Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Ukitaka kuchomoka, watakuita kichaa!!
 
Na huo ndio ukweli wenyewe !!!
 
Ukitaka kuchoma, watakuita kichaa!!
Au DIKTETA !! NA SISI WOTE TUTAITIKIA KWELI DIKTETA, DIKTETA DIKTETA !! MIFANO IPO MINGI TU KILA ALIYEJARIBU KUJITOA KWENYE HUO MNYORORO ALIISHIA NJIANI !! WAO WANAWAPENDA WANAOSEMA YES SIR !!!
 
Hilo linajulikana mkuu.No means ,viongozi wenyewe ndo hawa ,chamsingi we angalia namna ya kurefusha kamba yako,ikiwezekana kata kamba kabisaaaa,Ila tu wasikushtukie.
 
Kwani hatujui? Tunajua Sana ila tunakabiliwa na vikwazo vya kubadili Hali.
Hatukumbani na vikwazo, ni kuwa sis ni wavivu na waoga wa kufanya maamuzi magumu. Tunapenda ya dezo tu: misaada na mikopo. Utasikia eti kingozi anjidai kuwa na akili timamu akisema kuwa tusifanye uamuzi fulani wa muhimu kwa vile eti tutanyimwa misaada na mikopo.
 
Huo fisadi uliuprove?
Hao maagent wa CIA wanavyokili kabla ya kifo kuhusika na mauaji ya watu huwa huwaoni?
 
Huu ni ukweli mchungu..
 
Umepotelea wapi uliyesema historia ilianza mwaka 3100bc?
Njoo uprove sio kuita watu wajinga.
 
Hakuna kitu mzungu, muhindi au mwarabu anachukia kama sisi waafrika weusi kuwazidi kwa chochote!
Niliwahi kununua kiatu cha mtumba maimoria pale moshi! Nikakivaa siku nimeenda huko uzunguni! Niliulizwa swali eti nimefanyajefanyaje mpaka nimeweza kumudu kununua kiatu hicho! Kuchinguza kinauzwa kwao €500 alafu mimi nilikiopoa kwa elfu ishirini na moja! Ikabidi niwajibu kuwa ni aina ya viatu navyopendelea tokea nikiwa mdogo baba yangu alinizoesha kuvaa brand hiyo ! Nikaongezea kuwa nilijaribu kuvaa viatu vingine nikateguka hivyo navaaga hiyo brand tu!
 
Sijui kwanini race zingine wanamhofia mwafrica.
 
Hicho kiatu kilitengenezwa kiwanda cha mitaa gani hapo memorial.maana usikute ulikutana na wazungu wajinga mkaanza kujadili ujinga.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la afrika ni mwafrika mwenyewe.mengine ni story tu.ingekua miafrika ni binadamu wanaojitambua hakuna ujinga au propaganda yoyote ingefanya kazi afrika.ila kwavile sisi ni watu duni tusiojielewa ndo maana huu ujinga wote umefanyika kwetu na bado tupo tupo tu.Na bado pamoja nakujua matatizo yetu bado hatutaweza kuyapatia ufumbuzi kwasababu sisi ni wajinga.Hadi tusubiri tena mizungu ije itutatulie.alafu ikitunyonya tunalalamika.Dunia ya leo kama hina matumizi mazuri ya akili zako utageuka kua nguvu kazi kwa wajanja.Tatizo la mwafrika ni miafrika yenyewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwenda zake alikuwa anapambana kuichomoa Tanzania [emoji1241] kutoka kwenye mikataba ya kinyonyaji wa madini,Lissu aliwatetea na kusema tutanyolewa bila maji. Africa imejaa vibaraka wengi wa wazingu.
Mnaingia mikataba ya kijinga wenyewe alafu mnataka kukurupuka kuivunja.Kabla hujakurupuka kumsema lissu jiulize kilichotokea ni nini?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndio maana wachina na waelewa sana style yao ya kuendesha nchi yao na ndio maana kila siku wana chanja Mbuga. Hii demokrasia tulio ichagua mzungu kama akiona kiongozi aliyepo madarakani anazuia maslahi yake lazima awavuruge na kumweka mtu atakaye tetea maslahi.
 
Wazungu ndio wamekufanya uamini kwamba wewe ni maskini wa akili tangu hawajakutawala, lakini kiukweli ni kwamba akili unayo, lakini wamecheza na sayansi kuweza kukufanya uamini kuwa huwezi kufanya kitu.
Ukiweza amka mkuu, maana hii ni vita.
Ukiaminishwa ujinga nawewe ukauamini hapo mwenye matatizo ni wewe uliyekubali kuaminishwa ujinga na ukauamini.Tungekua werevu kiasi chakutosha huo ujinga kamwe usingekuwepo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…