Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa, Kila mtu huzaliwa akiwa hajui chochote, maana yake wote tumezaliwa tukiwa sawa lakini sababu fulani fulani zimefanya wengine wawe na uwezo mkubwa katika kufanya mambo kuliko wengine.
Hivyo, ni kosa kusema mtu fulani ana kipaji kisa amewazidi watu wengine katika kutenda jambo fulani. Ni vizuri tuwe tunasema mtu fulani ana uwezo wa kufanya kitu fulani. Mfano, Messi ana uwezo wa kucheza mpira kumshinda Ronaldo.
Nasanzuka!
Binadamu tumetofautiana,
Wapo ambao wana nguvu za mwili hasa waafrika ndio maana tumedominate kukimbia, ngumi, rugby, basket, n.k. wakati wazungu, waarabu, wachina, n.k. wana vifaa vizuri vya mazoezi ila tunawapita.
Hao waafrika wenye nguvu za mwili waliodominate wapo wangapi? Mbona katika kila mchezo tunasindikiza tu? Akiwepo mmoja utakuta anazungukwa na weupe 10-20
Bila shaka wewe ndo huyo Cosmas unawaponda tu wenzioAndre Chenge ni mwanasheria mzuri na mkongwe,
Rugemalila Nshala ni mwanasheria smart na mzuri vilevile.
Lakini wawili hao wote hawakujaliwa eloquence, uwezo wa kujieleza vizuri na kueleweka kirahisi kwa mtu watu kama Tundu Lissu...Japo wote ni wanasheria mahiri.....Hapa naongelea articulation na flow ya maneno yaliyopangika..
Huo ndio wa kipaji.
Yupo mwanasaikolojia fulani nae ameibuka ibuka tu hivi karibuni wanamuita Cosmas Madulu yupo EATV
Aiseee yule ni machine, ana contents nyingi halafu anajua kujieleza yule, hachoshi kumsikiliza....Yupo kama mzee sio mzee, kijana sio kijana.
Mimi huwa ananifurahisha sana kwa choice ya maneno anayotumia sio kama yule Joram Ng'umbi mwenye kiswahili kinacho chosha kusikiliza
Kwahiyo mimi naweza kusocialize na pia nafundishika kirahisi na kuelewa ?Binadamu tumetofautiana,
Wapo ambao wana nguvu za mwili hasa waafrika ndio maana tumedominate kukimbia, ngumi, rugby, basket, n.k. wakati wazungu, waarabu, wachina, n.k. wana vifaa vizuri vya mazoezi ila tunawapita.
Wapo ambao wana uwezo mkubwa wa kujifunza au kufundishika kirahisi, hawa hapa kwetu ni kama wahaya, lakini akili za maisha, kugundua vitu, n.k. bado ndogo
Wapo ambao wana akili ya kugundua vitu, kusolve matatizo mapya, na hii ndio akili kubwa sana, hapa unawakuta wa Israel - Karibia kila kampuni kubwa ya teknolojia unayoijua wana ofisi za ugunduzi na uboreshaji wa teknlojia Israel, kule China huwa ni viwanda.
Wapo wenye uwezo mkubwa wa kusocialize kama wazaramo, wanaelewa kirahisi hisia za wengine, kuweza kudhibiti hasira kwenye matani, kumfanya hata mtu mkimya awe muongeaji, n.k.
wapo wenye uwezo mkuvwa wa kuwa na bidii ya kufanikisha mambo bila kuchoka, mtu yupo tayari kushinda dukani jumatatu mpaka jumatatu bila likizo alfajiri hadi usiku huku akiuza kwa faida ndogo na akijibana ila lengo lake aje kuwa na duka kubwa,
wapo wenye uwezo mkubwa wa uvumilivu, hapa naweza kuwaweka wanawake wa kihehe na wabena,
Ukifuatilia watoto wanaotoka katika jamii hizo mbili utagundua kuwa Kuna utofauti.
kwa mfano, watoto wa wahaya huenda wanafanya vyema darasani kwa sababu katika jamii yao wanamwona msomi kama mtu anayeheshimika, huku waman'gati wakimchukulia msomi kawaida, ndiyo maana watoto lazima watofautiane kwenye performance.
Mimi huwa najiuliza, kwa nini India na China hawana wachezaji wazuri wa mpira wa miguu, ilihali Brazil na mataifa mengi ya ulaya wanatoa wachezaji wazuri? Je ni kwaba wahindi hawazaliwi na uwezo wa kusakata kabumbu? 🤔.
Wanasema ni 'uwezo ambao mtu huzaliwa nao', kitu ambacho si kweli.Kwa hio kipaji ni nini?
haya ndiyo madhara ya kukwepa elimu za kiroho.Binadamu tumetofautiana,
Wapo ambao wana nguvu za mwili hasa waafrika ndio maana tumedominate kukimbia, ngumi, rugby, basket, n.k. wakati wazungu, waarabu, wachina, n.k. wana vifaa vizuri vya mazoezi ila tunawapita.
