macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Lengo la katiba mpya siyo Chadema au chama chochote kushika dola!Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.
Hajui ni kwa manufaa ya raia wote akiwemo yeye?Wewe ni wa kupuuzwa!
Katiba mpya si kwa ajili ya CHADEMA kushika dola bali ni kujenga misingi ya haki na usawa na utawala bora wa nchi yetu!
Ndio maana nikaandika hata haya yakifanyika hamtakamata dola.Naomba siku moja katiba ibadilishwe ndio nitaamini maneno yako. Mabadiliko yafanywe has a kwenye:
1. Mahajama iwe huru, majaji wasiteuliwe na Rais.
2. Tume ya uchaguzi iwe huru 150%, Mwenyekiti na wajumbe wasiteuliwe na Rais.
3. Ma-DED kamwe wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
4. Matokeo ya Rais yapingwe mahakamani.
5. Kipindi cha kampeni nafasi ya U-Rais ishikwe na Jaji Mkuu
6....
Hilo ni jambo moja kati ya mengi.Malalamiko kuwa huwa mnashindwa uchaguzi sababu katiba haifai huwa yanatoka wapi?
Kwani ni lazima wao tu? Vyama si vingi tu..TADEA,ACT etc...CDM kuchukua dola siyo Katiba tu wajaribu kubadilisha aina na mbinu za kuendesha siasa nchini na hususani CDM ichitenge na ukaskazini na ndicho kilichowagharimu 2015 baada ya kuingiza ukanda baada ya kumpata Lowasa.
Kikubwa wabadilishe uongozi wa juu wamwondoe Mbowe aje mwenye mawazo mapya vinginevyo si rahisi kushinda na kuchukua dola kwa mazingira ya sasa. CCM imekuwa ikibadilisha siasa zake kulingana na wakati kwa athari mbaya au nzuri.
Wewe ni mpumbavu sana. No wonder mnabaki masikini wa fikra. Katiba mpya has nothing to do with CHADEMA bali ni kwa ajili ya mustakabali mzima wa muongozo wa Taifa letu.Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.
Katiba si kwa ajili ya chama fulani, ni kwa manufaa ya wananchi wote.Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.
Nafikiri mpumbavu ni yule anayejibu hoja bila kuelewa inahusu nini.Wewe ni mpumbavu sana. No wonder mnabaki masikini wa fikra. Katiba mpya has nothing to do with CHADEMA bali ni kwa ajili ya mustakabali mzima wa muongozo wa Taifa letu.
Umeshuhudia hapa siku chache zimepita toka amefariki Mungu wenu namna ambavyo Katiba Ina gaps za kimuongozo.
Kuna suala la nguvu za Rais kikatiba kwenye maamuzi na uteuzi.
Kuna mambo ya Bunge namna ambavyo tunaona gaps zilizojitokeza ikiwemo namna ambayo spika akifa je itakuwaje? Naibu atakuwa spika automatically? Na kama atakuwa automatically je Naibu wake atapatikanaje? Na itakuwaje?
Je ikitokea wamekufa Spika na Naibu wake inakuwaje? Designated Survivor.
Haya ni mambo baadhi tu, kuna ishu za Muungano hapo ni balaa, sasa wewe umekaa kuwaza pumba zako tu.
Jiwe ametusaidia sana kuyajua zaidi haya. Yameimbwa miaka mingi lakini yalipingwa na wengi. Utawala wa Jiwe yamekuwa wazi zaidi kiasi ambacho hata wapingaji wataona aibu.Naomba siku moja katiba ibadilishwe ndio nitaamini maneno yako. Mabadiliko yafanywe has a kwenye:
1. Mahajama iwe huru, majaji wasiteuliwe na Rais.
2. Tume ya uchaguzi iwe huru 150%, Mwenyekiti na wajumbe wasiteuliwe na Rais.
3. Ma-DED kamwe wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
4. Matokeo ya Rais yapingwe mahakamani.
5. Kipindi cha kampeni nafasi ya U-Rais ishikwe na Jaji Mkuu
6....
Iwe dola kwa manufaaHilo lipo wazi kamanda, ishu ni kukamata dola.
Sahihisho: Maccm wengi ndiyo wajinga ndiyo maana wanafikiri na kuamini kuwa Katiba Mpya ni kwa ajili ya Chadema kushika dola,mfano hai ni huyu kilaza mleta uzi huu.Tatizo kubwa watanzania wengi bado ni wajinga...
Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.