Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Simple SIO ideologies wala Mzungu Ni Wewe Toka Africa inaanza kuwa concept.
Mkuu naona uko personal sana video aliyesema ni mzungu.
Nimeleta hoja watu waone then wachangie.
Kama mimi ni tatizo how mimi ni tatizo kusema mimi ni tatizo hakunifanyi niwe tatizo prove it.
 
Thank you for posting. This is one of few posts which make me realise the advantage of joining the Jamii Forum. I am an expert on some aspects of this subject and I have done something against the exploitative trend but very few understand the subject and still very few want to do something about it. Do you? If you do, please contact me.
 
Wazungu ndio wamekufanya uamini kwamba wewe ni maskini wa akili tangu hawajakutawala, lakini kiukweli ni kwamba akili unayo, lakini wamecheza na sayansi kuweza kukufanya uamini kuwa huwezi kufanya kitu.
Ukiweza amka mkuu, maana hii ni vita.
 
Mugabe alipoingia mara ya kkwanza uraisi media zao zilimpigia upatu ni reformer huku watu wake wakimuona ni msalit.
Alipoanza kuwafukuza kwenye umiliki wa ardhi ambayo More than 90% waliimiliki, ukawa mwanzo wa ugomvi na vikwazo
kutoka western.

Wazungu ni hatari sana. Waarabu Mungu awabariki sana,, wanatupenda na co watu wa kututakia mabaya. Ila wazungu noma, Mungu anawaona
 
Afrika inaweza ikaendelea kwa kubadili mifumo ya malezi Ili kupata Jamii bora maana Jamii bora ndio utoa viongozi bora. Viongozi bora uweka mifumo bora ya uongozi
 
Wazungu ndio wamekufanya uamini kwamba wewe ni maskini wa akili tangu hawajakutawala, lakini kiukweli ni kwamba akili unayo, lakini wamecheza na sayansi kuweza kukufanya uamini kuwa huwezi kufanya kitu.
Ukiweza amka mkuu, maana hii ni vita.

Alafu unakuta mnigga anategea mzungu atoke kunya akayaangalie mavi yanatofauti gani na ya mtu mweusi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wazungu ni hatari sana. Waarabu Mungu awabariki sana,, wanatupenda na co watu wa kututakia mabaya. Ila wazungu noma, Mungu anawaona
Mbona waafrika wanaokimbia matatizo mfano kutaka kuuliwa na waafrika wenzao,vita, umasikini,nk awakimbilii uarabuni.
Mzungu ndie kimbilio la mwarabu na mwafrika anayekimbia mateso nyumbani kwake yaliyoletwa na ndugu zake.Mzungu ndie anaehudumia wakimbizi wote duniani waarabu kwa waafrika.
Amekuwa ni kimbilio la shida zao.
 
Ili tuendelee ni lazima tubinafishe uongozi kwa kuajiri watalaamu wa kutuongoza toka nje, miradi yote tuwape wao waendeshe sisi tubakie kwenye kupokea pesa.
 
How can i contact you?
 
Hivi ni ni Africa ipi kama ni Subsaharan area( Hili litakua jambo jingine) kama Egypt atasimama kuiwakilisha Africa...Hapa tutatazama The Four Ancient civilization
👇👇👇
The span of ancient history began with the invention of writingabout 3100 bc and lasted for more than 35 centuries. Humankind existed long before the written word, but writing made the keeping of a historical record possible.

