Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Mkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.

Duuuu
 
CHADEMA WATAZIDI KUUMIZWA SANA HIVI KWANN WASINGEENDA KUCHUKUA FOMU SIKU YA KWANZA SAA 1 NA NUSU ASUBUHI WAMEJICHELEWESHA WEEEE MPK BASI

HAPO CHA KUFANYA KATIBU WA CHAMA AWASILISHE MIHTASARI YA MCHAKATO MZIMA WA KUMTEUA YEYE NA APEWE FOMU SIKU YA UTEUZI YULE AMBAE HANA UTHIBITISHO ASITEULIWE MBONA TARATIBU ZINAJULIKANA HUYO NAE MGOMBEA ANAENDA KUONGEA MANENO TU NA KUNA TETESI KUNA WATU FOMU ZITANYANG'ANYWA NJIANI WAKIWA WANAENDA KUREJESHWA
 
Mkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.


Mm nafikiri kama kweli kamamtukachukua hiyo form huyo nimwizi anataka kuwekadosari uchaguzi viongozi wachadema mgombea namtoa form waende mahakamani wakaapishwe baada yahapo awape form nyingine alafuakijamtu mungine naform akamatwe
 
Halafu mama anaongea kijeuri sana...na hii si mara ya kwanza nakumbuka alipopokea barua feki ya Meya wa Ubungo.
 
Huyu anataka kuiingiza nchi matatizoni Sasa ili kuepusha wengi kuumia kwa upuuzi wake mnaitia nyumba yake kiberiti itakuwa fundisho kwa wengine Kama hawa.
 
Mkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.


Imeisha hio.
Kumbe tume ya chato haishirikiani na vyama husika inatoa to a fomu kiholela.
 
Huyu anataka kuiingiza nchi matatizoni Sasa ili kuepusha wengi kuumia kwa upuuzi wake mnaitia nyumba yake kiberiti itakuwa fundisho kwa mandezi wengine Kama hawa.
Huyu mama sidhani kama watu watamuacha salama.
 
Hapo ukisema Chadema wasubiri mpaka arudishe form watakuwa wanajidanganya kamwe hatorudisha na hapo ndio lengo la Msimamizi na Mgembea wa CCM litakuwa limefanikiwa,Yaani msimamizi wa uchaguzi yeye akipelekewa barua tu anakubali pasipo hata kujiridhisha kama aliyekuja ni mtu sahihi au lah.

Hizi issue aambiwe Tundu lissu tu ndio dawa yake atatoa ufafanuzi kitu gani kifanyike.

NEC wao wanasemaje kuhusu hiyo sintofahamu? Ni vyema katibu mkuu akapata ufafanuzi wa NEC.
 
Binafsi sioni kama kuna ugumu wowote hapo. Ningemshauri na kumsihi msimamizi atoe form nyingine mana kimsingi yeye ndio katapeliwa.

Then kama wagombea wote wawili watarudisha form si Tume itachambua hizo form za maombi na kumtoa mgombea aliyefanya utapeli?

Kukataa kutoa form nyingine Kwa wagombea halali ni dosari isiyo ya lazima mana kama nchi mzima wakifanya uhuni kama huo si itakuwa ni chanzo cha vurugu?

Pia ushauri wa Mwanasheria unapotosha. Anaonyesha kama vile mgombea akirudisha form automatically anakuwa mgombea rasmi. Hiyo ni form ya maombi ya kuteuliwa/kupitishwa na Tume kuwa Mgombea rasmi, na kwenye maombi kuna kukubaliwa au kukataliwa/kuwekewa pingamizi. So hapo hakuna ugumu wowote, Mkurugenzi anatengeneza tension isiyo ya lazima.

Kwann form iwe mojamoja? Kwan zinashushwa toka Mbinguni?

Mosi, Tume kwa sasa katika ngazi ya jimbo au Halmashauri ina Msimamizi wa Uchaguzi (Returning Officer) ambaye ni mkurugenzi wa halmashauri husika na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi (Assistant Returning Officers) tu, hakuna cheo cha Mwanasheria wa uchaguzi aliyepo katika ngazi ya jimbo ama Halmashauri, ni makosa kutaka ushauri wa mwanasheria wa halmashauri kwa masuala yahusuyo uchaguzi wakati wa kipindi cha uchaguzi. Ushauri wa huyo mwanasheria hapo bila ya kujali usahihi wake au upotofu wake, ni batili maana unatolewa na mtu asiye na cheo hicho ki-Tume ya Uchaguzi. Kama ni ufafanuzi, Msimamizi wa Uchaguzi alipaswa kuuliza na kupkea maelekezo kutoka TUME.

Pili, jambo kama hilo lilitokea katika jimbo la Iringa mjini kwa fomu kutolewa kwa mtu kutoka Chadema ambaye hakushinda kura za maoni (udiwani) na baadae akaja mtu aliyeshinda kura za maoni na kutambulishwa na chama. Baada ya Chadema kuwasilisha nyaraka zote za uthibitisho, Msimamizi wa Uchaguzi, aliandika barua kwa yule wa awali akimtaka arudishe fomu hizo ili awakabidhi Chadema, jukumu hilo alilibeba yeye na sio kuwapa CHADEMA.

Kwa weledi zaidi, Msimamizi wa Jimbo la Iringa mjini aliweka utaratibu mzuri awali kabla ya fomu kuanza kutolewa, alivitaka vyama kuwasilisha barua zitazoelekeza kuwa ni ngazi ipi itayokuwa inawatambulisha wagombea wake ndani ya jimbo ili kuepusha lawama na vurugu mechi kama hizo, bahati mbaya Chadema walichelewa kuipeleka kwa Msimamizi wa Uchaguzi, wakawahiwa na huyo aliyechukua fomu.
 
Nataka kujua kama amejiwekea ulinzi wowote kwake,wazazi wake na familia
 
Back
Top Bottom