Kuna Undeniable facts...mtu akiishi pangoni anaweza bisha hamna jua..ukimtoa akaliona mwenyewe atabisha?Kwani mm nimesema nataka uni-convince ?.... Kukubali au kutokukubali hilo ni juu yangu
Hatuongelea misikitini, tunaongelea kwenye ule mji, siku hizi clubs zipo na watu wa party kama kawa.Siyo kweli unayoyasema labda iwe nje ya hapo..! Aneo hilo hata asiyekuwa muislam haruhusiwi kuingia
Okay.... Ukileta ushahidi nitag..Kuna Undeniable facts...mtu akiishi pangoni anaweza bisha hamna jua..ukimtoa akaliona mwenyewe atabisha?
Sasa kumtoa kumuonesha hiyo Ni juhudi ya 100%...kumuonesha kwenye simu picha ya jua Ni juhudi ya 30%...kumuaminisha Kwa maneno tupu Na kuapa wallahi Ni juhudi 10%
Poa ukiweka % nishtueOkay.... Ukileta ushahidi nitag..
Nipo..
Bado hujanipa sababu ya kutaja hio percent !! Inahusiana vp ? Au ndo njia ya kukwepa swali ?Poa ukiweka % nishtue
Bado hujanipa sababu ya kutaja hio percent !! Inahusiana vp ? Au ndo njia ya kukwepa swali ?
Ntajua Ni Kwa % ngapi nahitaji kukuconvince
Kama huna Shida yakuconvinciwa then Haina haja...faida ya wote Na Nani?umejuaje wengine wanataka?Nilikwambia kuwa sihitaji uni-convince.... Weka ushahidi tu inatosha kwa faida ya wote.
Haja ipo kwasababu mm nimedai ushahidi peke yake , sijataka uni-convince...Kama huna Shida yakuconvinciwa then Haina haja
We unajuaje kwamba hakuna mwengine anayetaka ? Kwani nini lengo la JF ?...faida ya wote Na Nani?umejuaje wengine wanataka?
Sasa mtu kaomba chakula unamuuliza una njaa Sana au kidogo?ili ujue unampimiaje chakula....anakataa kusema Tena anasema kabisa hataki hata Kula,,utampa chakula?Haja ipo kwasababu mm nimedai ushahidi peke yake , sijataka uni-convince...
We unajuaje kwamba hakuna mwengine anayetaka ? Kwani nini lengo la JF ?
Hizo ni ndoto Mkuu! Amini usiamini Msikiti huo unaenda kubomolewa.Not longer time to come.stay tuned.Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Wewe unajuaje kwamba chakula utachompimia kitamtosha ?? ....Sasa mtu kaomba chakula unamuuliza una njaa Sana au kidogo?ili ujue unampimiaje chakula
Huu mfano hauna uhusiano na mjadala....anakataa kusema Tena anasema kabisa hataki hata Kula,,utampa chakula?
We unajuaje kwamba hakuna ?We unajuaje Kuna mwingine jF mwenye njaa kama yako?
hakika hawajajua makusudio ya kuumbwa ambayo yamezingatia maisha baada ya maisha haya ya muda kuelekea maisha yasio mwisho!Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Wewe unajuaje kwamba chakula utachompimia kitamtosha ?? ....
Huu mfano hauna uhusiano na mjadala
We unajuaje kwamba hakuna ?
Unajuaje kwamba hicho kiwango kitamtosha ?kwasababu Ninajua wastani wa ulaji wa binadamu
Unahusiana vp ?Mfano unauhusiano Tena 1:1
Kwahiyo kama hujawaona ndo inamaanisha hawapo ?Mimi sijawaona,,Wewe unajuaje kwamba WaPo?
Mkuu hizo hasira zako hazikusaidii angalia factsMkuu hilo ni FATWA(TAMKO TAKATIFU) la kuliangamiza taifa batili la Israel, hamna chaunazi nijibu suali gani tena?
π π π π πMkuu upo serious? Unadhani nchi ipi au waislam wa wapi wataongoza mapambano siku msikiti ukianza kuvunjwa?
Unajua ule msikiti umevunjwa huko India likajengwa hekalu la Wahindu na hakuna Muislam aliyenyanyua mdomo? Itakuwa hivyo hivyo wazayuni watakapovunja msikiti wenu
Mkuu unavyojiapiza utafikiri huo msikiti ukivunja wewe utasogeza haya ukuchaMkuu tafautisha Msikiti wa AYODHYA uliovunjwa na makafiri wa kihindu na msikiti mtakatifu wa Al-Aqsa wapili kwa utakatifu kwa waislam. Al-Aqsa ukivunjwa wallahi Israel itachimbika!
Jerusalemu ni mji wa kiislam??????Mkuu ujue pia, kilichoandikwa kwenye QURAN TUKUFU(MSAHAFU MTAKATIFU)hakiwezi kupadilika na itatokea kama kilvyo bainishwa na ALLAH. kwa vile Quds(Jerusalem) ni mji wa kiislam na AL-AQSA ni pahala takatifu na msikiti mtakatifu wa waislam!
Kama ntasogeza ukucha aula! Mdhalimu ajaribu athubutu kuuvunja, wabillahi tofiq WALLAHI naapa tena MZAYUNI atakiona kilichomnyoa kanga.Mkuu unavyojiapiza utafikiri huo msikiti ukivunja wewe utasogeza haya ukucha