Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Mkuu historia unaijua vema ila unajitoa ufahamu tu nakuona sina la kukumbusha labda nifanye hivyo kwa niaba ya vijana wanaosoma convention ila sio kwako
 
Hesabu 33:55

Lakini kama hamtaki kuwafukuza wenyeji wa nchi watoke mbele yenu; ndipo hao ambao mtawabakiza watakuwa kama sindano machoni mwenu, na kama miiba ubavuni mwenu, nao watawasumbua katika hiyo nchi ambayo mwakaa.
 
Population ni kubwa sema wapo US na wanarudi slowly
 
mkuu unapotosha kwanza Abraham ni muarabu wa UR aliyetokea kwenye Semitic bloodline. Mama ya watoto wa Yakobo alikua mtu wa Syria so it's not like walikua a different race hao ni waarabu wa Syria waliohamia Canaan ambapo kulishakuwepo na watu.

Ni hivi Nuhu alitoa eneo la Israel ya leo kwa mjukuu wake yaani Canaan

Abaraham akahamia kutoka uarabuni kuja Canaan akikuta wenyeji.

Baada ya vita na kina Amraphel na Neodechlaomer alikutana na mfalme wa Jerusalem yaani Melchizedek.

Ikimaanisha kulikuwepo na utawala wa kizazi cha Canaan hapo Jerusalem/Canaan ila Abraham alihamia tu kwenye plains huko kufuga.

Wayahudi wanaondoka Canaan huku wameacha wenyeji bado wapo (Rephaites, Gilgashites)

Baada ya kutoka utumwani wanakuta wale wa Canaan wamehodhi maeneo yote hata kule maporini walipokua wanaishi kina Abraham.

Wanaamua kuwaua ili wapore ardhi yao na wanawaacha kidogo sana.

Funny enough walipewa ardhi kuanzia Euphrates mpaka Nile ila wamejikita palestina tu!!

Wafilisti ni uzao wa Caphtor/Casluh waliochangamana na watoto wa Mizraim (Kijana wa Ham) na walitokea huko Crete-Ugiriki.

Wafilisti na wacanaan ni watu wawili tofauti..... Wa canaan ni purely hamites ilihali wafilisti ni mchanganyiko wa Hamites na Japhetites!!

Miaka inapita Wapalestina wanahamia mashariki ya kati distinctively from Canaanites and philistines!!

Wanakuta ardhi haina wenyewe (Hvi ulitaka waache eneo wazi) maana walishakua diluted huko utumwani.

Wameishi hapo miaka zaidi ya elfu 1 alafu anatokea myahudi mmoja (Kumbuka makabila 10 wameshachangamana sio pure tena) anarudi kudai eneo ni lao. Cha kujiuliza mbona wao waliishi nchi za watu huko Ulaya hadi marekani hawajawahi timuliwa kwa miaka zaidi ya elfu 2000 sasa???

Kwa time line hii tunaweza conclude hawa wayahudi wana justify tu kupora ardhi kupitia maandiko. Lakini ukweli ni kwamba Canaan ilikua na wamiliki halali kabisa hata Abraham alitambua hilo ndio maana akabakia maporini huko.
 
Population ya wa Israel ambao ni waarabu kwa sasa ni kubwa sana. Na wapalestina ni wengi mnoo, sasa siku hawa waarabu waliopo Israel (zaidi ya 2 Million) wakishirikiana na wapalestina waliopo Gaza-westbank na diaspora ya Jordan (zaidi ya 1 million) then tegemea matokeo tofauti.

Nachojaribu kusema msilazimishe unabii wa biblia kwa maigizo ya wamagharibi. Hivi huko zamani Israel ilikua inapewa misaada na mataifa ya kipagani au kumiliki masilaha ya kutisha??? Huoni wangeshinda vita utukufu ungeenda kwa bianadamu?? Hii ina prove kwamba kinachowaweka mjini ni Nguvu za kimwili na sio uwezo wa Mungu. Kama hili haulioni then endeleeni kuchezeshwa sinema tu za sysnagogue of satan ya Revelation 2.
 
Unamfuta Ishmael eti baraka pekee ni kuzaa kwamba zingine zote ni za Yakobo. Lakini unasahau hata Yakobo alizaa na hausigeli zake yaani kama Ishmael tu je upo tayari kukiri kwamba hao watoto wa Yakobo waliozaliwa na kina Billhah na Zilpah nao hawana baraka yoyote kutoka kwa Yakobo sababu ni haramu???

Tuache double standards
 
Melchizedek hajawahi kuwa mfalme/ mtawala wa Jerusalem au unipe Aya
 
Ishmael was/ is and will always be a house maid's son na wote tunajua mtoto wa beki tatu hanaga urithi
 
Vipi watoto wa Yakobo waliozaliwa na mahausigeli tena watumwa.... Yaani Billhah na Zilpah kuzaa Gad,Asher,Dan,Naphtali etc.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao wapo katika wale 12 ila Ishmael alitemwa mapema saana baada ya mama yake kuonesha dharau

Nikukumbushe tu Suleiman alikuwa na WAKE 700 na MASURIA/housewives 300
Kuna mtoto wa suria hata mmoja unayemjua??
 
Thanks mkuu... Naona mada imejikita kwenye historical facts with much support from the holy Bible!
Anyway, nazidi kujifunza mambo ya hapo middle East kupitia huu Uzi..
Piga pin UZI huu kama husomagi bible ujifunze kitu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao wapo katika wale 12 ila Ishmael alitemwa mapema saana baada ya mama yake kuonesha dharau

Nikukumbushe tu Suleiman alikuwa na WAKE 700 na MASURIA/housewives 300
Kuna mtoto wa suria hata mmoja unayemjua??
Suleiman mbona alikua mtoto wa nje? Tena mama yake aliliwa kimasihara ndio akapatikana (jokes)..... mind you mamake alikua Mcanaan ambao mnadai ni wapalestina!! Na bado akawa mfalme wa Israel!!

Unasema mtoto wa masuria..... Hvi unajua mfalme wa Kingdom of Israel yule Rehoboham houseboy tu wa Solomon na bado akapata ufalme?? Mind you alikua yatima....

Acheni ubaguzi wa watoto wa kambo, Mungu habagui kma sisi
 
Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
Ubovu dini yenu ni ya kulazimishana. Mmeshindwa kuwalazimisha zamani sasa hivi wana balozi zao kwenye nchi za maadui wao, je mtaweza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…