Msishangae Makonda akiteuliwa na kurudishwa serikalini au kwenye chama

Huyu mdada aliyepo anaonekana kupwaya kuliko hata mtangulizi wake.
Km issue ni Bandari hata angekaa nani pale lazima angepwaya tu watu hawaelewi labda aje na advertise za kuvamia ofisi za watu usiku na mitutu ya bunduki
 
Mmeona mkimbilie kwa Makonda. Aisee kweli Samiah ameishiwa.
 
Unavyotutukana sisi shenzi kabisa, una tofauti gani na wanaomtukana Mama?
 
Ni ushauri tu kwa uongozi wa juu wa Chama na Serikali

Nawatakia Sabato njema

Nawatakia Maulidi Mubarak 😀
 
Una akili kidogo, kwa vile Makonda anaeza kuua bila huruma, kuteka,kudhalilisha, kuonea and mny other atrocities ndiyo sifa ya kumpeleka pale? Kweli CCM mnanuka damu na mtateketzwa na moto wa milele
 
Nakutakia Maulidi Mubarak 😀
 
Kwa hali inavyoendelea Kwa Sasa ni vyema CCM tukajitafakari. Ukweli ni kwamba hatuna watu wenye 'energy' ya kutosha, hatuna mtu ambae anaushawishi Kwa wananchi si tu Kwa muonekano ata Kwa kuongea. Nimetafakari upande wa Serikali mawaziri wetu wamekosa nguvu na ushawishi Kwa wananchi.

Kuirudisha CCM kwenye mstari, nashauri Dr Nchimbi tumpe kijiti Cha Katibu Mkuu CCM, Paul Makonda apewe Uenezi wa chama.

Kwenye Serikali, tunafahamu Doto Biteko kateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu kama mkakati wa kuvuna kura za Kanda ya ziwa 2024 na 2025. Hili wazo kama ni la kweli basi halitafanikiwa sababu Biteko Hana ushawishi wowote katika Mikoa ya Kanda ya ziwa.

Ili kuleta mvuto mpya CCM Kanda ya Ziwa ni Bora Mzee Kalemani angeteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu kuliko huyo Biteko ambae hadi Sasa kishapoteana.

Kazi iendeleee!!
 
Kwa hali inavyoendelea Kwa Sasa ni vyema CCM tukajitafakari. Ukweli ni kwamba hatuna watu wenye 'energy' ya kutosha, hatuna mtu ambae anaushawishi Kwa wananchi si tu Kwa muonekano ata Kwa kuongea. Nimetafakari upande wa Serikali mawaziri wetu wamekosa nguvu na ushawishi Kwa wananchi.

Kuirudisha CCM kwenye mstari, nashauri Dr Nchimbi tumpe kijiti Cha Katibu Mkuu CCM, Paul Makonda apewe Uenezi wa chama.

Kwenye Serikali, tunafahamu Doto Biteko kateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu kama mkakati wa kuvuna kura za Kanda ya ziwa 2024 na 2025. Hili wazo km ni la kweli basi halitafanikiwa sababu Biteko Hana ushawishi wowote katika Mikoa ya Kanda ya ziwa.

Siasa chafu na za kuunga unga kama hizi ndio zinaumiza watanzania.
 
Kanda ziwa, bila Luhaga Mpina wala wasijihangaishe.
 
2605503e-ed62-4bdb-b562-23719a94f618.jpg

Makonda huyu huyu ndiyo awe kiongozi wa kitaifa wa CCM au kuna Makonda mwingine?
 
Kwa hali inavyoendelea Kwa Sasa ni vyema CCM tukajitafakari. Ukweli ni kwamba hatuna watu wenye 'energy' ya kutosha, hatuna mtu ambae anaushawishi Kwa wananchi si tu Kwa muonekano ata Kwa kuongea. Nimetafakari upande wa Serikali mawaziri wetu wamekosa nguvu na ushawishi Kwa wananchi.

Kuirudisha CCM kwenye mstari, nashauri Dr Nchimbi tumpe kijiti Cha Katibu Mkuu CCM, Paul Makonda apewe Uenezi wa chama.

Kwenye Serikali, tunafahamu Doto Biteko kateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu kama mkakati wa kuvuna kura za Kanda ya ziwa 2024 na 2025. Hili wazo km ni la kweli basi halitafanikiwa sababu Biteko Hana ushawishi wowote katika Mikoa ya Kanda ya ziwa.

Ili kuleta mvuto mpya CCM Kanda ya Ziwa ni Bora Mzee Kalemani angeteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu kuliko huyo Biteko ambae hadi Sasa kishapoteana.

Kazi iendeleee!!
🗑️🗑️🗑️🗑️
 
Back
Top Bottom