EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #181
Achana na wadandiaji wa mada maana wajuvi wamekuja na kukimbia hii madaPapa hahusiki kama hujui historia acha kupotosha
Daaaaaah unaongea kitu usichokijua, Kwanza Musa hakuingia kanani. Pili uwezi kumtenganisha hekalu la Sulemani na Mungu. Maana Mungu ndie aliyempa kibali cha kujengaWazayuni unafiki,uchokozi na batili ndio unaowafanya waende wakasali hapo, sababu Mussa mfuasi wao wa TORATI hajawahi kusali hapo wanapodai ni hekalu la SOLOMON
Papa hahusiki kama hujui historia acha kupotosha
Mungu alitoa building permit??? Hizi kamba hizi!Daaaaaah unaongea kitu usichokijua, Kwanza Musa hakuingia kanani. Pili uwezi kumtenganisha hekalu la Sulemani na Mungu. Maana Mungu ndie aliyempa kibali cha kujenga
Sio tu permit hadi vipimo alitoa ndio maana wanataka kulijenga palepale kwenye msingi uleuleMungu alitoa building permit??? Hizi kamba hizi!
Hawakawii kudai nae Daudi alikuwa babu yao 🤣 🤣 🤣ni eneo lao takatifu, Babu yao Suleiman mtoto wa Daudi alijenga pale na kiimani yao pale ndipo pa kuabudia. usiwapangie cha kufanya.
Acha kuzunguka bwana toa jibu.Saskuzunguka bwanamtu kaomba chakula unamuuliza una njaa Sana au kidogo?ili ujue unampimiaje chakula....anakataa kusema Tena anasema kabisa hataki hata Kula,,utampa chakula?
We unajuaje Kuna mwingine jF mwenye njaa kama yako?
We Acha uongo Caanan sio Israel....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Caanan ndio israel toka enzi za Ibrahim > Isaka> Yakobo (Israel )alipewa na Mungu
Una hoja nyingine
Huna unachokijua kaa kimyaWe Acha uongo Caanan sio Israel....
Caanan ni uzao wa HAM. na ndugu zake ni Misri.. CUSH/Ethiopia na Libya.
Mfano; Mji wa Jerusalem ulijengwa na Wayahudi eg. Daudi, Seleman na wengine kibao. Au unataka kusema walikuwa wapalestina? Soma hadi vitabu vitakatifu.Wazayuni walikuta kuna watu wanaishi wakawapora ardhi Kwa kuwachinja.
Kma ni mkristo soma Mwanzo 13 habari za Melchizedek mfalme wa Jerusalem..... It might be figurative lakini hoja ni kwamba hapo ilipo jerusalem kumewahi kuwepo utawala wa Canaanites!!Mfano; Mji wa Jerusalem ulijengwa na Wayahudi eg. Daudi, Seleman na wengine kibao. Au unataka kusema walikuwa wapalestina? Soma hadi vitabu vitakatifu.
umepotea, ardhi ya Kaanani ni present day Israel, Wayahudi walikuwa wanatoka Misri kwenda Kaanan (pale ambapo leo unaita Israel). kama hujui nyamaza.We Acha uongo Caanan sio Israel....
Caanan ni uzao wa HAM. na ndugu zake ni Misri.. CUSH/Ethiopia na Libya.
Mkuu soma mstari wa 12 sura hiyo hiyo ya Mwazo 13Kma ni mkristo soma Mwanzo 13 habari za Melchizedek mfalme wa Jerusalem..... It might be figurative lakini hoja ni kwamba hapo ilipo jerusalem kumewahi kuwepo utawala wa Canaanites!!
Kama hufahamu pia huyo suleiman mnayedai ndio alijenga Jerusalem, mama yake yaani Beersheba alikua ni mcanaan na sio myahudi/Judeah/Israelite.
So ni lazima mkiri walipora ardhi ya wenyeji
hoja kubwa ni kwamba, vyovyote vile itakavyokuwa, ardhi ile awali ilikuwa inakaliwa na wafilist ambao kizazi chao kingi kimepotea hasa baada ya kuoleana na waarabu. ila eneo ambalo hadi leo halijaguswa ni GAZA. wafilist ndio wapalestina actually. lakini Mungu aliyeumba mbingu na nchi, aliyekuumba hata wewe na aliyeumba hilo eneo linalogombaniwa, aliwapa urithi wa milele kizazi cha Ibrahim kupitia mtoto wake Isaka, ambaye ni baba ya Yakobo (Yakobo alikuja kubadilishwa jina na kuitwa Israel). ndio maana lile eneo Waisrael hadi leo wanasema la kwao kwasababu Muumba mbingu na nchi aliwapa wao watawale na liwe mali yao. hakuna kabila nyingine ya watu duniani iliyopewa urithi wa aina hii, na lazima uheshimu hilo kama unamheshimu Mungu. upende usipende ndio imeshakuwa na itakuwa hivyo milele haitabadilika.Kma ni mkristo soma Mwanzo 13 habari za Melchizedek mfalme wa Jerusalem..... It might be figurative lakini hoja ni kwamba hapo ilipo jerusalem kumewahi kuwepo utawala wa Canaanites!!
