longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
Hii hoja yako ni too General....sijajua unaongelea kwa upande wa personality traits kwa Psychological perspective au...Aristotle alipata kusema
“Give me a child until he is 7 and I will show you the man.”
Vitu vyote unavyo vifanya ukiwa mtu mzima vinatokan na ulichojifunza mpaka ulipofkia
miaka saba.
Hilo linawezekana pia.Siyo Africa labda Ulaya, sisi njaa inambadilisha mtu hata kama ana miaka 90
Hahaha!!! in a big picture..Hii hoja yako ni too General....sijajua unaongelea kwa upande wa personality traits kwa Psychological perspective au...
Sababu mimi binafsi yapo mambo mengi nimefanya na hayakuwahi kuwepo upande wangu hiko kipindi nina miaka saba.
Sipend kumtupia mtu tatizo...Mtoto anashinda shuleni
Kwanza kabisa niweke wazi mjadala wa Umasikini Africa sio jambo geni kwa wanazuoni na halitafikia mwisho hivi karibuni. Nimesoma Two School of Thought ambazo ni Kinzani.Ungekuwa umeskiliza hiyo video ungeelewa.
Mafanikio unayoyadai yanatoka na idelogy ulizofundishwa kuwa ili mafanikio
yawe mafanikio ni lazima yawe na hiki.
Tunapohoji mafanikio lazima tujue tunatumia idelogy ipi kuhoji hayo mmafanikio.
Kabla ya kuhoji ubaya na wema lazima tuanze kwa kuhoji ukweli ni nin na uongo nini.
Anayekaa na mtu kwa muda mrefu ana nafasi kubwa ya kumuinlfuence mtu hiyo ipo wazi.Sipend kumtupia mtu tatizo...
Kati ya mwl. na mzazi nani ana mu-influence mtoto kwa kiwango kikubwa?
Bado sijajua mzungu anasababisha vipi political instability kwa nchi kama Tanzania, sijajua anahusika vipi na wizi mkubwa wa viongozi ktk fedha za umma, sijajua mzungu anahusikaje na uvunjwaji wa katiba mfano mtu mmoja kuamria kupeleka ndege, mbuga kijijini kwake n.kHiyo Row uliyotumia sio sahihi bali ni Raw.....
Kwa mada nikijikita sasa...nina swali kwako.
Kwa siasa hizi za Tanzania na taasisi zetu nyeti unaona ziko kwaajili ya kufanya maendeleo? Kabla ya kumuhusisha mzungu.
Fact; Mzungu kaingia Africa karne za hivi karibuni tukwa harakaharaka ni tangu ya 15 ukiondoa hii miaka 500 ya Mzungu Africa ilikuwa na nini kuwalinganisha na hao Wazungu wq kipindi hicho.
Narudia tena Toa muelekeo wa jibu lako ni upande wa saikolojia ama maana.....Learning is an endless cycleHahaha!!! in a big picture..
Kama ukiwa hujawekewa foundation kwenye miaka hiyo basi sio tatizo but
kama uliwekewa strong foundation ya ni uwe hiyo ina impact kubwa sana,
kwa namna utakovyo kuwa una vitazama vitu.
miaka 60 tu iliyo pita nchi nyingi za asia tulikuwa pamoja nazo au unataka ushahidi upi?Kwanza kabisa niweke wazi mjadala wa Umasikini Africa sio jambo geni kwa wanazuoni na halitafikia mwisho hivi karibuni. Nimesoma Two School of Thought ambazo ni Kinzani.
Afrocentric Vs Eurocentric..Ukisoma hisotory of Africa kwa European perspective utaona mambo fulani yenye ukweli kabisa licha ya hoja hasi kuwepo pia lakini Ukiwasoma wazee wa Pan Africanism yapo mazuri pia lakini kuna Malalamishi mengi mfano Walter Rodney na How Europe underdevelop Africa.
Unasema Ideology ( mara nyingi sasa hivyo naona huu ndo msingi wako sasa tujadili )
Ok wote tunakubaliana MAENDELEO NI HATUA CHANYA KUTOKA ENEO FULANI DUNI KWENDA ENEO FULANI ZURI ZAIDI. Kwa maana hii hakuna maendeleo kwa mtazamo wa ideology katika hiyo definition.
Sasa tulete jamii mbili nyeusi na nyeupe kwa kipindi fulani tuzifananishe ubora wa maisha yao mifumo yao pamoja na muelekeo wao kwa miaka mingi ijayo.
