Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Ukitaka kuchomoka, watakuita kichaa!!Inajulikana hivyo na itaendelea kuwa hivyo na hakuna wa kubadirisha mfumo huo.
Tayari tulishalishwa dawa za kizungu, kiharabu nk, so kuchomoka ni nadra that's why unaona tupo hivi, Afrika tina utajiri wa namna zote kuliko hao waliotutawala but tupo chini yao as makoloni japo wanatutawala kisasa kupitia mikopo, dini na misaada.
As he said, ukitaka kupanda as Gaddaf au Jiwe huchukui round, wanatumia hao hao ndg zako for wrongdoing then unarejesha funguo kwa maulana.