Lyaka Mlima Jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2020
- 361
- 521
DuuuuMkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
uliza swali la maanaKwa hiyo wamenyimwa saa tano hii usiku ?
Mm nafikiri kama kweli kamamtukachukua hiyo form huyo nimwizi anataka kuwekadosari uchaguzi viongozi wachadema mgombea namtoa form waende mahakamani wakaapishwe baada yahapo awape form nyingine alafuakijamtu mungine naform akamatweMkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
Atakosa misaadamie namshangaa Ngosha, kama hawezi siasa za ushindani anashindwa nn kufuta mfumo wa vyama vingi nchini?!
mamlaka yote anayo sasa anakwama wapi??.
Nasisi hatuandamani kwanza, tunampa salamu zetu kwa njia ambayo atajutaHapa lengo ni kuwa-provoke wapinzani ili waandamene wapate sababu ya kuwafungulia kesi au kuweka ndani.
Yule wa Kanda Ile ya kupenda pesa ashapewa dauHalafu mama anaongea kijeuri sana...na hii si mara ya kwanza nakumbuka alipopokea barua feki ya Meya wa Ubungo.
Wacha watu wamuashie moto na huenda kapewa hela au kaagizwa na mabosi wake.Nasisi hatuandamani kwanza, tunampa salamu zetu kwa njia ambayo atajuta
Imeisha hio.Mkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
Huyu mama sidhani kama watu watamuacha salama.Huyu anataka kuiingiza nchi matatizoni Sasa ili kuepusha wengi kuumia kwa upuuzi wake mnaitia nyumba yake kiberiti itakuwa fundisho kwa mandezi wengine Kama hawa.
Hapo ukisema Chadema wasubiri mpaka arudishe form watakuwa wanajidanganya kamwe hatorudisha na hapo ndio lengo la Msimamizi na Mgembea wa CCM litakuwa limefanikiwa,Yaani msimamizi wa uchaguzi yeye akipelekewa barua tu anakubali pasipo hata kujiridhisha kama aliyekuja ni mtu sahihi au lah.
Hizi issue aambiwe Tundu lissu tu ndio dawa yake atatoa ufafanuzi kitu gani kifanyike.
NEC ndio huyo DED(Mwanachama wa CCM) kashatoa ufafanuzi kwamba fomu hawatoi tena.NEC wao wanasemaje kuhusu hiyo sintofahamu? Ni vyema katibu mkuu akapata ufafanuzi wa NEC.
Binafsi sioni kama kuna ugumu wowote hapo. Ningemshauri na kumsihi msimamizi atoe form nyingine mana kimsingi yeye ndio katapeliwa.
Then kama wagombea wote wawili watarudisha form si Tume itachambua hizo form za maombi na kumtoa mgombea aliyefanya utapeli?
Kukataa kutoa form nyingine Kwa wagombea halali ni dosari isiyo ya lazima mana kama nchi mzima wakifanya uhuni kama huo si itakuwa ni chanzo cha vurugu?
Pia ushauri wa Mwanasheria unapotosha. Anaonyesha kama vile mgombea akirudisha form automatically anakuwa mgombea rasmi. Hiyo ni form ya maombi ya kuteuliwa/kupitishwa na Tume kuwa Mgombea rasmi, na kwenye maombi kuna kukubaliwa au kukataliwa/kuwekewa pingamizi. So hapo hakuna ugumu wowote, Mkurugenzi anatengeneza tension isiyo ya lazima.
Kwann form iwe mojamoja? Kwan zinashushwa toka Mbinguni?
NEC ndio huyo DED(Mwanachama wa CCM) kashatoa ufafanuzi kwamba fomu hawatoi tena.