EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #121
Mkisto jina nakuambia huu msikiti soon unabomolewa Mungu akupe uhai ili ushuhudieNarudia tena siku uo msikiti ukivunjwa vita ya tatu itaanza! Japo mi mi mkristu ila uo ndo ukweli
Ndio! ni mji mtakatifu wa waislam,Tena jina lake halisi la kiislam ni BEITUL-QUDUS! au BEITUL-MUQADASJerusalemu ni mji wa kiislam??????
mmeshafurushwa na mnazidi kuondolewa na mtaisha soon
Mkijaa bank watahamia huko piaAcha mkuu tufungue account bankView attachment 1857751
Mkijaa bank watahamia hukoAcha mkuu tufungue account bankView attachment 1857751
Kama ntasogeza ukucha aula! Mdhalimu ajaribu athubutu kuuvunja, wabillahi tofiq WALLAHI naapa tena MZAYUNI atakiona kilichomnyoa kanga.
Umenena!![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122]Siku huo msikiti ukibomolewa basi vita yake haitaisha mpaka Yesu arudi
ndugu kuwa mpole, watavunja tu muda si mrefu, na hauna lolote utakalofanya. because you are nothing.Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
kumbuka ninyi mmekuja juzi tu, hao wazayuni walishajenga hekalu la suleiman hapo kwenye temple mount enzi, miaka ya crusades wakristo waliposhindwa ndio sultan wenu alivunja na kujenga huo msikiti, ila pale lilikuwepo hekalu la kiyahudi, na wanataka lijengwe upya. ninyi wa juzi tu mnawafokea waliowatangulia?Wazayuni unafiki,uchokozi na batili ndio unaowafanya waende wakasali hapo, sababu Mussa mfuasi wao wa TORATI hajawahi kusali hapo wanapodai ni hekalu la SOLOMON
Mudi alizingua sanaMpaka jua kuzama kwenye tope haijabadilika mpaka leo?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mkuu usiniambie????Misahafu yenyewe imebadilishwa badilisha kinyama...Kuna maverse Allah aliyashusha leo hayamo hata kwenye Quran...Quran zenyewe zipo kibao Na zinatofautiana kinyama
Mnazidi kuisha hapo Jerusalem wenyeji wanazidi kurudi kwaoNdio! ni mji mtakatifu wa waislam,Tena jina lake halisi la kiislam ni BEITUL-QUDUS! au BEITUL-MUQADAS
Hiyo vita usitegemee itapiganwa na waislamu au wapalestina peke yao. Hiyo itahusisha dunia nzima. Amini nakwambia mtu mpole kuna siku akiamua anaona njia iliyobak ni kufa tu,sa usitegemee atakufa kizembendugu kuwa mpole, watavunja tu muda si mrefu, na hauna lolote utakalofanya. because you are nothing.
Ndo nishakuambia sasaMkuu usiniambie????
Mwislam hajawahi kuwa mpole sema hanaga UBAVU tuHiyo vita usitegemee itapiganwa na waislamu au wapalestina peke yao. Hiyo itahusisha dunia nzima. Amini nakwambia mtu mpole kuna siku akiamua anaona njia iliyobak ni kufa tu,sa usitegemee atakufa kizembe
kwamba ulaya yote, marekani na israel wataanza kupigana wao kwa wao au waarabu watawategemea Urusi ambayo siku zote imekuwa ikiwadanganya? angalia urusi alisimama akijifanya anaitetea Syria lakini leo hii syria ni magofu faida ya mrusi ni nini?mwarabu ana uwezo kupigana na nani hapa duniani zaidi ya kupigana na wanamgambo vibakaHiyo vita usitegemee itapiganwa na waislamu au wapalestina peke yao. Hiyo itahusisha dunia nzima. Amini nakwambia mtu mpole kuna siku akiamua anaona njia iliyobak ni kufa tu,sa usitegemee atakufa kizembe
Ni suala la muda tuVipi ushabomolewa??
Mkuu mbona unaandika kwa mihemko hivyo?hubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!