Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau na takwimu za Mayele vs Kibu Denis.Hasara ya milioni 400 ya Aziz Ki mpaka kesho inamtesa.
Kaleta na msimamo wa NBC tena, hapo hili gundu litaondoka mpaka pale NBC wakiacha kuidhamini ligi.
5GView attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
"Kuna kauli Moja maarufu sana Huwa inasemwa Ukiona Simba anaongoza League ujue yanga Hajacheza".
Wenye Akili TIMAMU ni wawili tu.
Aahaaaa
Mwasibu wa robertinho fcView attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Angalia leoView attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Akikujibu nambie 🤣🤣Angalia leo
Nyie mna unbeaten ngapi ndugu mwasibuView attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
🤣Mamaeeh Uzi wake anauogopa kama ukoma[emoji1][emoji1][emoji1]
Dah, kweli Utopolo wana hali mbaya. Huyo Gamondi ni wa kufukuza tu
Mamaeeh Uzi wake anauogopa kama ukoma[emoji1][emoji1][emoji1]