secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Binadamu tumetofautiana,Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa, Kila mtu huzaliwa akiwa hajui chochote, maana yake wote tumezaliwa tukiwa sawa lakini sababu fulani fulani zimefanya wengine wawe na uwezo mkubwa katika kufanya mambo kuliko wengine.
Hivyo, ni kosa kusema mtu fulani ana kipaji kisa amewazidi watu wengine katika kutenda jambo fulani. Ni vizuri tuwe tunasema mtu fulani ana uwezo wa kufanya kitu fulani. Mfano, Messi ana uwezo wa kucheza mpira kumshinda Ronaldo.
Nasanzuka!
Na hayo yote mtu hazaliwi nayo, bali husababishwa na semehu alikokulia mtu, umbo la mtu, tabia ambayo mtu hujizoesha na factors zingine.Binadamu tumetofautiana,
Wapo ambao wana nguvu za mwili hasa waafrika ndio maana tumedominate kukimbia, ngumi, rugby, basket, n.k.
Wap
wapo wenye uwezo mkubwa wa uvumilivu, hapa naweza kuwaweka wanawake wa kihehe na wabena,
Kwa kiasi flani lakini bado wana uwezo maalum wa ziada tofauti na mwengine.Na hayo yote mtu hazaliwi nayo, bali husababishwa na semehu alikokulia mtu, umbo la mtu, tabia ambayo mtu hujizoesha na factors zingine.
Ukifuatilia watoto wanaotoka katika jamii hizo mbili utagundua kuwa Kuna utofauti.Kwa kiasi flani lakini bado wana uwezo maalum wa ziada tofauti na mwengine.
Ndio maana hata shule ikiwa na kila kitu huwa kuna jamii flani inafanya vizuri darasani, jamii nyingine hata zikeshe na madaftari uwezo wao wa kujifunza ni mdogo au wa kawaida, huhitaji msaada wa ziada wa walimu wa tuition.
nilivyoanza kuusoma uzi wako niliona una kitu hv xema kwenye eti mec anaweza kuliko cr7 umebugi jomba yan mpaka uzi umeanza kunukaWazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa, Kila mtu huzaliwa akiwa hajui chochote, maana yake wote tumezaliwa tukiwa sawa lakini sababu fulani fulani zimefanya wengine wawe na uwezo mkubwa katika kufanya mambo kuliko wengine.
Hivyo, ni kosa kusema mtu fulani ana kipaji kisa amewazidi watu wengine katika kutenda jambo fulani. Ni vizuri tuwe tunasema mtu fulani ana uwezo wa kufanya kitu fulani. Mfano, Messi ana uwezo wa kucheza mpira kumshinda Ronaldo.
Nasanzuka!
uzi wako nimzur xema kweny et mec anauweza kuliko cr7 dah uzi umenukaWazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa, Kila mtu huzaliwa akiwa hajui chochote, maana yake wote tumezaliwa tukiwa sawa lakini sababu fulani fulani zimefanya wengine wawe na uwezo mkubwa katika kufanya mambo kuliko wengine.
Hivyo, ni kosa kusema mtu fulani ana kipaji kisa amewazidi watu wengine katika kutenda jambo fulani. Ni vizuri tuwe tunasema mtu fulani ana uwezo wa kufanya kitu fulani. Mfano, Messi ana uwezo wa kucheza mpira kumshinda Ronaldo.
Nasanzuka!
umesema vema kabisa, maana kama vipaji tunazaliwa navyo. Basi TAJIRI nae ana kipaji.Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa, Kila mtu huzaliwa akiwa hajui chochote, maana yake wote tumezaliwa tukiwa sawa lakini sababu fulani fulani zimefanya wengine wawe na uwezo mkubwa katika kufanya mambo kuliko wengine.
Hivyo, ni kosa kusema mtu fulani ana kipaji kisa amewazidi watu wengine katika kutenda jambo fulani. Ni vizuri tuwe tunasema mtu fulani ana uwezo wa kufanya kitu fulani. Mfano, Messi ana uwezo wa kucheza mpira kumshinda Ronaldo.
Nasanzuka!
Qur'an inasema Allaah amemtoa mwanadamu kwenye kutoka tumboni akiwa haujui chochote.Binadamu tumetofautiana,
Wapo ambao wana nguvu za mwili hasa waafrika ndio maana tumedominate kukimbia, ngumi, rugby, basket, n.k. wakati wazungu, waarabu, wachina, n.k. wana vifaa vizuri vya mazoezi ila tunawapita.