Wapo ambao wana uwezo mkubwa wa kujifunza au kufundishika kirahisi, hawa hapa kwetu ni kama wahaya, lakini akili za maisha, kugundua vitu, n.k. bado ndogo
Wapo ambao wana akili ya kugundua vitu, kusolve matatizo mapya, na hii ndio akili kubwa sana, hapa unawakuta wa Israel - Karibia kila kampuni kubwa ya teknolojia unayoijua wana ofisi za ugunduzi na uboreshaji wa teknlojia Israel, kule China huwa ni viwanda.
Wapo wenye uwezo mkubwa wa kusocialize kama wazaramo, wanaelewa kirahisi hisia za wengine, kuweza kudhibiti hasira kwenye matani, kumfanya hata mtu mkimya awe muongeaji, n.k.
wapo wenye uwezo mkuvwa wa kuwa na bidii ya kufanikisha mambo bila kuchoka, mtu yupo tayari kushinda dukani jumatatu mpaka jumatatu bila likizo alfajiri hadi usiku huku akiuza kwa faida ndogo na akijibana ila lengo lake aje kuwa na duka kubwa,
wapo wenye uwezo mkubwa wa uvumilivu, hapa naweza kuwaweka wanawake wa kihehe na wabena,
Kuna baadhi ya maeneo wazungu wako vizuri mno ila hii haimaanishi kuwa Kila wanachokisema kina ukweli.Wakati wazungu wanajenga Eiffel Tower mwaka 1905 babu zetu walikuwa wanadanganywa na Kinjekitile kuwa maji yanazuia risasi. Wazungu sio wa kubishana nao.
Umegundua vipi kuwa unakipaji Cha hesabu. Je, huo uwezo wa hesabu umezaliwa nao?Kipaji tunaweza sema strength zone ya MTU
Kuna watu wanajua kuongea , hapa akipafanyia kazi pataitwa kipaji
As well wengine wanasakata kabumbumbu kwahiyo once umepata mazingira Bora Ile kitu inaitwa strength zone ita-shine ktk maisha yako .
Hiki ndo kitu najua .
Mfano Messi he, could never been there kama asingepata mazingira Bora ya yeye kutumia potential yake au strength zone yake .
Kwahiyo kipaji tafsiri yake ni kile kitu unaweza ukafanya kwa usahihi , consecutively .
Kila MTU ana hiyo kitu , ila kwa Africa kutokana na ugumu wa Maisha tunajua kipaji ni Mpira , muziki tu
Ila Kuna mambo mengi sana
Mfano Mimi Nina kipaji cha hesabu I can do mathematics in my head
Ila sisi tuneamini kuwa Kuna 'inborn ability' kwa sababu waliosema hayo ni wazungu.Hamna mzungu anayeaminisha hayo kwanza kwao kuna mjadala ambao haujawahi kupata majibu unaongelea "nature against nurture" binadamu anazaliwa kama computer tupu (hardware) inakuwa jinsi ilivyo baada ya kuwekwa software so kila mtu anaweza kuwa somebody kwa kuwezeshwa,
Hakuna kipaji (inborn ability) 😎.Nilimuona Ronaldo kwa mara ya kwanza akitokea sub mwaka 2003..
Manchester United vs Blackburn Rovers.
Alikuwa mchezaji fulani winger goigoi mwenye dribblings kama za Ryan Giggs, au Luke chardwick.....
Kiufupi, Ronaldo kawa alivyo leo kwasab ya bidii mno.....sio talent.
Japo Naamini katika Kipaji.
Hata mimi, Cosmas Madulu namkubali sana na sichoki kumsikiliza.Andre Chenge ni mwanasheria mzuri na mkongwe,
Rugemalila Nshala ni mwanasheria smart na mzuri vilevile.
Lakini wawili hao wote hawakujaliwa eloquence, uwezo wa kujieleza vizuri na kueleweka kirahisi kwa mtu watu kama Tundu Lissu...Japo wote ni wanasheria mahiri.....Hapa naongelea articulation na flow ya maneno yaliyopangika..
Huo ndio wa kipaji.
Yupo mwanasaikolojia fulani nae ameibuka ibuka tu hivi karibuni wanamuita Cosmas Madulu yupo EATV
Aiseee yule ni machine, ana contents nyingi halafu anajua kujieleza yule, hachoshi kumsikiliza....Yupo kama mzee sio mzee, kijana sio kijana.
Mimi huwa ananifurahisha sana kwa choice ya maneno anayotumia sio kama yule Joram Ng'umbi mwenye kiswahili kinacho chosha kusikiliza
Hilo wala siyo lengo langu mkuu.Lengo lako kubwa la kuleta uzi wako ni kuzua mjadala kuwa Messi ni bora zaidi kuliko Ronaldo, so wachangiaji tujikite hapo zaidi
Muda huo wa miaka mitano ulimtosha kabisa kutunga muziki mzuri.Kama uwezo unapatikana baada ya kuzaliwa kupitia mazingira na mazoezi, unamuelezeaje mtoto kama Mozart aliyeanza kutunga muziki wa hali ya juu akiwa na umri wa miaka 5?
Alipata wapi muda wa kujifunza na kufanya mazoezi mpaka kuwa na uwezo huo kuwazidi watu wazima?