Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Hivi unakiekewa kipindi abachoongelea mwenzio na hiki chako cha Alexandria?
Inavyo onekana histori ni somo geni kwako
 
Suluhu ya hili tatizo la underdevelopment katika nchi za Africa, kwa sasa lipo mikononi mwetu. Ijapokuwa hatutapata faida ya papo kwa hapo, lakini tuviweka vizazi vijavyo katika nafasi nzuri ya kujinasua kwenye huu mtego.
 
Mzee unasoma kweli ama unakimbilia kujibu tu....
Wewe umemleta Alexander the Great wa Greek Hapo 3rdCentury BC Roman empire kama spinning point ya Africa kupotea.

Nimekuletea Ancient Civilization ambapo Greco-Romans wamezalishwa na hizi big four Wewe unaongelea library ya 283 BC
Trace changes za human from 10,000Bc
Egypt sio Subsaharan area...SO WHY Greeks wachukue knowledge waende Kwao Europe Lakini Huku sisi tusiende why....Ukiona huwezi jibu kitu usidhani hakihusiani na mada husika.......



Yaani simple Kwanini Egypt kuwepo na Gurudumu la mkokoteni Kalenda kilimo cha umwagiliaji lakini Tanzania Kenya Uganda nk vikosekane Wakati Egypt tupo nao karibu tu.
 
Bila kuficha, dini ya uislamu nayo inachochea sana kuchukia wazungu.
Ukweli Dunia bila hawa wazungu, kungekuwa na mito ya damu has a Africa na nchi za waarabu
 
Hivi unakiekewa kipindi abachoongelea mwenzio na hiki chako cha Alexandria?
Inavyo onekana histori ni somo geni kwako
Hahaha!!!! mimi nilikuwa naongelea sasa yeye amenirudisha karne ya 15.
Mimi nikamwambia karne ya 15 sio mwanzo wa anguko la Africa ni zama za Alexendria.
Kama ni somo geni hayo ya Alexandria nimejulia wapi.
Navyo ona nimeenda beyond the scope ya mitaala yenu ya elimu kwa sababu historia yangu haipatkani
huko.
 
Na hisi utakuwa na tatizo..
Hujui hata watu wote wanaoishi maziwa makuu walikuwa wapi miaka kadhaa nyuma!?
Kwa akili yako zama za Alexendria sub saharani ilikaliwa na watu gani?
Nahisi naongea na mtu wa historia ya advance tu ambaye hajui chochote.
Ndio maana narudia kukwambia ona vitu kwenye big picture.
 
Kila aliyesoma aliona huu mwaka hapa
👇👇👇
The span of ancient history began with the invention of writingabout 3100 bc and lasted for more than 35 centuries.
Ngombe hachinjwi kwa kuanza na mkia mzee.... kwakuwa 15century ulikimbia sasa tumeanzia History ilipoanzia ( Kama hii kauli hutaielewa basi utakua umeprove alichokisema mkuu hapo juu)
 
Kwa akili yako hapo ndio historia ilipoanzia!?
Huo mwaka sub saharan Africa ilikuwa na watu gan?
Nitajie na kitabu unachotumia kama reference twende sawa.
 
Bila kuficha, dini ya uislamu nayo inachochea sana kuchukia wazungu.
Ukweli Dunia bila hawa wazungu, kungekuwa na mito ya damu has a Africa na nchi za waarabu
Mwarabu katili, mwafrika roho mbaya dunia isingekalika Ingekuwa uwanja wa fujo. Mzungu anapooza joto la mwarabu na mwafrika.
 
