Msimamo mkali wa Lisu ndio uliomfanya Mbowe atoke gerezani

Umewachokoza chawa wa Sultan Mbowe subiri wakupopoe.
 
Halafu Lissu huyo akaharibu na kudharau MARIDHIANO
 
Halafu Lissu huyo akaharibu na kudharau MARIDHIANO
Hayo ni malidhiano ni kuwa chawa, watu wanatekwa, wanakufa,alafu unaita malidhiano, huo ni usaliti kwa taifa
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Msimo mkali wa Mbowe ndiyo uliomponya Lissu asipoteze maisha Serikali ilitaka kumleta muhimbili baada ya kupigwa zile risasi 16 akiwa hajitambui.
 
Msimo mkali wa Mbowe ndiyo uliomponya Lissu asipoteze maisha Serikali ilitaka kumleta muhimbili baada ya kupigwa zile risasi 16 akiwa hajitambui.
Lisu aliokolewa na kiongozi mmoja badae akafukuzwa kz na jpm, in short Mbowe has to go.
 
Lisu aliokolewa na kiongozi mmoja badae akafukuzwa kz na jpm, in short Mbowe has to go.
Acha kujizima data kijana, watesi wa Lissu walikuwa wamejipanga vilivyo kuhakikisha anapotea hapa duniani
je unajua flight ya kumpekeleka Nairobi ilipatikanaje? Kwa kibali gani, kwa finance zipi? Au ndiyo kuchongoa mdomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…