Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

🤣🤣🥳 boss acha hadithi za kachumbari
Kwanini waende in th first place kwanini wasingeenda Saudia au Oman au Taifa lolote lenye rasilimali za kutosha wakabanane na Palestina??
Inaweza onekana anaongea ujinga lakini huo ndio ukweli. Palestine ipo strategic ndio maana ni kma njiapanda ya mabara matatu. So in case ya Vita eneo kma hilo ni strategic sana. No wonder hata Djibouti ina military base kibao sababu ya location yake kwenye njiapanda ya kuelekea Ulaya na Asia.

USA anafahamu bila Ally pale mashariki ya kati basi siku Iran au nchi za kiarabu zikiamka basi inakua ngumu kupambana kma hauna mshirika otherwise asingekua na faida yoyote na eneo la Palestine. Hamjiulizi kwanini Turkey anabembelezwa sana licha ya kuwa na Rais dikteta!! Ni sababu wanamhitaji mnoo kma front ya kupambana na Russia ulaya mashariki.

Israeli si lolote bila msaada wa kijeshi wa Marekani kila mwaka. Huwezi jisifia ni taifa la Mungu wakati unategemea pesa za mtu ili ushinde vita!! Ssa hapo utukufu ni Kwa Mungu au binadamu??
 
Wazayuni walikuta kuna watu wanaishi wakawapora ardhi Kwa kuwachinja.

Same fate ikawakuta Titus alivunja hiyo temple na kuwatawanya 70 AD

Al Aqsa ikajengwa miaka 500 baadae!! Na walikuta hamna hekalu zaidi ya magofu.

Sasa mlitaka waislam wafanyeje? Yaani hta Tanzania tusijenge upya bagamoyo kwa sababu kihistoria kuna kabila fulani lilishi hapo litakuja kudai eneo?

Kwanini unaona Israel ina haki kuwapora Canaanites nchi yao kwa mapanga lakini hamuoni Palestines wana haki ya kujenga hekalu kwenye nchi iliyokua imebaki magofu kwa miaka zaidi ya 500??
 
Kwahio Israel haikuwahi kuwepo hapo milele?
 
Hilo Hekalu lilikuwa la watu gani kabla kubomolewa huo mwaka 70AD?
 
Kwahio Israel haikuwahi kuwepo hapo milele?
Wao walikuta wenyeji wakawatimua.... Na wao wakaja kufurumushwa na majeshi vamizi..... Nchi ikabaki wazi so watu wakajitwalia maeneo pia..
Mtu anarudi miaka 1900 baadae anataka eneo lile lile??

Nakumbuka Urusi ilidai Crimea ni eneo lake lakini mnaona upinzani aliopata dunia nzima ssa fikiria angekuja kuidai crimea na miaka zaidi ya 1900 imepita kuna mtu angemuelewa mrusi?? Idd Amin alipodai Kagera mbona wabongo mligoma? Ila kwa Israel ni halali?

Kma mnadai ni nchi ya Ahadi ramani halisi inasema mpaka ni mto nile na mto Euphrates kule Iraq!! Ila sijawahi ona wayahudi wakiidai Iraq au Misri kila siku ni kuigandamiza Gaza na West Bank. Then wafia dini hawahoji bali wanasupport tu.
 
Hilo Hekalu lilikuwa la watu gani kabla kubomolewa huo mwaka 70AD?
Hekalu La wa-Judeah/Wayahudi (Kingdom of Israel walikua hawatambuliki na Wayahudi) ambao walijenga hekalu kwenye nchi iliyokua sio ya kwao. Mwenye haki na hyo ardhi ni makabila 13 ya Canaan.

Mind you mama yake Suleiman ni Mcanaan na sio myahudi. Sasa mnaposema eneo la hekalu ni la waisrael mara sijui ardhi ya Waisrael haiingii akilini maana wao walikua wageni tu kma ambavyo hta wapalestina walikua wageni.
 
Kwahio walikuwa wakazi wa hapo "japo walikuta wenyeji"???

Baada ya kufurushwa wageni "wakavamia" si ndio??

