Mkuu msimamo ukoje kwenye ligi ya NBC timu lako liko nafasi ya ngapi?View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu msimamo ukoje kwenye ligi ya NBC timu lako liko nafasi ya ngapi?View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Acha shobo kijana. Huu muda tumia kwenye shughuli za uzalishajiMkuu msimamo ukoje kwenye ligi ya NBC timu lako liko nafasi ya ngapi?
Jamaa ni taka taka kbsHatimaye Mwasibu kaangukia pua kwa mara nyingine tena! 😁
Kumbe mwamba anaongoza Ligi halafu nilisahau...OKW BOBAN SUNZU njoo uendeleze msimamo hapa Simba si inaongoza ligi uoga wa nini?
Wascreenshort huo msimamo sasa hivi kabla Yanga haijaanza ligi, maana Yanga ikianza ligi itakaa hapo juu mpaka ubingwa.Kumbe mwamba anaongoza Ligi halafu nilisahau...
I mean no malice to Mhasibu , sina bifu wala kinyongo nae ni kama kuchamsha genge .Naludia tena ifike hatua mkae chini na mhasibu wetu mzimalize tofauti zenu😃😃😃
Hakika tuko naye bampa tu bampa. 😅😅Nimeufufua , Mwasibu hakuna kumpuzisha..
🤣🤣🤣OKW BOBAN SUNZU njoo uendeleze msimamo hapa Simba si inaongoza ligi uoga wa nini?