Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Nawe ni unaAKILI kama za muhasibu?Tuliwaambia ligi bado mbichi acheni mboyoyo,hawakusikia hoo mala tuna Gamondi yaoyao anamwaga maji kama mvua,,,kiko wapi😂😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe ni unaAKILI kama za muhasibu?Tuliwaambia ligi bado mbichi acheni mboyoyo,hawakusikia hoo mala tuna Gamondi yaoyao anamwaga maji kama mvua,,,kiko wapi😂😅
Wajinga mnamaneno ya shoboAlly Kamwe anasema eti sio mpira tena ni marathon, basi kama ni marathon mwambieni simba ni kipchoge
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah, kweli Utopolo wana hali mbaya. Huyo Gamondi ni wa kufukuza tu
Jamaa naona kaukimbia uzi wake tayariHuu uzi ni swala la muda tu unakuja kuumbuka. Umeshaitia doa timu yako hapo
.....View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Hahahahaha..huyu jamaa nilishamtoga thamani siku nyingi..na nina hofu juu ya uhasibu wakeJamaa naona kaukimbia uzi wake tayari
Akija mnitag Mkuu.Mwasi njoo utupigie hesabu huku View attachment 2969427
Muhasibu mjinga mjingaAkija mnitag Mkuu.
We jamaa na hofu na uwezo wa akili yakoView attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Naona swali lako bado halijapata majibu, je unaweza kutoa ufafanuzi kabla ya kupata majibu?View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)