Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

Sio wote wanaweza kuongea kama Mimi. Ingawa kuna ambao Mimi siwezi kuongea kama wao!
Kwani kuwa na kipaji cha kuongea kunahitaji kuwa na uwezo wa kuongea kwa kiwango gani?

Je Kuna kiwango maalumu cha kufanya au kutenda jambo ili mtu aonekane kuwa na kipaji?
 
Kile kitu ambacho mtu anaweza kukifanya hadi watu wengine washangae na kusema kwamba huyu sio mtu wa kawaida, ni kitu ambacho mtu huzaliwa nacho na vinatofautiana kati ya mtu na mtu. Mfano tongue rolling
Kwani mtu hawezi kujifunza kitu fulani na kukifanya hadi watu wakashangaa?
 
Ni
Mwisho wa siku utagundua kwamba wewe ndio muongo. Vipi kuhusu Kipaji cha kupindisha mdomo uwe kama namba nane?.
Kwanza sijawahi kumwona mtua aliyepindisha mdomo kwa style hiyo.

Kama tupo basi aende kwenye hospitali iliyokaribu naye kwa matibabu zaidi.
 
Wapo ambao wana akili ya kugundua vitu, kusolve matatizo mapya, na hii ndio akili kubwa sana, hapa unawakuta wa Israel - Karibia kila kampuni kubwa ya teknolojia unayoijua wana ofisi za ugunduzi na uboreshaji wa teknlojia Israel, kule China huwa ni viwanda.

Mkuu, hoja yako ina mashiko kwenye 'Surface Level' (User Interface), lakini ukiingia kwenye 'Source Code' ya uchumi wa dunia, utagundua kuwa unachokisifu Israel ni Niche Innovation, siyo Global Centrality.

Hebu tuivunje hii dhana kimifumo (Systems Analysis)

1. R&D ni Kiungo, Siyo Mwili Mzima:
Ni kweli Israel ni mahiri kwenye Deep Tech na Cybersecurity kutokana na mfumo wao wa kijeshi. Lakini kitalu cha miche (R&D) siyo shamba. Ugunduzi mwingi wa Israel ungebaki kuwa 'Prototypes' kwenye makaratasi kama kusingekuwa na Capital ya Marekani (Silicon Valley) na Mass ya China (Shenzhen). Innovation bila 'Scaling' ni hobby, siyo mapinduzi ya dunia.

2. China siyo "Viwanda" tu, ni 'System Integrators:
Dhana ya kwamba China ni 'mikono' tu ni ya kizamani (obsolete). Huwezi kutengeneza Solid State Batteries au kuongoza kwenye 5G patents na Quantum Computing kwa kutumia 'mikono' tu. China wamevuka hatua ya kufanya 'Reverse Engineering'; sasa hivi wanafanya Iterative Innovation. Wao wanatatua tatizo la 'Price vs. Performance'—jambo ambalo ni gumu kuliko kugundua sensor mp.

Akili Kubwa vs. Akili ya Mazingira (Niche vs. Universal):
Waisrael wanagundua vitu kutatua matatizo ya mataifa yaliyoendelea (kama cybersecurity). Lakini kuna 'Akili Kubwa' ya kugundua mifumo inayohudumia watu bilioni 4 wasio na benki wala miundombinu (kama Fintech ya East Africa). Huu ni uvumbuzi wa kimfumo (Systemic Innovation) ambao mara nyingi hatuupi sifa kwa sababu hauna 'branding' ya kutosha kama ya Tel Aviv.

The "Intellectual Property" Trap:
Kuwa na ofisi za Google au Intel Israel hakumaanishi Israel ndiyo 'Center'. Inamaanisha Israel ni 'High-End Supplier' wa vipaji. Lakini 'Owner' (Mwenye Mfumo) anabaki kuwa yule anayeunganisha
 
Israel haijaitwa start up nation kwa bahati mbaya, Ndio nchi inayoongoza kwa density kubwa ya startups na hii ni kwasababu ya kufanya vizuri kwenye innovation, research, design, n.k.