Sasa kwa Time frame hiyo tuiweke Africa hapo 👇👇👇
The first ancient societies arose in Mesopotamia and Egypt in the Middle East, in the Indus valley region of what are now Pakistan and India, in the Huang He (Yellow River) valley of China, on the island of Crete in the Aegean Sea, and in Central America. All these civilizations had certain features in common. They built cities and invented forms of writing. They learned to make pottery and use metals. They domesticated animals, and they created fairly complex social structures with class systems.
Mpaka 15century Africa ilikua haina mfumo wake pekee wa maandishi....ulipofika uislamu Arabic literacy iliprosper wengine hawakuona umuhimu wa Kuandika most of societies hata iron hawakua wakiifahamu Tanganyika tuwaondoe Wahaya na Wapare the rest Walikua busy na mambo mengine.
👇👇👇
Apart from written records and carved inscriptions, the knowledge about ancient peoples is derived from the work of archaeologists. Most of the significant archaeological findings have been made in the past 200 years. The Sumerian culture of Mesopotamia was discovered in the 1890s, and some of the most important archaeological digs in China were made after the late 1970s
Again subsaharan area ukidig only utakutana na Mafuvu ya species.
👇👇👇
Farming was developed in the Middle East about 6500 bc,The best known of the ancient writing systems is probably Egyptian hieroglyphics

Now
All the major ancient civilizations—in Mesopotamia, Egypt, the Indus valley, and China—emerged in the 4th millennium bc. ( Subsaharan Africa ilikua inafanya nini this time)
The Sumerians contributed to the development of metalworking, wheeled carts, and potter’s wheels.
They may have invented the first form of writing. They engraved pictures on clay tablets in a form of writing known as cuneiform(meaning “wedge-shaped”). The tablets were used to keep the accounts of the temple food storehouses. By about 2500 bc these picture-signs were being refined into an alphabet.

The Sumerians developed the first calendar, which they adjusted to the phases of the Moon. The lunar calendar was adopted by the Semites, Egyptians, and Greeks.
Trade increased between Sumerian cities and between Sumer and other, more distant regions. This led to the growth of a merchant class( Very Sad hikuexpand kuinfluence the darkened area)

Hapo nimegusa Kidogo tu ...SASA SWALI KWANINI EGYPT ALIWEZA KUADOPT NA KUGUNDUA MENGINE LAKINI TEKNOLOGIA NA MAENDELEO YAKE HAIKUSAMBAA KWA WENGINE SOUTHWARDS Greek wamekuja kuzaliwa kwa hao Kisha Warumi wakaja Wakapotea mpaka Great Bretain kisha USA Why subsaharan area haichange....Hiyo ndo big question.
 
Alexendria library ilikuwa wapi kama haya maandishi hayakuwepo?
I think your biased.
Naona umesoma mitahala ya history open your mind.
Maswali unayouliza haya hata relation na tunachochadili.
Kama Wamisri hawakujua kusoma na kuandika Alexendria library ambayo ndio ilikuwa google
ya wakati huo waliandika watu gan?
Soma historia yako vizuri apart from mitahal ya elimu yako.
 
Changamoto kubwa ya AFRICA ni ubongo mbovu ww mtu mmoja mmoja.Hata kama hutaki ukweli ndo huo
Kwa kutumia hiyo silaha wametumaliza, ukiweza kumwaminisha mtu kuwa yeye ni taahira na akaamini, basi hata matendo yake atayafanya kama taahira.
 
Wazungu ndio wamekufanya uamini kwamba wewe ni maskini wa akili tangu hawajakutawala, lakini kiukweli ni kwamba akili unayo, lakini wamecheza na sayansi kuweza kukufanya uamini kuwa huwezi kufanya kitu.
Ukiweza amka mkuu, maana hii ni vita.
Tena mbaya zaidi vita hii ya akili ikaja kolezewa na warusi na wachina enzi za vita baridi Ili kuwawini waafrika wawe upande wa wajamaa kwa kuwapandikiza sumu waafrika wazidi kuwachukia wazungu kwa kutumia watawala wa kiafrica nao watawala wa kiafrica wakapata gap hapo la kuhalalisha kushindwa kwao kuwaletea waafrika maendeleo wakishirikiana na kambi ya ujamaa kuwaamisha uwongo ya kwamba wazungu ndio chanzo cha matatizo yote ya Afrika.
Ukija sasa kwa idealogy za sasa zinapingana na ideology hizo za miaka ya 70.Za sasa zinamaanisha sisi wenyewe ndio chanzo cha matatizo yetu na sisi pekee ndo tunao uwezo wa kuweza kujitatulia shida zetu.
 
kwani nani ameiharibu jamii yetu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…