Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

Nlima
Nlimaanisha sokoine mkuu

..Sokoine alikufa kwa ajali ya gari.

..Na mwili wake uliwekwa Karimjee Hall na wananchi walimuona.

..Pia kuna taratibu za kimila za Wamasai ambazo mwili wake ulifanyiwa na ilihusisha wanawe wa kiume.

..Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi walimpaka mafuta yaliyotoka ktk ng'ombe dume.

..Kama angekuwa amefanyiwa foul play basi wanawe au ndugu zake wangesema kuna mchezo mbaya alifanyiwa.
 

Kuna watu wameshikiwa akili na watu wengine. Hawajui kwamba kuna political assassins ambao hawatumwi na mtu yeyote. Kwa mfano, yule chizi aliyevamia nyumbani kwa Nancy Pelosi na kumjeruhi mume wake kwa nyundo alitumwa na nani? Hawa machizi wetu wa hapa wangekuambia alitumwa na Trump!
 
Kalemani ajitokeze kueleza kilichorekodiwa ktk CCTV cameras zake siku aliyoshambuliwa Tundu Lissu.
Kabisa japo haitosaidia coz muhusika hakuwepo pale na hayupo tena
 
Mkuu usifumbe macho alkua anaenda wapi? Je walkufa wangap? Gari ilio husika vp? Kama ukisema Sina uthibitisho na ww naomba uthibitisho wa mtu yoyote alie uliwa na magu
 
Mkuu usifumbe macho alkua anaenda wapi? Je walkufa wangap? Gari ilio husika vp? Kama ukisema Sina uthibitisho na ww naomba uthibitisho wa mtu yoyote alie uliwa na magu

..Sokoine alikuwa anatoka Dodoma kuja Dsm.

..Kwa kumbukumbu zangu alikufa Sokoine peke yake.

..Dereva wa Sokoine aliumia na tuliona picha zake akiwa hospitali.

..Pia dereva wa gari iliyomgonga, alishtakiwa mahakamani, na kufungwa.

..Taarifa nyingi kuhusu tukio hilo zilionyeshwa ikiwemo picha za magari yaliyogongana na eneo la tukio.

NB.

..Unaposema Sokoine aliuawa inabidi utueleze aliuawa na nani, na namna gani.
 
Kwani tundulisu alipigwa risasi na Nan na kwa namna gan
Inshort kama ilvo tetesia magu alihusika kushambuliwa tundu basi pia sokoine alkua anenda kuumbua uovu wa Nyerere akitoka kuhutubia bunge ndo maana wakapita nae juu
 
Kwani tundulisu alipigwa risasi na Nan na kwa namna gan
Inshort kama ilvo tetesia magu alihusika kushambuliwa tundu basi pia sokoine alkua anenda kuumbua uovu wa Nyerere akitoka kuhutubia bunge ndo maana wakapita nae juu

..kuna ushahidi toka eneo la tukio unaoiunganisha serikali na jaribio la kumuua Tundu Lissu.

..Ushahidi mmojawapo ni kuondolewa kwa WALINZI WA SERIKALI eneo la tukio siku aliyoshambuliwa Lissu.

..Walinzi wa serikali huwa hawawekwi lindoni kienyeji, na kuondolewa kwao hakufanyiki kienyeji.

..Kwa hiyo bila serikali kueleza kinagaubaga kwanini walinzi waliondolewa, na waliondolewa na nini, itakuwa ni vigumu sana kutokuhusishwa na tukio lile.

..Magufuli anatuhumiwa sio kwasababu alionekana eneo la tukio bali kwasababu yeye ndiye mkuu wa serikali ambayo inatuhumiwa kumshambulia Tundu Lissu.

..Ukiacha ushahidi toka eneo la tukio matendo ya Magufuli na serikali yake baada ya tukio yanakaribisha lawama na tuhuma dhidi yake.

..Kwa mfano, kwanini kuna danadana ktk kufanya uchunguzi? Hali hiyo inazua lawama na hisia kwamba waliomshambulia Lissu wanalindwa na serikali. Na serikali ni ya nani? Jibu, ni ya Magufuli.

..Serikali ilikataa kumtibu Tundu Lissu na kumuacha atibiwe kwa kuombaomba. Hivi serikali nzima haikuwa na mtu mwenye busara wa kupitisha maamuzi kwamba matibabu ya Lissu yagharamiwe na serikali?

..Madai kwamba Magufuli amehusika na tukio la Lissu msingi wake ni huo nilioueleza hapo juu.
 
Kalemani alikuwa Jembe sana, walimtoa ili wamuweke mpigaji. Ndipo kila siku utasikia umeme umekatika.
 