Naunga mkono hojaShida ya Africa ni African leaders wazungu tuna wa tumia kama scapegoat tu, to hide our weakness
Hapa tuweke Rekodi sawa Ethiopia na Liberia hazikukoloniwa unawazingumziaje sasaHatujawahi hata kutikisa vidole vya mguu toka Ukoloni uingie.
Ni kweliChangamoto kubwa ya Africa ni mifumo mibovu ya utawala
Kama ushawahi unafahamu wa subconscious mind basi unaweza kuelewa.Narudia tena Toa muelekeo wa jibu lako ni upande wa saikolojia ama maana.....Learning is an endless cycle
Nakuelewa mkuu, sema jamaa amejikita kuwa mawazo yake ndio jibu sahihi, ila unachozungumza kwa upande wangu nakuelewa mno.Naomba unielewe waleta sera na kutekeleza sera ni viongozi sie ni wa fuasi wa sera zao tu, kwahiyo sie hatuwezi kupindua hizo sera zao labda unataka upelekwe jela bure.
Hatukuwahi kua na chochote cha kujivunia kwamba tumekiunda sisi. Waafrica ni masikini wa akili tangu hata hatujatawaliwa.Hiyo Row uliyotumia sio sahihi bali ni Raw.....
Kwa mada nikijikita sasa...nina swali kwako.
Kwa siasa hizi za Tanzania na taasisi zetu nyeti unaona ziko kwaajili ya kufanya maendeleo? Kabla ya kumuhusisha mzungu.
Fact; Mzungu kaingia Africa karne za hivi karibuni tukwa harakaharaka ni tangu ya 15 ukiondoa hii miaka 500 ya Mzungu Africa ilikuwa na nini kuwalinganisha na hao Wazungu wq kipindi hicho.
Mkuu tafadhali jifunze kuona vitu katika big picture na katika all dimensions.Hapa tuweke Rekodi sawa Ethiopia na Liberia hazikukoloniwa unawazingumziaje sasa
Sasa nakaribia kukata tamaa....Nilitegemea mjadala wenye hoja lakini....Anyway.miaka 60 tu iliyo pita nchi nyingi za asia tulikuwa pamoja nazo au unataka ushahidi upi?
Asipoelewa jamaa atakuwa anapenda ligi ya kubishana.Sasa tuweke mambo sawa, tuiondoe Africa baada ya 15th C kisha tuijadili kabla ya hiyo karne. Maeneo ya kusini mwa Jangwa la sahara yalikua na mafanikio yapi katika nyanja zifuatazo..
¤Kisiasa
¤Kijamii
¤Kiuchumi
¤Sayansi na teknolojia.
Kisha tutumie mafanikio hayo kama ushaidi kwamba tulikua katika eneo zuri la kushindana na wenzetu.
Kuhusu capitalisim , socialism nk hiyo ni mifumo ambayo inazaliwa kulingana na mabadiliko ya jamii katika zile nyanja pale juu hivyo basi hakuna hoja ya kuiga ( copy)
Fact: Kipindi cha 15th Ulaya haswa Italy kulikua na kitu kinaitwa Renaissance Hapa ukisoma mambo yaliyofanywa na watu kama Leonardo Da Vinci ,Michaelangelo Bounarotti,Georgio Vasari,Verrochio na Bruneleschi kuwataja kwa Uchache tu unagundua kwamba Maendeleo sio njia ya mkato na hakuna wa Kukuzuia.
Hizo unaita ideologies unazipa nguvu sana....anyway rudi juu kunijibu kwanza.
Mimi na naangalia the root source of the problem ni kweli viongozi wetu ni tatizo sikataiNakuelewa mkuu, sema jamaa amejikita kuwa mawazo yake ndio jibu sahihi, ila unachozungumza kwa upande wangu nakuelewa mno.
Hahaha!!! asee mkuu mimi sifahamu yote hayo..Sasa nakaribia kukata tamaa....Nilitegemea mjadala wenye hoja lakini....Anyway.
Tumchukue China kama mfano wa Nchi za Asia zilizotawaliwa kisha zikaja kua big tena ndani ya Muda mfupi.
Kwanza China aliingizwa kwa ideology ya Capitalism kwa nguvu za ukoloni Akatoka hapo 1940s hapo akacopy Socialism kwa Jirani yake Soviet Union ( Kama Tanganyika ilivyofanya late 1960s) now unajua kilichotokea.
Hoja yangu Unaifahamu historia ya China kabla ya Great Britain +Japan kuwatawala?
Unafahamu zile Dynasties zake kama Qin Dynasty? na mchango wake kwenye kutengeneza Ancient China?
Je Kabla ya kukoloniwa China ilikua katika Mfumo gani?
Ukijibu haya utanisaidia sana.