Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake watangaze kujihudhuru huku wakimlikwa na vyombo vya habari na kuelezea kila kimewasibu!
Kwa Africa na Tanzania, hiyo ni dhambi kubwa na adhabu yake yaweza kuwa ni kuuwawa Kwa amri ya viongozi wa juu!
Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania hiyo nafasi ya Uwazari wa Nishati,
Nadhani ilikupa wakati mgumu saana, ila mwishowe uliamua Kwa hekima nyingi mno
Watanzania tunafahamu, wewe ni miongoni mwa mawaziri mliotumbuliwa pasina kufahamu sababu za kutolewa kwenye nafasi zenu
Ulifanya Kwa juhudi kubwa, kama kiatu, basi wizara hiyo ilikuenea vema! Ulienda Kwa kasi ya ajabu kiutendaji,
Ilikuwa vigumu sana kuelewaka kwetu ikiwa ungelikubali kuendelea kuongoza wizara hiyo Kwa mabadiliko yaliyoletwa na uongozi huu
Nafahamu, ugumu uliojitokeza kwako ni pale ulipoambiwa, utoke ukawaambie wananchi bei mpya ya kuwaingizia umeme majumbani mwao, kutoka 27,000 hadi 310,000,
Uliwaza mbali sana, na hatimaye ukamweleza mkuu wako kuwa, hautaeleweka, ni bora awekwe mwingine, na ndipo watanzania tukapata waziri wa hovyo kuwahi kutokea
Mungu akubariki sana Mh Kalemani
Hekima na busara zako, tunakuombea uendelee kuitumikia nchi yako Kwa juhudi hizo hizo bila kuchoka
Kawaida ya chama chako, huwa hakipendi watu wenye kujitambua kama wewe, na ukiona vema, piga hesabu za kuzidisha ili upate jibu
Mungu akutunze mkuu!