Kwa hiyo unapanga kumminyafasta kummnyamazosha sio, basi kama hivyo hauta kosa kuwapo kundi la badluck&co.Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Uliulizwa swali dogo tu hukujibu unakuja na ngonjera.Yule ni mhuni na tapeli.
Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!
Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!
Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!
Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Serikali haina mandate ya kushughulikia watuhumiwa kuna makahama..., Serikali iende kumshitaki huko na sheria ifuate mkondo..., Kukosoa Serikali sio kupambana nayo ni kutimiza wajibu wako kama mlipa kodi..Mwananchi anayetaka kupambana na Serikali huku akisahau kuwa yeye ni laghai na tapeli wa sadaka za wengine akishughulikiwa kama mhuni kwa sababu tofauti na genge la wahuni basi ninyi wahuni wenzake msipige kelele
Pitia video ya Mwingira hapo juu akisifu kwa nyimbo na mapambio halafu ujipe jibu wewe na yeye mjinga zaidi ni nani.Nabii gani unayemfahamu kwamba ni nabii au alikuwa nabii na ilikuwaje wewe ukamtambua kwamba alikuwa nabii na nani alimwita kuwa ni nabii? (Naona harufu ya chuki za kiimani hapa).
La pili watu kama wewe hamfai kuwa watetezi wa watu kwa sababu ya ujinga, ubinafsi ama uwoga na wakati huyo mtetezi akiwa uhamishoni, watu kama wewe hupotea na vizazi vyao vyote!.
La tatu, kama hujui, Mwingira anajua usalama wake hauuko katika upeo wa anga la wachawi!, ambao wanaweza kujitutumua kwa kuwa wanaweza kugeuza mtu kuwa paka ama msukule. Mwingira anaona zaidi ya anga hili na maisha yake ni marefu kuliko ya kwako unayeona mwisho miaka 80.
Watu wangapi walikimbia nchi na wengine kuuawa ama kufia uhamishoni na mwisho wake damu na sauti zao ziliishi na kuzaa matunda?
NI MNAFIKI AMA MWOGA WA KUSIMAMIA KWELI GANI UNAYEMFAHAMU ALIYEFANIKISHA HATIMA ZA JINA LAKE NA VIZAZI VYAKE?
Sukuma gan'g mtapata tabu sana aisee,mnapewa vidonge vyenu mwisho wa siku mnasema anapambana na dola are seriousAcha nikuheshimu tu kwa sababu tayari umeshasema askofu na si Askofu.
Naheshimu sana utofauti baina ya askofu na Askofu!
Mjinga wewe unayetaka Mwingira afungwe mdomo na serikali, awamu hiyo ya kufungana midomo ilizikwa 17th March, 2021! Awamu ya hovyo kabisa, mtu kuhoji tu Phd ya Shetwani akauawa!!!Ipo video ya Mwingira hapo juu akionyesha kile ulichokiita ujinga sasa ukishamsikiliza ndiyo jijibu wewe na yeye nani mjinga zaidi
Kwahiyo unataka watu wakifanyiwa mambo ya hovyo wakae kimyaKwahiyo huko Kenya na Marekani wanatawala malaika ?
Anyway, ingia barabarani basi uandamane kuunga mkono maneno ya Mwingira, shabiki zuzu.
Samia zao la Sukuma gang.Sukuma gan'g mtapata tabu sana aisee,mnapewa vidonge vyenu mwisho wa siku mnasema anapambana na dola are serious
Angesifia ungeongea huu upuuzi wako?Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Kweli tupuWewe unajua alichopitia?...punguza mdomo...wewe kwa Mwingira mchumba tu...
Wapi kainanga serikali?...mtu ameumizwa unaleta porojo?
Muache aseme mdomo ni wake hii inaweza kumpunguzia maumivu aliyopata.
Kuna sehemu amesema anapambana na serikali? mbona kusifiwa huwa hamlalamiki?Mwingira ni sawa na 0 punje kwa Serikali inaouwezo ima wa kumnyamzisha ama kumfanya lolote itakalo
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Pitia video ya Mwingira hapo juu akisifu kwa nyimbo na mapambio halafu ujipe jibu wewe na yeye mjinga zaidi ni nani.
Kuhusu Utakatifu huo Mwingira hana!
Angekuwa na chembe ya uchaji wa Mungu angetapeli ardhi ya wale Wafipa?!
Lile ni laghai la imani na nufaikaji la sadaka za wasiojielewa.
Issue siyo kukaa kimya ila ukianzisha vita, unaopigana nao wakikujibu hatutaki MALALAMIKO meeengi kuwa unaonewa.Kwahiyo unataka watu wakifanyiwa mambo ya hovyo wakae kimya
Ukweli ni nini?Hivi tz KILA msema ukweli anakua adui KWa mamlaka
wewe kama sio polepope sijui maana si kwa povu hiliYule ni mhuni na tapeli.
Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!
Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!
Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!
Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Nyie nani hadi msiambiwe ukweli? Kama vipi mpigeni risasi kwani ndiyo uwezo wenu ulipoishia. Kama kuna attempt ya kumuua ilifanywa kwa nini asiseme?Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
wewe sukumagang hakuna haja ya kukujibuAlisema hivyo ? Kama kweli why hakusema jamaa akiwa hai ?