Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Wayahudi wao ni wafuasi wa Torati ya Mussa sio wafuasi wa Mfalme Suleyman na enzi za Suleyman zimepitwa na wakati ikiwa wakidai hapo lilikuepo hekalu la mfalme Suleyman.
Waisrael humtambua Suleiman kama Baba yao amini hilo, naona waislam mnataka kujimilikisha hyu nabii kumfanya wenu wakati wanae wapo 🤣
 
Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]so funny
 
Iko wazi kwamba Taifa la Israel lilishafutika Duniani hao wa sasa ni mapandikizi wa nchi za Magharibi na Ulaya.
Adolf Hitler alishaifuta Israel kwenye ramani ya Dunia
Wamepandikizwa hapo ili wafaidi kitu gani hapo cha maana?

Sibora wangepandikizwa uarabuni kwenye mafuta??
 
USA na washirika wake Watakua katikati ya waarabu kwahiyo itakua rahisi kuwapiga na kujilinda vita
Kwanini waende in th first place kwanini wasingeenda Saudia au Oman au Taifa lolote lenye rasilimali za kutosha wakabanane na Palestina??
 
Dogo naona unatishia nyau tuu, mngekuwa mnaweza mngeshawasafisha hao wayahudi siku nyingi saaana ila tuachie tuu hapo
 
Ndio! ni mji mtakatifu wa waislam,Tena jina lake halisi la kiislam ni BEITUL-QUDUS! au BEITUL-MUQADAS
mkitaka myahudi au makamanda wa Biden wasiwaguse au msigongwe makonzi kila siku, Korean fatboy ana siri nendeni mkazungumze naye atawapa dawa, ila mji mtakatifu mkicheza wataugeuza majivu na hakuna kitu mtafanya
 
Dogo naona unatishia nyau tuu, mngekuwa mnaweza mngeshawasafisha hao wayahudi siku nyingi saaana ila tuachie tuu hapo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anatishia watu nyau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…