Wapo ambao wana uwezo mkubwa wa kujifunza au kufundishika kirahisi, hawa hapa kwetu ni kama wahaya, lakini akili za maisha, kugundua vitu, n.k. bado ndogo
Wapo ambao wana akili ya kugundua vitu, kusolve matatizo mapya, na hii ndio akili kubwa sana, hapa unawakuta wa Israel - Karibia kila kampuni kubwa ya teknolojia unayoijua wana ofisi za ugunduzi na uboreshaji wa teknlojia Israel, kule China huwa ni viwanda.
Wapo wenye uwezo mkubwa wa kusocialize kama wazaramo, wanaelewa kirahisi hisia za wengine, kuweza kudhibiti hasira kwenye matani, kumfanya hata mtu mkimya awe muongeaji, n.k.
wapo wenye uwezo mkuvwa wa kuwa na bidii ya kufanikisha mambo bila kuchoka, mtu yupo tayari kushinda dukani jumatatu mpaka jumatatu bila likizo alfajiri hadi usiku huku akiuza kwa faida ndogo na akijibana ila lengo lake aje kuwa na duka kubwa,
wapo wenye uwezo mkubwa wa uvumilivu, hapa naweza kuwaweka wanawake wa kihehe na wabena,
Hapo nilitoa tu mfano.nilivyoanza kuusoma uzi wako niliona una kitu hv xema kwenye eti mec anaweza kuliko cr7 umebugi jomba yan mpaka uzi umeanza kunuka
Good! Ndo maana naishauri serikali iwahimize wananchi waache kutumia neno kipaji au ibadilishe definition ya kipaji.Qur'an inasema Allaah amemtoa mwanadamu kwenye kutoka tumboni akiwa haujui chochote.
View attachment 3571019
Hapo kila mtu kazaliwa mjinga , Ugeniaz , Elimu ni acquired characteristics mtu anapata akija Duniani kutokana na sababu mbalimbali
Kweli kabisa.umesema vema kabisa, maana kama vipaji tunazaliwa navyo. Basi TAJIRI nae ana kipaji.
Wote tunatoka matumboni ila hata rangi za ngozi tofauti, urefu tofauti, sura tofauti, Dna tofauti, n.k.Qur'an inasema Allaah amemtoa mwanadamu kwenye kutoka tumboni akiwa haujui chochote.
View attachment 3571019
Hapo kila mtu kazaliwa mjinga , Ugeniaz , Elimu ni acquired characteristics mtu anapata akija Duniani kutokana na sababu mbalimbali
Kwani mzungu ndiye nani? Wazungu nao hudanganya kama watu wengine.Kabla hujambishia mzungu jitahidi uwe na sababu za kisayansi na sio kuchomekea imani za kishirikina kwenye maelezo yako. Huu uzi wako upo kiimani bila facts.. NINASHAURI HUU UZI UPUUZWE.
Vipaji vipo na huwa vinajipambanua kupitia Natural instincts!Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa, Kila mtu huzaliwa akiwa hajui chochote, maana yake wote tumezaliwa tukiwa sawa lakini sababu fulani fulani zimefanya wengine wawe na uwezo mkubwa katika kufanya mambo kuliko wengine.
Hivyo, ni kosa kusema mtu fulani ana kipaji kisa amewazidi watu wengine katika kutenda jambo fulani. Ni vizuri tuwe tunasema mtu fulani ana uwezo wa kufanya kitu fulani. Mfano, Messi ana uwezo wa kucheza mpira kumshinda Ronaldo.
Nasanzuka!
Natural instincts zipo kwa Kila mtu mkuu, hivyo haifanani na hiki kinachoitwa kipaji.Vipaji vipo na huwa vinajipambanua kupitia Natural instincts!
Kipaji ni uwezo wa asili. Hautokani na mazingira. Ingawa Kipaji huendelezwa kwa mazingiraNatural instincts zipo kwa Kila mtu mkuu, hivyo haifanani na hiki kinachoitwa kipaji.
Kwa mfano we unakipaji gani? Tuanzia hapo kwanza.Kipaji ni uwezo wa asili. Hautokani na mazingira. Ingawa Kipaji huendelezwa kwa mazingira
Kipaji cha uongeajiKwa mfano we unakipaji gani? Tuanzia hapo kwanza.