Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

Mapenzi + jitihada + mazingira + creativity = ufaniasi mkubwa.

Ni rahisi ufaniasi huo kifikiwa endapo mtu ataanza kufanya hivyo tangu utotoni.
 
Nini maana ya kipaji?
 
Kila mtu ana uwezo lakn passion ndo inaleta matokeo chanya

mfano viongozi wetu wana passion ya ufisadi ndo maana hawachoki kuiba, wanabuni mbinu mpya za upigaji, wanatunga uongo uongo, adi kufisadi uhai wa raia wake na bado hawachoki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…