Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

Kama huamini mtu kuzaliwa na kipaji cha kipekee, chukua mtoto wako akulie akicheza mpira toka mtoto kama anaweza kuwa kama Messi.

Naibu waziri wa Elimu kazi yake hata iwe kusoma physics tu kila kukicha halafu baada ya miaka 10 hawezi faulu pepa la form 6 physics amini.
Mapenzi + jitihada + mazingira + creativity = ufaniasi mkubwa.

Ni rahisi ufaniasi huo kifikiwa endapo mtu ataanza kufanya hivyo tangu utotoni.
 
Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.

Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa, Kila mtu huzaliwa akiwa hajui chochote, maana yake wote tumezaliwa tukiwa sawa lakini sababu fulani fulani zimefanya wengine wawe na uwezo mkubwa katika kufanya mambo kuliko wengine.

Hivyo, ni kosa kusema mtu fulani ana kipaji kisa amewazidi watu wengine katika kutenda jambo fulani. Ni vizuri tuwe tunasema mtu fulani ana uwezo wa kufanya kitu fulani. Mfano, Messi ana uwezo wa kucheza mpira kumshinda Ronaldo.

Nasanzuka!
Nini maana ya kipaji?
 
Kila mtu ana uwezo lakn passion ndo inaleta matokeo chanya

mfano viongozi wetu wana passion ya ufisadi ndo maana hawachoki kuiba, wanabuni mbinu mpya za upigaji, wanatunga uongo uongo, adi kufisadi uhai wa raia wake na bado hawachoki.
 
Back
Top Bottom