Sasa wamerudi haijalishi waliondoka miaka mingapi.

Hawa waliokuta nchi tupu nao warudi walipotoka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Caanan ndio israel toka enzi za Ibrahim > Isaka> Yakobo (Israel )alipewa na Mungu

Una hoja nyingine
 
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] Ibrahim alipewa nchi ya Kaanani
 
Kwahio walikuwa wakazi wa hapo "japo walikuta wenyeji"???

Baada ya kufurushwa wageni "wakavamia" si ndio??

Sasa wamerudi haijalishi waliondoka miaka mingapi.

Hawa waliokuta nchi tupu nao warudi walipotoka
Ndio nakuuliza sasa kuna kabila gani limekaa eneo moja miaka elfu 2?? Hvi hta waTZ 70% asili yetu ni West Africa.

Mwenye nchi ni mkaanani yale makabila yatafutwe ndio yapewe ardhi kma mnataka haki itendeke.

Ila Israel sijui Palestina wote ni wahamiaji tu maana walimkuta mwenyeji kuanzia Hittites,Hivites,Amalekites,Gilgashites,Jebusites n.k

Na ndio maana UN iligawa ardhi 50 kwa 50 but Israel haitaki kuheshimu imepora kila kitu. Ukishaondoka kwenye eneo imepita miaka 2000 huwezi dai ni kwako!! Mambo yameshabadilika.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Caanan ndio israel toka enzi za Ibrahim > Isaka> Yakobo (Israel )alipewa na Mungu

Una hoja nyingine
Canaan ni jina la mtoto wa Ham ndio aliishi hapo..... Abraham alihamia tu kma mgeni na hao Waisrael ilibidi wawaue ili kupora ardhi but walikua wageni tu.

Kumbuka Abraham alipofika alikuta kuna mfalme kabisa wa Jerusalem.... Ina maana ilikua ina wenyewe. Na Mungu alimtuma pale ili tu kutekeleza unabii wa Nuhu kwamba Canaan atatawaliwa na wana wa Shem!! But haikuwa Nchi ya wazi.

So kama Israel inajiona ina haki sana leo mtambue kwamba na wenyewe walikaribishwa tu hapo Jerusalem so waache kujimwambafy.
 
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] Ibrahim alipewa nchi ya KaananiView attachment 1864832
Yes but ilikua na watu.... Hoja hapa ni kwamba mwenyeji ni nani. Na sote tukubaliane kwamba Israel hakuwa mwenyeji hapo Jerusalem.

Nmekwambia kingine nchi ya ahadi mpaka wake ni Mpka Syria na Iraq hadi mto nile. Ni lini mtadai waIraq na wasyria wapishe nchi ya ahadi?? Kwanini nchi ya ahadi iwe palestina tu?? Hamuoni kma wanatumia kisingizio cha nchi ya ahadi ili kutwaa eneo strategic la kuunganisha mabara matatu?? Siku wakikorofishana na US ndio mtaelewa kma ni nchi ya mungu au kibaraka wa mabeberu tu
 
Kosa walilofanya ni kuwaacha hai wenyeji maana waliambiwa
 
Kumbe jibu unalo kaa kwa kutulia mkuu
 
Hekalu la kwanza la wayahudi lilijengwa Mwaka 1500 KK likabomolewa na wababeli likajengwa tena hekalu la pili mwaka 500KK , likabomolewa tena na warumi Mwaka 70 BK warumi wakawatawala jerusalem na kuwanyima wayahudi uhuru wa kuabudu ikapita miaka mia kadhaa ndipo waisraeli wengi wakatawanyika maeneo mengine ya dunia na dola ya rumi ikafa mamluki wa kiislamu kutokea Syria wakaja jerusalem na kujenga msikiti Mwaka 705 BK
 
Sasa wenyewe wamerudi wanataka kulijenga kwenye.misingi ile ile kwa vipimo vilevile.


So msikiti lazima uondoke na chokochoko zimeshaanza maana Bennett chama chake ni cha kihafidhina FAR RIGHT WING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…