Mkuu kwani issue ya walinzi inahusiana na rais bunge SI ni muhimili unajitegemea vipi kama speaker ndo aliamua kufanya ivo binafsi nchii viongozi au watu maarufu wangapi wanauwawa kwaio wote lawama ziende kwa mh rais si ndio?
Vipi kama tundu alitumia tukio Ilo kwa manufaa yake kisiasa maana kweny kampeni zake moja ya sera ilkua ni kwamba serikali katili imempga risasi
Ni ngumu kuamin mtu alipona risasi zote zile vipi kama alijipanga na Ilo shambulio au anamafunzo ya kivita?

Walikua na haki kuto mtibu kama Sheria haitaki ivo ndo maana Kuna bima kila mtu akitibiwa kwa pesa za serkali nn kitafanyika kama ingempendeza kwa mapenzi yake angemtibu lakini ata wewe Kuna omba omba akiomba utampa na Kuna utae mnyima ni mapenzi yako tu

Kuhusu danadana ndo tunakuja kama kifo Cha sokoine ukijaji critical maelezo hayajanyooka mbona husemi Kuna mashaka apo lakini ukiacha ivo unajua Kuna watu wangap hukaa mahabusu mpaka miaka 20 upelelezi bado je hao hawana haki lakin kwa tundulisu ushahidi kutoka mnasema ni mpangi
 

Napenda sana maswali yako na inawezekana hauko peke yako mwenye maswali hayo.

1. Je, walinzi wa Area D ni wa serikali au bunge?

..Ni walinzi wa serikali. Hata Spika analindwa na walinzi wa serikali pamoja na kwamba Bunge ni mhimili.

2. Kwanini Lissu alitumia tukio hilo kupata umaarufu wa kisiasa? Aliweza vipi kupona risasi nyingi namna ile?

..Lissu alikuwa maarufu tangu miaka ya 90 alipokuwa mwanaharakati wa mazingira na haki za wachimbaji wadogo-wadogo. Ubunge ameupata akiwa tayari ni maarufu.

..Lissu alipona kwa bahati au miujiza. Kuna ndege ilianguka wakafa watu 100++ akapona mtu mmoja. Huo ni muujiza.

..Yuko bwana mmoja huko Japan alinusurika kifo ktk shambulizi la bomu la Nyuklia Hiroshoma. Huyo bwana alikimbilia Nagasaki na mji huo uliposhambuliwa kwa bomu la Nyuklia alinusurika.

..Kuna watu hunusurika vifo kwa bahati na miujiza ya Mwenyezi Mungu na Lissu ni mmoja wapo.

3. Kuna watu wanasubiri upelelezi kwa miaka 20 au zaidi. Kwanini Lissu analalamika kuchelewa kwa uchunguzi wa tukio lake?

..Uchunguzi wa suala la Lissu ulitakiwa uendeshwe na kukamilika haraka kwasababu ya uwepo wa CCTV camera eneo aliposhambuliwa.

..Pia walinzi wa eneo aliposhambuliwa waliondolewa. Hivyo aliyeondoa walinzi anatakiwa aeleze alitumwa na nani na Polisi washughulike na mtu huyo.

..Mpaka wakati huu Polisi walitakiwa wawe na majina na picha za watu wanaotafutwa kuhusika na shambulizi dhidi ya Lissu.
 
Kalemani ajitokeze kueleza kilichorekodiwa ktk CCTV cameras zake siku aliyoshambuliwa Tundu Lissu.
Tundu lisuu ni nani na ni nini kwa mustakabali wa Taifa hili kwa sasa?

Mpaka sasa tuwekee mchango wa kukumbukwa kwake katika uchumi au maendeleo ya nchi hii?

Tofauti na kuwa kiongozi mchumia tumbo ndani ya genge lenu Chadema!

Ni nini tutaendelea kumkumbuka nacho,tofauti na hilo shambulio?

Stop the nonsense kila saa shambulio,shambulio,shambulio,shambulio......

Mpaka lini?

Watu maisha lazima yaendelee huku changamoto mpya zikiibuka kila uchao Dunia muzima!

Nyinyi Misukule wa Ufipa mnatulazimisha wooote tuabudu katika Lissuuu!

Acheni ujuha wenu.....nchi hii wamekufa wengi sana,tena vifo vya utata,na walikuwa na michango kwa jamii kuliko huyo msaliti wenu.

Lakini vifo vyao havijageuka ibada!
 
Kalemani aliifanya wizara ya nishati kuwa wizara bora na inayohudumia wananchi

ila huyu tuliyeletewa acha ninyamaze
 
Shenzi zako.
Wewe ni mzigo kwenye chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…