Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Naludia tena ifike hatua mkae chini na mhasibu wetu mzimalize tofauti zenu😃😃😃
I mean no malice to Mhasibu , sina bifu wala kinyongo nae ni kama kuchamsha genge .

Nina enjoy utani ni enjoy ukorofi , baade Kuna mwengine nauzindua Leo TBT .
 
Nachojua NBC ni benki. Sasa ninaposoma maneno "msimamo wa NBC" picha inanijia kuhusu akiba, mikopo na madeni. Aidha NBC yaweza kuwa finyazo ya chochote kingine, hivyo mods rekebisheni title iendane na mada
 
Back
Top Bottom