Kama hufahamu pia huyo suleiman mnayedai ndio alijenga Jerusalem, mama yake yaani Beersheba alikua ni mcanaan na sio myahudi/Judeah/Israelite.
So ni lazima mkiri walipora ardhi ya wenyeji
Abaraham ni baba wa mataifa mengi.... Ni makosa sana kujimilikisha Canaan ni ya Waisrael kisa tu aliishi Abraham. Abaraham alikua na uzao mkubwa sana hapo middle east sasa kivipi tena Yakobo pekee ndio adai umiliki??? Vipi kizazi cha Ishmael au Esau na wenyewe hawana haki ya Canaan??Mkuu soma mstari wa 12 sura hiyo hiyo ya Mwazo 13
Nakukumbusha tu Abraham/Ibrahim>Isaka>Yakobo(Israel )
Tuweke rekodi sawa,hoja kubwa ni kwamba, vyovyote vile itakavyokuwa, ardhi ile awali ilikuwa inakaliwa na wafilist ambao kizazi chao kingi kimepotea hasa baada ya kuoleana na waarabu. ila eneo ambalo hadi leo halijaguswa ni GAZA. wafilist ndio wapalestina actually. lakini Mungu aliyeumba mbingu na nchi, aliyekuumba hata wewe na aliyeumba hilo eneo linalogombaniwa, aliwapa urithi wa milele kizazi cha Ibrahim kupitia mtoto wake Isaka, ambaye ni baba ya Yakobo (Yakobo alikuja kubadilishwa jina na kuitwa Israel). ndio maana lile eneo Waisrael hadi leo wanasema la kwao kwasababu Muumba mbingu na nchi aliwapa wao watawale na liwe mali yao. hakuna kabila nyingine ya watu duniani iliyopewa urithi wa aina hii, na lazima uheshimu hilo kama unamheshimu Mungu. upende usipende ndio imeshakuwa na itakuwa hivyo milele haitabadilika.
soma Biblia we mwenye kichwa kizito. Biblia ndio inasema hivyo, Ibrahim alikuwa na watoto wawili tu, Ishmael mtoto wa kambo aliyezaa na Mmisri, na Isaka mtoto wa ndoa aliyezaa na Sara. awali alitaka kumpa urithi na mbaraka Ishmael kwasababu ni mtoto wa kwanza, lakini Mungu akasema "hapana" utazaa mtoto, yaani Isaka huyo ndiye atamiliki. Ishmael alifukuzwa nyumbani kwa Ibrahim akiwa na mamake Hajir, wakaenda huko jangwa la arabuni na wakawazaa waarabu. baraka pekee aliyopewa ni uzao mkubwa na ndio maana waarabu ni wengi mno.Abaraham ni baba wa mataifa mengi.... Ni makosa sana kujimilikisha Canaan ni ya Waisrael kisa tu aliishi Abraham. Abaraham alikua na uzao mkubwa sana hapo middle east sasa kivipi tena Yakobo pekee ndio adai umiliki??? Vipi kizazi cha Ishmael au Esau na wenyewe hawana haki ya Canaan??
Anyway Abraham alitokea Ur iloyopo Sumeria ya kale/Mesopotamia. So still hakuwa mtu wa kwanza kukanyaga hapo Canaan na ndio maana hapo Jerusalem tayari kulikua na mfalme Melchizedek aliyemlaki baada ya vita ya Abraham na Neodechlaomer
Wayahudi ni wachache na kwenye vichwa vyao wanaamini kuna siku watakuja kuyachukua maeneo yote hayo hadi mfereji wa suez. kipindi kile cha vita ya Yom kipur maeneo mengi sana ya Wamisri yaliporwa hadi mfereji wa suez, lakini kwa shinikizo la marekani na uingereza na jumuiya ya kimataifa waliyaachia, ila wayahudi ndio walishaamua kuanza kuyamiliki.Tuweke rekodi sawa,
Wapalestina sio wafilisti ni two distinct groups of people.
Ardhi waliopewa na Mungu inaanzia Iraq mpaka Canaan Mpaka Misri je umewahi kuona wayahudi wanawaambia Misri au Wasyria wapishe nchi nzima ili warithi nchi ya ahadi?? Kwanini wameng'ang'ania ahadi ya 20% tu ya nchi nzima ya ahadi yaani palestina? Kwanini hawaendi hadi mto nile na Euphrates?? Huoni mnadanganywa hapo??
Dunia nzima alipewa Adam aitawale meaning kila mtu anapoishi alipewa na Mungu. Hata wewe kuzaliwa Tanzania badala ya Somalia ni mpango wa Mungu sio binadamu, sasa unaposema Israel pekee ndio walipewa nchi ya kuishi tukuelewaje?