Suluhu ya hili tatizo la underdevelopment katika nchi za Africa, kwa sasa lipo mikononi mwetu. Ijapokuwa hatutapata faida ya papo kwa hapo, lakini tuviweka vizazi vijavyo katika nafasi nzuri ya kujinasua kwenye huu mtego.
Tuwatumie hao hao wazungu Ili tuendelee kwa kushirikiana nao kwa faida ndo walichofanya nchi za dunia ya pili kuendelea .
Maana wao ndio wamiliki wa mifumo yote ya maendeleo.Japan, China, vietnam Malasyia, South Korea, Dubai nk
 
Uzuri Jamii Forum haikupi nafasi ya kufahamu kwa urahisi unayezungumza naye.....
History inakua in chronological order...acha nikuelimishe kidogo Historia ya Tanzania ina kipengele cha The people of Tanzania mfano Wabantu hawa ni from Western Sudanic zone Wanilotes ni from northen side of continent nk. Hatufanani mwili mpaka akili mimi mwenyewe nafahamu origin yangu.
Hawa watu wooote hawakudondoka from heaven right?
Mfano Masai katoka Sudan/Ethiopia via Kenya Turkana area Akashuka na Great rift Valley Nairobi( wakita Cold land ) Namanga ( meaning wandering )kisha Arusha ( land of Larusa people waarusha) Serenget ( mean land of no limit ) wakaingia mkataba na wakoloni juzi hapo wakahamishiwa Ngorongoro ( leo wana mgogoro wa kuondolewa pale tena)
Wametoka hapo southward Tanga maeneo ya kilindi wakashuka mpaka Morogoro Naskia wapo Mpaka Tukuyu Mbeya wanauza dawa na viatu wataendelea kushuka tu wasipobadilika watajikuta south Africa
Now From Ethiopie Kush territory up tu Morogoro Tanzania wana nini kinachoonyesha walijichanganya na Wa ancient Egypt.
 
Yaani unataka kusema umaskini wa Afrika,hususani TZ,umesababishwa na nchi za magharibi?sasa hebu tuanze kidogo,
Anayekusanya Kodi kupitia TRA ni nani?
Anayepanga idsdi ya wabunge,mikoa,wilaya,harmashauri ni nani?
Anayeamua kutumia MaV8 kwa kila ofisa wa serikali ni nani?
Ufisadi kama anglokeasing kule Kenya,EPA,escrow,loliondo gate,na wizi mwingine mwingi uliojaa serikalini unqfsnywa na nani?
Kusingizia wazungu kwa shida zetu kwa asilimia 100,ni uvivu wa kufikiri,na kukwepa kuwajibika,hizi ndio akili za Kiafrika,wakishindwa kufafanua kitu,watasema uchawi,wakiona mkinga Kawa tajiri,watasema amemtoa ndugu yake kafara,au anatembea na mama yake,mchaga na muhaya wakiwa matajiri,watasema hao wameiba,ni wezi sana.
 
Sihitaji ni kufahamu.
uliposema mwanzo wa historia ni 3100 bc nimeshakufaham tiali.
 
Wakati mwenda zake alikuwa anapambana kuichomoa Tanzania 🇹🇿 kutoka kwenye mikataba ya kinyonyaji wa madini,Lissu aliwatetea na kusema tutanyolewa bila maji. Africa imejaa vibaraka wengi wa wazingu.
 
Wakati mwenda zake alikuwa anapambana kuichomoa Tanzania 🇹🇿 kutoka kwenye mikataba ya kinyonyaji wa madini,Lissu aliwatetea na kusema tutanyolewa bila maji. Africa imejaa vibaraka wengi wa wazingu.
Huyo lisu ndio niliamini ni mnafiki..
Kabla ya 2015 alihojiwa startv kwenye kipindi cha Historia wakimzungumzia Lumumba
aliwaponda sana wazungu kuwa ni mabeberu.
 
Bila kuficha, dini ya uislamu nayo inachochea sana kuchukia wazungu.
Ukweli Dunia bila hawa wazungu, kungekuwa na mito ya damu has a Africa na nchi za waarabu
Pia dini ya uislamu ndio imechangia maendeleo kwenye nchi za kaskazini Mwa afrika zile nchi za waarabu wa Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…