Mataifa mengi yanaweka mtaji Israel kwasababu wana vipaji maalum kwenye kubuni, Makampuni kama Google na Intel yanawalipa pesa nyingi kuwavumbuia vitu, kwa hio hata kama wakivumbua kitu, owener anakuwa mwengine lakini wao ndio ndio wenye raw material vichwani, Akili inawaingizia pesa nyingi.

Hayo mambo ya benki, watu walioleta mapinduzi makubwa ni hao hao waisrael wakiwa Ulaya, kipindi walipopelekwa Ulaya kutumikishwa walinyimwa ushiriki katika fursa nyingi, katika vichache walivyojaribu na kufanikiwa ni banking system.

Pia kuna kampuni za Israel zinafanya vizuri duniani hasa kwenye kilimo cha AI, Mambo ya cyber security, n.k.
 
Vitu vinaanza ukiwa tumboni, sio nje.

Uwe "Ronaldo", basi mjamzito apate chakula bora, kupumzika na hata yai na mbegu iliyotumika kutunga iwe yenye afya (hakuna teja, mvuta bangi au mvivu), hii hukupa mwanzo wenye kukusaidia ufike mbali, hata hivyo NEEMA kuu ya Mungu hutubeba akina sie, ambao hatukupata chakula stahiki uko nyuma.
 
Israel haijaitwa start up nation kwa bahati mbaya, Ndio nchi inayoongoza kwa density kubwa ya startups na hii ni kwasababu ya kufanya vizuri kwenye innovation, research, design, n.k.

Mataifa mengi yanaweka mtaji Israel kwasababu wana vipaji maalum kwenye kubuni, Makampuni kama Google na Intel yanawalipa pesa nyingi kuwavumbuia vitu, kwa hio hata kama wakivumbua kitu, owener anakuwa mwengine lakini wao ndio ndio wenye raw material vichwani, Akili inawaingizia pesa nyingi.

Hayo mambo ya benki, watu walioleta mapinduzi makubwa ni hao hao waisrael wakiwa Ulaya, kipindi walipopelekwa Ulaya kutumikishwa walinyimwa ushiriki katika fursa nyingi, katika vichache walivyojaribu na kufanikiwa ni banking system.

Pia kuna kampuni za Israel zinafanya vizuri duniani hasa kwenye kilimo cha AI, Mambo ya cyber security, n.k.
Mkuu, bado upo kwenye Micro-level wakati dunia sasa hivi ipo kwenye Macro-level. Hakuna aliyekataa kuwa Israel wana vipaji au 'Startup density' kubwa. Lakini hapa ndipo unapofeli kuelewa mfumo wa dunia:

1. "Talent" vs. "Sovereignty" (Vipaji vs. Mamlaka):
Unasema Google na Intel zinawalipa pesa nyingi wavumbue vitu. Kwenye uchumi wa dunia, anayelipwa mshahara (hata uwe mkubwa vipi) ni Mtumishi, na anayemlipa ni Mwenye Mfumo. Israel wamegeuka kuwa 'Premium Freelancers' wa Marekani. Ukivumbua kitu kisha hakimiliki (IP)ikawa ya Intel, maana yake 'Brain Power' yako inatumika kukuza utajiri na nguvu ya nchi nyingine. Huu ni 'Outsourcing' wa kiwango cha juu, siyo kuwa Center ya dunia.

2. Density vs. Scale (Wingi wa kampuni vs. Ukubwa wa matokeo):
Kuwa na 'Startups' nyingi (Density) ni tofauti na kuwa na Impact ya kidunia. Israel inatengeneza 'Features' (kama Waze au sensor za kamera), lakini nchi kama China na Marekani zinatengeneza Platforms (kama Android, AWS, au BYD Ecosystem). 'Feature' lazima ikae ndani Feature' lazima ikae ndani ya 'Platform' ndiyo ifanye kazi. Israel bila 'Platforms' za wenzao, zile startups zao hazina soko.

