala kutekekezwa upande wa Jamhuri (ya mashetani wanywa damu za wasio na hatia). Mmeona namna mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa anajiamini na kutoa majibu ya kiburi.

Angalia namna ambavyo hata weledi wa sheria wanavyoelezea mwenendo wa kesi kuwa upande wa mashtaka hawajaweza kuproduce evidence ya kosa la uhaini.

Mashahidi wote wamepwaya kwenye cross examination na kuonesha hii kesi ni white elephant kwa hazina yetu.

Jaji Ndunguru na jopo lake chini ya Jaji Mkuu Masaju ni vibaraka ambao wameamua liwalo na liwe lazima malkia muuaji aridhishwe na kuwashughulikia wote wanaomkosesha usongizi na wapigania HAKI.

Tukubali kwamba Lisu yupo hatarini kuliko inavyoonekana. Behind ya pazia la mahakama kuna script. Mwandishi anajulikana.

Mungu ni Muweza
Hakika atatuvusha kwa ushindi
Hili la Lissu na wote wanaopigania haki kuwa hatarini ni jambo la dhahiri na Samia tunajua kabisa hatarudi nyuma bila kutudishwa nyuma. Ndiyo maana tunazidi kusema kila siku hii ni vita ya wananchi wote na siyo Lissu, CHADEMA wala wanaharakati. Ni vita kali na inayohitaji ujasiri na mikakati. Na nina uhakika tutashinda ila watanzania wengi tumezoea short-cut na kusubiri wengine wafanye. Kama unasoma historia ya tawala za madikteta wala huwezi kuona ajabu wala ku-panic kwa haya yanayotokea.
 
Kunakuzijua Sheria na kuwa na kamdomo mdomo Kama Madeleka. Lissu ni msanii tu kama wewe Msanii

Hebu soma hii extract ya jana hapa kutoka kwenye sehemu ya maelezo yake;-

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Demokradia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ameiambia mahakama Kuu kuwa kulingana na matukio ya kisiasa dhidi yake katika vipindi tofauti, ikiwemo kushambuliwa kwa risasi, kufutwa ubunge wake kwa madai ya utoro bungeni pamoja na Bunge kutogharamia matibabu yake baada ya kushambuliwa ni baadhi ya vitu vinavyomuaminisha kuwa kesi ya uhaini inayomkabili ni vita ya kisiasa na si uhaini.

Lissu ameiambia mahakama leo Agost 21, 2026 wakati akiendelea kutoa ushahidi wake kama shahidi wa kwanza, mara baada Mahakama hiyo Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kumkuta na kesi ya kujibu.

“Tarehe 29, Juni, 2019 aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Marehemu Job Ndugai alitangaza kunifuta ubunge p nilikuwa mtoro, hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize ubunge wangu, kwamba sionekani bungeni kwa miaka miwili na spika hajui nilipo, ndio alisema hivyo,”..

“Bunge na serikali ya Tanzania lilikataa katakata kuchangia hata sehemu ya matibabu na licha ya sheria ya uendeshaji wa bunge kuelekeza”.

Mytake:
Huyu ndiyo mnasema ndiye mwalimu au bingwa wa sheria??
Kuzijua sheria kumekuacha mweupe kama tui la nazi
 
Kunakuzijua Sheria na kuwa na kamdomo mdomo Kama Madeleka. Lissu ni msanii tu kama wewe Msanii

Hebu soma hii extract ya jana hapa kutoka kwenye sehemu ya maelezo yake;-

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Demokradia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ameiambia mahakama Kuu kuwa kulingana na matukio ya kisiasa dhidi yake katika vipindi tofauti, ikiwemo kushambuliwa kwa risasi, kufutwa ubunge wake kwa madai ya utoro bungeni pamoja na Bunge kutogharamia matibabu yake baada ya kushambuliwa ni baadhi ya vitu vinavyomuaminisha kuwa kesi ya uhaini inayomkabili ni vita ya kisiasa na si uhaini.

Lissu ameiambia mahakama leo Agost 21, 2026 wakati akiendelea kutoa ushahidi wake kama shahidi wa kwanza, mara baada Mahakama hiyo Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kumkuta na kesi ya kujibu.

“Tarehe 29, Juni, 2019 aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Marehemu Job Ndugai alitangaza kunifuta ubunge kwakuwa nilikuwa mtoro, hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize ubunge wangu, kwamba sionekani bungeni kwa miaka miwili na spika hajui nilipo, ndio alisema hivyo,”..

“Bunge na serikali ya Tanzania lilikataa katakata kuchangia hata sehemu ya matibabu na licha ya sheria ya uendeshaji wa bunge kuelekeza”.

Mytake:
Huyu ndiyo mnasema ndiye mwalimu au bingwa wa sheria??
Nyie wajinga wajinga siku nchi ikikombolewa wote tutawasafisha, Hilo mlijue mapema kwasasa endeleen kupigwa miti Kwa buku saba hapo lumumba
 
Back
Top Bottom