Msimu huu kwa Mpira huu 'mwingi' wa Yanga SC tutawasingizia Wananunua tu

Ajabu kweli, eti mpira mzuri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mpira mzuri dhidi ya team zipi. Wakati juzi tu wamecheza utopolo na wanigeria๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Siku zote mashabiki wa Yanga hawanaga akili.....mtu anasifia Yanga kuifunga kjitimu kidogo as if wameifunga T.P. Mazembe au Al Ahly. Wenyewe wanajuwa kabisa kimataifa Yanga si lolote, hawana issue lakini wapi watabisha mpaka kufa. Sasa hapa mpira gani walioucheza kama si kupiga tizi tu na timu za kitoto huko vijijini?
 
Hivi BAKITA wanajua neno lako la 'Kalogwa' au lao la 'Karogwa' tu? Sasa kwa Kukosea huku neno hili tu jepesi na la Kawaida Mimi na Wewe Nani ameshajulikana na Kujianika kuwa ni Chizi 'aliyerogwa' tena?

Huwa nikiwadharau hapa siwakosei.
Mada imekushinda. Umegeuka kuwa comedian.
Swali:
YANGA NI BORA KWA MUJIBU WA KUCHEZA NA KMC ILIYO MKIANI MWA LIGI!?
 
Mpumbavu kama Wewe unaweza Kunishauri Kipanga kama Mimi? Uhalali huo umeupata wapi?

Leo GENTAMYCINE kuisifia Yanga SC Kwako ( Kwenu ) Wapumbavu kadhaa na Wanafiki imekuwa Chukizo ( Kero ) mbona nikiwa naipamba Simba SC na 'Kuinanga' Yanga SC hapa JamiiForums huwa hamjitokezi Kunipongeza?

Nasisitiza Yanga SC ya Msimu huu ni ya Moto na wako vizuri hivyo ukiona Ukweli wangu huu Umekuuma tafuta Sumu ya Panya Koroga unywe Ufe au mtafute wa 'Kukukaza' ili akupunguzie Machungu yako dhidi yangu.
 
Hujawahi kuwa na Akili hapa JamiiForums.
 
Labda ki-panga kidogo cha kukatia gogo. But ukweli ni kwamba;
Umechemsha mwanangu katika uzi huu.

Jipange upya. Na unaendelea kujidhalikisha tu. Umevuliwa nguo chutama Mzee.
Uchambuzi wako huu unaonesha namna kichwa chako kilivyo empty.

Nakushauri:-
Jitahidi kukaa na watu wenye akili kubwa kama mimi ili kidoooogo ujifunze universe inavyo operates.

HAPA UNATULETEA MIPASHO TU.
 
KMC wanashika mkia kwenye msimamo, na Kama hicho ndio kigezo ulicho tumia kupima kiwango Cha yanga kuupiga mwingi Basi gentamycine umefeli kwa kiwango Cha sifuri kubwa yenye masikio[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Umeongea point tupu,ila mashabiki wenzio wa simba unawafahamu na humu wamejaa tele. Watakujia na maneno ya kejeli na kukubishia
 
Ajabu kweli, eti mpira mzuri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mpira mzuri dhidi ya team zipi. Wakati juzi tu wamecheza utopolo na wanigeria๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Ya Simba ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Ila mikia bana sa hamtaki mtu aandike kile anachokiona yeye. Khaaa.

Mana mnatamani mummeze Genta wa watu. Lol
Tayari ashaandika unasema hatutaki, utopolo bhana. Sisi sio misukule,tunapinga kwa hoja kama binadamu wenye akili timamu. Huyu huyu aliwahi kumsifia Sarpong mechi ya kwanza tu kwamba ni bonge la striker na atafunga sana.
 
Mwana michezo gani ambaye statistics zako zina base kwenye timu mbili pekee?

Mbona mbeya kwanza hujawahi waanzishia uzi kuwasifu uchezaji wao pamoja na kufunga goli bora ambalo nahakika wangefunga yanga ungeandika uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