3. Uvumbuzi wa Kilimo cha AI na Cybersecurity:
Unasema wanafanya vizuri huko. Ni kweli. Lakini unajua nani anaongoza duniani kwa Industrial AI na Agricultural Automation kwa sasa? Ni China na nchi za Nordic. Tofauti ni kwamba Israel wanauza 'Technique', lakini China wanauza 'Infrastructure'. Israel wakigundua teknolojia ya kumwagilia, China wanatengeneza mifumo inayoweza kumwagilia bara zima la Afrika kwa gharama nafuu.

The "Brain Drain" Trap:
Israel inasumbuliwa na kitu kinaitwa 'Exit Culture'. Kijana wa kule akigundua kitu, anawaza kuuza kampuni kwa Marekani apate mabilioni. Hii inawafanya wawe wataalamu wa 'kuzalisha' lakini siyo 'kumiliki'. Center ya dunia ni kule ambako mambo yanamilikiwa na kuelekezwa (Command and Control), siyo kule ambako watu wanakodishwa kuvumbua sensor za Intel.
 
Kwenye kuwa wabunifu wa teknolojia inayotumika duniani kuna power ndani yake, ndio maana Israel wanaweza kununua ndege za Marekani na kuondoa systems nyingi za Marekani na kuweka walizobuni wao, na matokeo tumeweza kuyaona, ndege zao zimeonekana kufanya vyema kuzidi hata za wamarekani zilizoangushwa kama 5 nchini Iran, na zaidi ya hapo Israel kwenye tech wanazobuni kuna tetesi wanaacha backdoors za wao kuweza kutrack maadui zao ndio maana karibia kila kukicha imeshakuwa kawaida kusikia jeshi ya Israel limemuua Ayatollah, Waziri wa ulinzi, Waziri wa Intelejensia, kiongozi, n.k. (Walifikia hadi hatua ya kufanya wanachojua wao kwenye pagers ukweli wanaujua wao wengine tumebaki na assumptions)

Israel haitengenezi features tu. Inazalisha pia deep-tech platforms, hasa kwenye cybersecurity kama Check Point na autonomous driving systems kama Mobileye, pamoja na apps zenye impact ya kimataifa kama Waze.

China na nchi zinginezo zinafanya vizuri kwenye kilimo ila na wao Israel sio kinyonge wana makampuni kama Neta Fim yanaongoza kwenye drip irrigation na utumiaji mzuri wa maji.

Wapo wanaouza kampuni zao na lakini kuna makampuni yapo Israel yanaendelea kukuzwa na yamefanikiwa duniani mfano ya kilimo na makampuni mengi ya Cyber Security ambayo Israel wanaonekana wakifanya vizuri

Na yote hayo wakiwa kwenye mazingira ya vitani, Acha tuwape tu credit, sio rahisi hata kidogo !!
 
Kipaji tunaweza sema strength zone ya MTU

Kuna watu wanajua kuongea , hapa akipafanyia kazi pataitwa kipaji

As well wengine wanasakata kabumbumbu kwahiyo once umepata mazingira Bora Ile kitu inaitwa strength zone ita-shine ktk maisha yako .

Hiki ndo kitu najua .

Mfano Messi he, could never been there kama asingepata mazingira Bora ya yeye kutumia potential yake au strength zone yake .

Kwahiyo kipaji tafsiri yake ni kile kitu unaweza ukafanya kwa usahihi , consecutively .

Kila MTU ana hiyo kitu , ila kwa Africa kutokana na ugumu wa Maisha tunajua kipaji ni Mpira , muziki tu

Ila Kuna mambo mengi sana

Mfano Mimi Nina kipaji cha hesabu I can do mathematics in my head
 
Kwani mzungu ndiye nani? Wazungu nao hudanganya kama watu wengine.

Kwanza hebu niambie wewe unakipji gani kabla hatujaendelea.
Wakati wazungu wanajenga Eiffel Tower mwaka 1905 babu zetu walikuwa wanadanganywa na Kinjekitile kuwa maji yanazuia risasi. Wazungu sio wa kubishana nao.
 
Back
Top Bottom